Pamoja na tuzo, Busquets Sergio vs Rodrigo Cascante who is the all time best DM?

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Tukiachana na tuzo ya Jana
Ambayo binafsi naona RODRI alistahili
Je ni kweli kwamba yeye ndiye best DM of all time tukimlinganisha na SERGIO ?
ngoja niende na strength zao kwanza Kila mtu alichomzidi mwenzake

1. Rodri scoring skills and shooting powers he is far better than Busquets

2. Sergio Busquets alikuwa sharp sana kichwa yaani ubongo wake uko haraka kuliko speed ya Vin Jr press him on your own risk

Vingine vyote nahisi wamelingana defending nk

So who is your best?
 
Kuna mada ukianzisha unaonekanaje sijui.. Mzee busquets ni hatari saana kwa rodri, kamuacha mbali mnoo.. Sio kwamba rodri ni mbaya ni mchezaji MZURI ila busquets ni MCHEZAJI MZURI ZAIDI.

Swali hilo aulizwe pep aliyefundiaha wote, kisha jibu lake ndio liwe jibu rasmi.
 
Mheshimiwa Mjumbe, kwa sasa tunatazama Mpira siku ziende tu, hakuna LADHA HALISI YA SOKA. Hebu nitafutie Sergio ambaye yeye ndio anakuchorea mechi ichezejwe na Dimba la chini linatii. Nitafutie David Beckham wa Kona goli. Nitafutie Ball Dancer Ronaldinho, tafuta mateso aliyowapa Chelsea Stanford Bridge wkt wanaongoza mpk half time Kipindi cha pili kawakatili. Nitafutie Beki katili kwenye nguvu ya Mguu wa kushoto km Carlos shuti katikati ya Uwanja lakini Kipa ana 50-50 kuokoa. Nitafutie Beki Chuma Vidic ambaye unapeleka Mguu anapeleka Kichwa damu inammwagika, akiulizwa anakwambia 'Jeraha nitatibiwa nitapona, goli likiingia siwezi kubadili matokeo.' Nitafutie Mshambuliaji aina ya Ronaldo de Lima ambaye akisimama 9 mnalia, Wajerumani hawakuamini Fainali ya Kombe la Dunia 2002. Nitafutie Fundi wa kupoteza muda kama Bebeto 🤣🤣🤣🤣🤣Zake kuingia dakika za mwisho awasumbue kupokonya mpira, ukimgusa faulo. Ziko wapi enzi za Fainali UEFA CHAMPIONS LEAGUE Barca anatutoa machozi Manchester United Wembley Babu anatafuna Bablish Midomo inagoma.
 
Busquets ni bora, kakutana na wachezaji wazuri zaidi, kufanya interception ya mipira ya wachezaji kama Toni kross na modric kwenye ubora wake ni kazi, hata uefa ya zamini ilikuwa ina challenge kubwa kuliko sasa hivi
Sawa umeeleza vizuri
 
Mbo
Mheshimiwa Mjumbe, kwa sasa tunatazama Mpira siku ziende tu, hakuna LADHA HALISI YA SOKA. Hebu nitafutie Sergio ambaye yeye ndio anakuchorea mechi ichezejwe na Dimba la chini linatii. Nitafutie David Beckham wa Kona goli. Nitafutie Ball Dancer Ronaldinho, tafuta mateso aliyowapa Chelsea Stanford Bridge wkt wanaongoza mpk half time Kipindi cha pili kawakatili. Nitafutie Beki katili kwenye nguvu ya Mguu wa kushoto km Carlos shuti katikati ya Uwanja lakini Kipa ana 50-50 kuokoa. Nitafutie Beki Chuma Vidic ambaye unapeleka Mguu anapeleka Kichwa damu inammwagika, akiulizwa anakwambia 'Jeraha nitatibiwa nitapona, goli likiingia siwezi kubadili matokeo.' Nitafutie Mshambuliaji aina ya Ronaldo de Lima ambaye akisimama 9 mnalia, Wajerumani hawakuamini Fainali ya Kombe la Dunia 2002. Nitafutie Fundi wa kupoteza muda kama Bebeto 🤣🤣🤣🤣🤣Zake kuingia dakika za mwisho awasumbue kupokonya mpira, ukimgusa faulo. Ziko wapi enzi za Fainali UEFA CHAMPIONS LEAGUE Barca anatutoa machozi Manchester United Wembley Babu anatafuna Bablish Midomo inagoma.mb
Binadamu Huwa vigeugeu Sana nilishawahi msifia busquets miaka iyo ana
Kuna mada ukianzisha unaonekanaje sijui.. Mzee busquets ni hatari saana kwa rodri, kamuacha mbali mnoo.. Sio kwamba rodri ni mbaya ni mchezaji MZURI ila busquets ni MCHEZAJI MZURI ZAIDI.

Swali hilo aulizwe pep aliyefundiaha wote, kisha jibu lake ndio liwe jibu rasmi.
Mmemsifia kisa kazeeka😁
 
Mheshimiwa Mjumbe, kwa sasa tunatazama Mpira siku ziende tu, hakuna LADHA HALISI YA SOKA. Hebu nitafutie Sergio ambaye yeye ndio anakuchorea mechi ichezejwe na Dimba la chini linatii. Nitafutie David Beckham wa Kona goli. Nitafutie Ball Dancer Ronaldinho, tafuta mateso aliyowapa Chelsea Stanford Bridge wkt wanaongoza mpk half time Kipindi cha pili kawakatili. Nitafutie Beki katili kwenye nguvu ya Mguu wa kushoto km Carlos shuti katikati ya Uwanja lakini Kipa ana 50-50 kuokoa. Nitafutie Beki Chuma Vidic ambaye unapeleka Mguu anapeleka Kichwa damu inammwagika, akiulizwa anakwambia 'Jeraha nitatibiwa nitapona, goli likiingia siwezi kubadili matokeo.' Nitafutie Mshambuliaji aina ya Ronaldo de Lima ambaye akisimama 9 mnalia, Wajerumani hawakuamini Fainali ya Kombe la Dunia 2002. Nitafutie Fundi wa kupoteza muda kama Bebeto 🤣🤣🤣🤣🤣Zake kuingia dakika za mwisho awasumbue kupokonya mpira, ukimgusa faulo. Ziko wapi enzi za Fainali UEFA CHAMPIONS LEAGUE Barca anatutoa machozi Manchester United Wembley Babu anatafuna Bablish Midomo inagoma.
Wapo wote sema watu sie waga jau inamaana huwaoni?
 
Daah
Namheshimu sana rodri ila bousquets ni habari nyingine.
Jamaa alikuwa na akili ya ziada sana,hatoki jasho kiivyo ila anaenea kila mahali.
Ubora wa xavi na iniesta ulitokana na uchawi wa huyu bwana mdogo
 
Ila hata uchezaji rodri ana mcopy busquets
 
Mbo

Binadamu Huwa vigeugeu Sana nilishawahi msifia busquets miaka iyo ana

Mmemsifia kisa kazeeka😁
Ulimsifia mbele ya nani!? Hata hiyu rodri kuna wachezaji ukimsifia mbele yake tutakupinga, uzuri unazidiana.

Ndio maana tumeanza na kauli, kwa busquets rodri inambidi asubiri sana.

Hapa ni rodri vs busquets.
 
Daah
Namheshimu sana rodri ila bousquets ni habari nyingine.
Jamaa alikuwa na akili ya ziada sana,hatoki jasho kiivyo ila anaenea kila mahali.
Ubora wa xavi na iniesta ulitokana na uchawi wa huyu bwana mdogo
Kuna siku jack wilshere aliwapoteza hao mbwa,ndiyo game ya maisha yake
 
Back
Top Bottom