Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Taja wewe kwanza halafu Mimi ntakutajiaNitajie kiungo namba 6,8,10 wa man city wakati wa toure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taja wewe kwanza halafu Mimi ntakutajiaNitajie kiungo namba 6,8,10 wa man city wakati wa toure
Mimi najua toure alikua DM,toka barcelona,japo guardiola alimrudisha center back kipindi fulani,na pale city alikua DMTaja wewe kwanza halafu Mimi ntakutajia
Ukiona Kiungo hujui anacheza DM ama Am hao wanaitwa Box to box Midfielders, kina Toure na Ngolo kanteMimi najua toure alikua DM,toka barcelona,japo guardiola alimrudisha center back kipindi fulani,na pale city alikua DM
Box to box ni DM,ni namba sitaUkiona Kiungo hujui anacheza DM ama Am hao wanaitwa Box to box Midfielders, kina Toure na Ngolo kante
Kipindi yupo katika ubora wake nilishaandika Sana humu na mkapingaUlimsifia mbele ya nani!? Hata hiyu rodri kuna wachezaji ukimsifia mbele yake tutakupinga, uzuri unazidiana.
Ndio maana tumeanza na kauli, kwa busquets rodri inambidi asubiri sana.
Hapa ni rodri vs busquets.
Tulipinga nini?Kipindi yupo katika ubora wake nilishaandika Sana humu na mkapinga
Box to box ni Kiungo anayepanda na kushuka, kwamba timu ikishambuliwa atakua karibu na golini kwao na timu ikishambulia yupo goli jengine, DM ni Kiungo mkabaji, hawa wachezaji wawili tofautiBox to box ni DM,ni namba sita
Box to boxHivi Yaya toure ni kiungo wa Kati au juu?
Busquets ni best tatizo kipindi kile kulikwa na Messi na CR 7 kwenye ubora wao, bila kuwasahau Kross,Xavi,Iniesta,Ramos hawa wote walikuwa wanastahili tuzo ila ndio hivyo hizi tuzo zina anagalia magoli. Ila kama unaujua mpira ,usiku wa jana mpira ulitenda haki kwa kumpa Rodri anastahili. Vini nikimtizama hata kwa Ribery anasubiri,sema ndio hivo Madrid wanajuaga kubrand wachezaji wao.Wachezaji hawa watatu, Rodri, Dani Carvajal na Lautaro walikuwa bora kuliko Vini.Tukiachana na tuzo ya Jana
Ambayo binafsi naona RODRI alistahili
Je ni kweli kwamba yeye ndiye best DM of all time tukimlinganisha na SERGIO ?
ngoja niende na strength zao kwanza Kila mtu alichomzidi mwenzake
1. Rodri scoring skills and shooting powers he is far better than Busquets
2. Sergio Busquets alikuwa sharp sana kichwa yaani ubongo wake uko haraka kuliko speed ya Vin Jr press him on your own risk
Vingine vyote nahisi wamelingana defending nk
So who is your best?
Box to box ni DMBox to box
Siyo tofauti,ni sawa na striker tu leo utamkuta nyuma ya msitari wa Kati akikaba,viera alikua DM,essien, Yaya, busquetBox to box ni Kiungo anayepanda na kushuka, kwamba timu ikishambuliwa atakua karibu na golini kwao na timu ikishambulia yupo goli jengine, DM ni Kiungo mkabaji, hawa wachezaji wawili tofauti
Essien amecheza kidogo DM ila mda mwingi alikua Mbele ya mikel, Viera pia hakua DM, Petit na Gilberto Silva walikuwa DM nyuma ya Viera, Fernando na Fernandinho walikua DM nyuma ya Yaya toure. Watu wengi sana wanachanganya Box to box Midfielder na DM, hata Ngolo kante yupo kundi hili.Siyo tofauti,ni sawa na striker tu leo utamkuta nyuma ya msitari wa Kati akikaba,viera alikua DM,essien, Yaya, busquet
Fernandinho alienda lini city ukilinganisha na Yaya?,silver alienda lini arsenal?viera alicheza namba gani arsenal?Essien amecheza kidogo DM ila mda mwingi alikua Mbele ya mikel, Viera pia hakua DM, Petit na Gilberto Silva walikuwa DM nyuma ya Viera, Fernando na Fernandinho walikua DM nyuma ya Yaya toure. Watu wengi sana wanachanganya Box to box Midfielder na DM, hata Ngolo kante yupo kundi hili.
Kwenye Midfield kuna sehemu tatuMimi najua toure alikua DM,toka barcelona,japo guardiola alimrudisha center back kipindi fulani,na pale city alikua DM
Fernandinho aliingia lini man. City?.. defensive midfielders ndiyo holding midfieldersKwenye Midfield kuna sehemu tatu
Defensive Midfielder
Holding Midfielder
Attacking Midfielder
Yaya Toure akiwa Barca alicheza kama Holding Midfield, alivyofika Man City alicheza mechi nyingi kama AM na ndio kipindi alifunga magoli mengi sana
Ettihad DM alikuwa ni Fernandinho, huyu ndio alikuwa mkata umeme wa Man City na Yaya alikuwa akipanda juu yake kusaidia mashambulizi na kukaba kuanzia juu
Kwa kuhitimisha Yaya Toure alikuwa ni Holding Midfield
Tofauti ya holding midfielder na Defensive midfielder ni nini mkuu?Kwenye Midfield kuna sehemu tatu
Defensive Midfielder
Holding Midfielder
Attacking Midfielder
Yaya Toure akiwa Barca alicheza kama Holding Midfield, alivyofika Man City alicheza mechi nyingi kama AM na ndio kipindi alifunga magoli mengi sana
Ettihad DM alikuwa ni Fernandinho, huyu ndio alikuwa mkata umeme wa Man City na Yaya alikuwa akipanda juu yake kusaidia mashambulizi na kukaba kuanzia juu
Kwa kuhitimisha Yaya Toure alikuwa ni Holding Midfield
Kwenye Midfield kuna sehemu tatu