Pamoja na tuzo, Busquets Sergio vs Rodrigo Cascante who is the all time best DM?

Ulimsifia mbele ya nani!? Hata hiyu rodri kuna wachezaji ukimsifia mbele yake tutakupinga, uzuri unazidiana.

Ndio maana tumeanza na kauli, kwa busquets rodri inambidi asubiri sana.

Hapa ni rodri vs busquets.
Kipindi yupo katika ubora wake nilishaandika Sana humu na mkapinga
 
All time DM nadhani Kuna mjadala mwingine...lakini kwangu Mimi binafsi Kwa hao wawili naondoka na rodri, Kwa aina ya timu ninayotaka rodri kwangu ni Bora Sanaa kuliko huyo mwingine...Diego simeone alitengeneza mnyama hapa.
 
Box to box ni DM,ni namba sita
Box to box ni Kiungo anayepanda na kushuka, kwamba timu ikishambuliwa atakua karibu na golini kwao na timu ikishambulia yupo goli jengine, DM ni Kiungo mkabaji, hawa wachezaji wawili tofauti
 
Tukiachana na tuzo ya Jana
Ambayo binafsi naona RODRI alistahili
Je ni kweli kwamba yeye ndiye best DM of all time tukimlinganisha na SERGIO ?
ngoja niende na strength zao kwanza Kila mtu alichomzidi mwenzake

1. Rodri scoring skills and shooting powers he is far better than Busquets
2. Sergio Busquets alikuwa sharp sana kichwa yaani ubongo wake uko haraka kuliko speed ya Vin Jr press him on your own risk

Vingine vyote nahisi wamelingana defending nk

So who is your best?
Busquets ni best tatizo kipindi kile kulikwa na Messi na CR 7 kwenye ubora wao, bila kuwasahau Kross,Xavi,Iniesta,Ramos hawa wote walikuwa wanastahili tuzo ila ndio hivyo hizi tuzo zina anagalia magoli. Ila kama unaujua mpira ,usiku wa jana mpira ulitenda haki kwa kumpa Rodri anastahili. Vini nikimtizama hata kwa Ribery anasubiri,sema ndio hivo Madrid wanajuaga kubrand wachezaji wao.Wachezaji hawa watatu, Rodri, Dani Carvajal na Lautaro walikuwa bora kuliko Vini.
 
Box to box ni Kiungo anayepanda na kushuka, kwamba timu ikishambuliwa atakua karibu na golini kwao na timu ikishambulia yupo goli jengine, DM ni Kiungo mkabaji, hawa wachezaji wawili tofauti
Siyo tofauti,ni sawa na striker tu leo utamkuta nyuma ya msitari wa Kati akikaba,viera alikua DM,essien, Yaya, busquet
 
Essien amecheza kidogo DM ila mda mwingi alikua Mbele ya mikel, Viera pia hakua DM, Petit na Gilberto Silva walikuwa DM nyuma ya Viera, Fernando na Fernandinho walikua DM nyuma ya Yaya toure. Watu wengi sana wanachanganya Box to box Midfielder na DM, hata Ngolo kante yupo kundi hili.
 
Fernandinho alienda lini city ukilinganisha na Yaya?,silver alienda lini arsenal?viera alicheza namba gani arsenal?
 
Mimi najua toure alikua DM,toka barcelona,japo guardiola alimrudisha center back kipindi fulani,na pale city alikua DM
Kwenye Midfield kuna sehemu tatu

Defensive Midfielder
Holding Midfielder
Attacking Midfielder

Yaya Toure akiwa Barca alicheza kama Holding Midfield, alivyofika Man City alicheza mechi nyingi kama AM na ndio kipindi alifunga magoli mengi sana

Ettihad DM alikuwa ni Fernandinho, huyu ndio alikuwa mkata umeme wa Man City na Yaya alikuwa akipanda juu yake kusaidia mashambulizi na kukaba kuanzia juu

Kwa kuhitimisha Yaya Toure alikuwa ni Holding Midfield
 
Fernandinho aliingia lini man. City?.. defensive midfielders ndiyo holding midfielders
 
Kwenye Midfield kuna sehemu tatu

Defensive Midfielder
Holding Midfielder
Attacking Midfielder

Yaya Toure akiwa Barca alicheza kama Holding Midfield, alivyofika Man City alicheza mechi nyingi kama AM na ndio kipindi alifunga magoli mengi sana

Ettihad DM alikuwa ni Fernandinho, huyu ndio alikuwa mkata umeme wa Man City na Yaya alikuwa akipanda juu yake kusaidia mashambulizi na kukaba kuanzia juu

Kwa kuhitimisha Yaya Toure alikuwa ni Holding Midfield
Tofauti ya holding midfielder na Defensive midfielder ni nini mkuu?
 
best DM of all time? Vijana munatakiwa muwe na adabu, PUMBAV
 
Kwenye Midfield kuna sehemu tatu

Defensive Midfielder
Holding Midfielder
Attacking Midfielder

Yaya Toure akiwa Barca alicheza kama Holding Midfield, alivyofika Man City alicheza mechi nyingi kama AM na ndio kipindi alifunga magoli mengi sana

Ettihad DM alikuwa ni Fernandinho, huyu ndio alikuwa mkata umeme wa Man City na Yaya alikuwa akipanda juu yake kusaidia mashambulizi na kukaba kuanzia juu

Kwa kuhitimisha Yaya Toure alikuwa ni Holding Midfield

Holding midfield ndio defense midfield. Yaya Toure alikuwa ni Central Midfield, ila akiwa barca alikua anacheza Holding / Defense. Mana Central midfield Barca ilikua ni nafasi ya Mkuu Xavi.
 
Back
Top Bottom