Sawa umeeleza vizuriBusquets ni bora, kakutana na wachezaji wazuri zaidi, kufanya interception ya mipira ya wachezaji kama Toni kross na modric kwenye ubora wake ni kazi, hata uefa ya zamini ilikuwa ina challenge kubwa kuliko sasa hivi
Binadamu Huwa vigeugeu Sana nilishawahi msifia busquets miaka iyo anaMheshimiwa Mjumbe, kwa sasa tunatazama Mpira siku ziende tu, hakuna LADHA HALISI YA SOKA. Hebu nitafutie Sergio ambaye yeye ndio anakuchorea mechi ichezejwe na Dimba la chini linatii. Nitafutie David Beckham wa Kona goli. Nitafutie Ball Dancer Ronaldinho, tafuta mateso aliyowapa Chelsea Stanford Bridge wkt wanaongoza mpk half time Kipindi cha pili kawakatili. Nitafutie Beki katili kwenye nguvu ya Mguu wa kushoto km Carlos shuti katikati ya Uwanja lakini Kipa ana 50-50 kuokoa. Nitafutie Beki Chuma Vidic ambaye unapeleka Mguu anapeleka Kichwa damu inammwagika, akiulizwa anakwambia 'Jeraha nitatibiwa nitapona, goli likiingia siwezi kubadili matokeo.' Nitafutie Mshambuliaji aina ya Ronaldo de Lima ambaye akisimama 9 mnalia, Wajerumani hawakuamini Fainali ya Kombe la Dunia 2002. Nitafutie Fundi wa kupoteza muda kama Bebeto š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Zake kuingia dakika za mwisho awasumbue kupokonya mpira, ukimgusa faulo. Ziko wapi enzi za Fainali UEFA CHAMPIONS LEAGUE Barca anatutoa machozi Manchester United Wembley Babu anatafuna Bablish Midomo inagoma.mb
Mmemsifia kisa kazeekašKuna mada ukianzisha unaonekanaje sijui.. Mzee busquets ni hatari saana kwa rodri, kamuacha mbali mnoo.. Sio kwamba rodri ni mbaya ni mchezaji MZURI ila busquets ni MCHEZAJI MZURI ZAIDI.
Swali hilo aulizwe pep aliyefundiaha wote, kisha jibu lake ndio liwe jibu rasmi.
Wapo wote sema watu sie waga jau inamaana huwaoni?Mheshimiwa Mjumbe, kwa sasa tunatazama Mpira siku ziende tu, hakuna LADHA HALISI YA SOKA. Hebu nitafutie Sergio ambaye yeye ndio anakuchorea mechi ichezejwe na Dimba la chini linatii. Nitafutie David Beckham wa Kona goli. Nitafutie Ball Dancer Ronaldinho, tafuta mateso aliyowapa Chelsea Stanford Bridge wkt wanaongoza mpk half time Kipindi cha pili kawakatili. Nitafutie Beki katili kwenye nguvu ya Mguu wa kushoto km Carlos shuti katikati ya Uwanja lakini Kipa ana 50-50 kuokoa. Nitafutie Beki Chuma Vidic ambaye unapeleka Mguu anapeleka Kichwa damu inammwagika, akiulizwa anakwambia 'Jeraha nitatibiwa nitapona, goli likiingia siwezi kubadili matokeo.' Nitafutie Mshambuliaji aina ya Ronaldo de Lima ambaye akisimama 9 mnalia, Wajerumani hawakuamini Fainali ya Kombe la Dunia 2002. Nitafutie Fundi wa kupoteza muda kama Bebeto š¤£š¤£š¤£š¤£š¤£Zake kuingia dakika za mwisho awasumbue kupokonya mpira, ukimgusa faulo. Ziko wapi enzi za Fainali UEFA CHAMPIONS LEAGUE Barca anatutoa machozi Manchester United Wembley Babu anatafuna Bablish Midomo inagoma.
Ila hata uchezaji rodri ana mcopy busquetsDaah
Namheshimu sana rodri ila bousquets ni habari nyingine.
Jamaa alikuwa na akili ya ziada sana,hatoki jasho kiivyo ila anaenea kila mahali.
Ubora wa xavi na iniesta ulitokana na uchawi wa huyu bwana mdogo
Ulimsifia mbele ya nani!? Hata hiyu rodri kuna wachezaji ukimsifia mbele yake tutakupinga, uzuri unazidiana.Mbo
Binadamu Huwa vigeugeu Sana nilishawahi msifia busquets miaka iyo ana
Mmemsifia kisa kazeekaš
Hivi Yaya toure ni kiungo wa Kati au juu?Busquets kwangu mimi ndio kiungo bora wa chini wa muda wote
Kuna siku jack wilshere aliwapoteza hao mbwa,ndiyo game ya maisha yakeDaah
Namheshimu sana rodri ila bousquets ni habari nyingine.
Jamaa alikuwa na akili ya ziada sana,hatoki jasho kiivyo ila anaenea kila mahali.
Ubora wa xavi na iniesta ulitokana na uchawi wa huyu bwana mdogo
Wa pembeni kwa juu vipi unataka umuwekee hapo kati?Hivi Yaya toure ni kiungo wa Kati au juu?
Huwezi kopi mtu achezavyo, ile ipo ndani ya DNAIla hata uchezaji rodri ana mcopy busquets
Nitajie kiungo namba 6,8,10 wa man city wakati wa toureWa pembeni kwa juu vipi unataka umuwekee hapo kati?