Pamoja na Tishio la Iran kwa Israel isiipige Hezboullah magaidi hao wanapigika tu!!

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Baada ya Iran kuishambulia Israel usoku kuamkia leo na IDF kujibu mapigo sawasawa Iran imebwaga manyanya kwa kutangaza haitaishambulia tena Israel kama Israel nayo haitawashambulia magaidi hao!!

Ombi hilo la Iran limekataliwa kwa vitendo ambavyo Israel imeendelea kuwashambulia Hezbollah ndani zaidi ya Lebanon

 

Attachments

  • VID_20260608_195929_655.mp4
    4 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…