Pamoja na ukuta mrefu na JWTZ kulinda Mererani, nani bado wanaiba madini yetu?

Fundi Madirisha

Senior Member
Joined
Jun 30, 2020
Posts
184
Reaction score
988
Nimemsikia jana Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akisema kua madini yanatoroshewa chini na wakikamatwa wanakimbilia kuonyesha jiwe kubwa la madini, najiuliza pamoja na security yote hii ni kina nani waliendelea kutuibia madini yetu?

Maana yake ule ukuta hauna maana zaidi ya kupoteza fedha la walipa kodi kugharamia kuujenga ukuta huo. Imetumika nguvu badala ya akili kulinda yale madini na kututia hasara kubwa nb ila sababu. Hili jambo limeshangaza na kama kuna watu wanapinga hili yawezekana nao ni wapigaji.

Suala liingine la kuuliza, ni kwanini wakati wa utawala wa JPM hawakusema kabisa madini yanaendelea kutoroshwa na badala yake walibaki kusifia kua pato la madini limeongeza na maripoti yao.

Nani anaiba Madini yetu Mererani?
 
Baadhi ya wachimbaji ndio wanatorosha madini kutumia mahandaki waliochimba chini kwa chini kutoka ndani ya migodi yao na kutokomea kusikojulikana.

Kwa kifupi, watanzania wanawaibia watanzania.
 
JPM hakutaka kuambiwa ukweli bali alitaka kuambiwa kile anachotaka kusikia,alipenda kusikilizishwa uongo unaopendeza masikioni mwake.

KAMA JIWE ANGEAMBIWA KUWA INGAWA ALITUMIA GHARAMA NYINGI KUJENGA UKUTA NA KUTOA SIFA NYINGI KWA JESHI KWA KULINDA MIGODI YA TANZANITE LAKINI MADINI BADO YALIKUWA YANAIBIWA ANGEONEKANA MJINGA NA HILO LISINGEMPENDEZA MPENDA SIFA YULE!!! ANGEWAKA MOTO!!
 
Nimemsikia jana Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akisema kua madini yanatoroshewa chini na wakikamatwa wanakimbilia kuonyesha jiwe kubwa la madini, najiuliza pamoja na security yote hii ni kina nani waliendelea kutuibia madini yetu?

Maana yake ule ukuta hauna maana zaidi ya kupoteza fedha la walipa kodi kugharamia kuujenga ukuta huo. Imetumika nguvu badala ya akili kulinda yale madini na kututia hasara kubwa nb ila sababu. Hili jambo limeshangaza na kama kuna watu wanapinga hili yawezekana nao ni wapigaji.

Suala liingine la kuuliza, ni kwanini wakati wa utawala wa JPM hawakusema kabisa madini yanaendelea kutoroshwa na badala yake walibaki kusifia kua pato la madini limeongeza na maripoti yao.

Nani anaiba Madini yetu Mererani?
Kwani hao walinzi hawapendi hela?
 
Kutakuwa kuna namna sidhani kama wachumbaji wadogo wanaiba. Kunaweza kuwa ni fumbo hilo.

Hivi kwa nini Madini ilihamishiwa Ofisi ya Rais na Rais hakutaka ikaguliwe?
Waizi siyo wachimbaji wadogo
Waizi ni level fulani watakuwa

Ova
 
1617764067166.png
 
Nimemsikia jana Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akisema kua madini yanatoroshewa chini na wakikamatwa wanakimbilia kuonyesha jiwe kubwa la madini, najiuliza pamoja na security yote hii ni kina nani waliendelea kutuibia madini yetu?

Maana yake ule ukuta hauna maana zaidi ya kupoteza fedha la walipa kodi kugharamia kuujenga ukuta huo. Imetumika nguvu badala ya akili kulinda yale madini na kututia hasara kubwa nb ila sababu. Hili jambo limeshangaza na kama kuna watu wanapinga hili yawezekana nao ni wapigaji.

Suala liingine la kuuliza, ni kwanini wakati wa utawala wa JPM hawakusema kabisa madini yanaendelea kutoroshwa na badala yake walibaki kusifia kua pato la madini limeongeza na maripoti yao.

Nani anaiba Madini yetu Mererani?
Madini yetu yanaibwa na watu wawili (1) yule aliyekuwa DC Arumeru kisha akawa RC Kiteto na sasa ni mbunge wa Misungwi Alexander Mnyeti. Huyu ni mpwa wa marehemu Magufuli na Magufuli alikuwa anajuwa. (2) Waziri wa madini Dotto Biteko ambaye asili yake Ni Burundi
Kwa pamoja ndiyo walitaka kugawana kitalu C wakati marehemu yuko ventilators
Screenshot_20210407-060847.png
Screenshot_20210407-060556.png
 
Kutakuwa kuna namna sidhani kama wachumbaji wadogo wanaiba. Kunaweza kuwa ni fumbo hilo.

Hivi kwa nini Madini ilihamishiwa Ofisi ya Rais na Rais hakutaka ikaguliwe?
Soma uzi huu hapa wa JF ndiyo utawajua waizi:

Nimemsikia jana Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akisema kua madini yanatoroshewa chini na wakikamatwa wanakimbilia kuonyesha jiwe kubwa la madini, najiuliza pamoja na security yote hii ni kina nani waliendelea kutuibia madini yetu?

Maana yake ule ukuta hauna maana zaidi ya kupoteza fedha la walipa kodi kugharamia kuujenga ukuta huo. Imetumika nguvu badala ya akili kulinda yale madini na kututia hasara kubwa nb ila sababu. Hili jambo limeshangaza na kama kuna watu wanapinga hili yawezekana nao ni wapigaji.

Suala liingine la kuuliza, ni kwanini wakati wa utawala wa JPM hawakusema kabisa madini yanaendelea kutoroshwa na badala yake walibaki kusifia kua pato la madini limeongeza na maripoti yao.

Nani anaiba Madini yetu Mererani?
Wewe ndugu sifahamu kuwa unakwama wapi?Uliamini kuwa ukuta ulikuwa ndiyo njia sahihi ya kulinda madini?
 
Mbinu iliyofanyika pale Mererani ni sawa na kujenga uzio ili kuzuia njiwa asitoroke.

Ni akili mojawapo ndogo mno.
Kwaio tunakubaliana ht Marekani wanavyojenga ukuta ktk border yake na Mexico ni akili moja ndogo mno?
 
Baadhi ya wachimbaji ndio wanatorosha madini kutumia mahandaki waliochimba chini kwa chini kutoka ndani ya migodi yao na kutokomea kusikojulikana.

Kwa kifupi, watanzania wanawaibia watanzania.
Hakuna kitu kama hicho..huyo anaongea hivyo hajafika mirerani na wewe mwenyewe unaemsapoti hujafika mirerani. Haiwezekani. Take it from me. Yanapita getini na wanajeshi na wanasiasa ndo wanashirikiana na wachimbaji kuyapitisha
 
Madini yetu yanaibwa na watu wawili (1) yule aliyekuwa DC Arumeru kisha akawa RC Kiteto na sasa ni mbunge wa Misungwi Alexander Mnyetio. Huyu ni mpwa wa marehemu Magufuli na Magufuli al

Madini yetu yanaibwa na watu wawili (1) yule aliyekuwa DC Arumeru kisha akawa RC Kiteto na sasa ni mbunge wa Misungwi Alexander Mnyetio. Huyu ni mpwa wa marehemu Magufuli na Magufuli alikuwa anajuwa. (2) Waziri wa madini Dotto Biteko ambaye asili yake Ni Burundi
Kwa pamoja ndiyo walitaka kugawana kitalu C wakati marehemu yuko ventilators
View attachment 1745475View attachment 1745474
Acha kukariri ujinga. Masilahi mapana ya nani? Hivi kurundika miradi Chato na kanda ya ziwa na kujaza wateule wa kabila lake ndiyo unaita masilahi mapana?
Hayo ni masilahi yake na nyinyi ndugu zake wasukuma. Na hiyo itakuwa Gbadolite nyingine, tusubiri 2026

Nakutajia watu 5 tu ambao ni wa ndani ya Familia. PST Doto James ni mtoto wa dada yake, CDF Mabeho anatoka kwenye extended family, AG Killangi anatoka Geita kwenye extended family. CJ Prof Ibramim anatoka ukanda huo huo wa lake zone. Waziri wa nishati Kalemani ni wa Chato, Waziri wa madini Dotto Biteko ni mikoa yenu ya huko huko. CEO wa NEC Mahera ni wa Mara, Mwenyekiti wa UVCCM Heri James ni mtoto wa dada yake
 
Back
Top Bottom