Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
Magabacholi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani JWTZ sio watu,hao ndio wezi wenyeweNimemsikia jana Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akisema kua madini yanatoroshewa chini na wakikamatwa wanakimbilia kuonyesha jiwe kubwa la madini, najiuliza pamoja na security yote hii ni kina nani waliendelea kutuibia madini yetu?
Maana yake ule ukuta hauna maana zaidi ya kupoteza fedha la walipa kodi kugharamia kuujenga ukuta huo. Imetumika nguvu badala ya akili kulinda yale madini na kututia hasara kubwa nb ila sababu. Hili jambo limeshangaza na kama kuna watu wanapinga hili yawezekana nao ni wapigaji.
Suala liingine la kuuliza, ni kwanini wakati wa utawala wa JPM hawakusema kabisa madini yanaendelea kutoroshwa na badala yake walibaki kusifia kua pato la madini limeongeza na maripoti yao.
Nani anaiba Madini yetu Mererani?
Watanzania wengine hamjui hata mnataka nini.Yakiibiwa mbapiga yowe yakipunguzwa kuibiwa mnapuga yowe hopeless kabisaKAMA JIWE ANGEAMBIWA KUWA INGAWA ALITUMIA GHARAMA NYINGI KUJENGA UKUTA NA KUTOA SIFA NYINGI KWA JESHI KWA KULINDA MIGODI YA TANZANITE LAKINI MADINI BADO YALIKUWA YANAIBIWA ANGEONEKANA MJINGA NA HILO LISINGEMPENDEZA MPENDA SIFA YULE!!! ANGEWAKA MOTO!!
Waulize wa Israel [emoji1134] kwamba ule ukuta wao waliojenga kule Gaza umeweza kuzuia zile tunnels za wapalestina? Yaani hata kama msingi wa ukuta zege lingeenda mita 2 chini bado wakulungwa wangechimba beyond that...Kwanini ule ukuta usiende chini zaidi kupita hayo matundu ya mahandaki
Hahaa hakuna uwizi wowote kuna mtu kamlisha maza maneno hayo,shida maza nae kuchwani ni mweupe yupoyupo tu..huyo jamaa anataka kurudi kitalu C kwa mgongo wa maza...ni yule mrangi aliekua anaendesha huo mgodi kwa kuiba mawe n kukwepa kodi,hakuna shimo lolote linalotoka nje ya ukuta.Ninyi mna amini kabisa ukuta ndio unaweza kuzuia madini kupitishwa? kwani madini ni gari kusema ukifunga geti haliwezi kupita?
Tujifunze hata kwa private entities kama GGM kule kuna ulinzi mkali sio wa kawaida, na security checks za kutosha, bado wakuu wakijipanga vizuri wanapiga mzigo hapa na pale (japo kwa uchache)
Labda atusaidie 24/7 kinachofanyika huko mererani ni kipi, eti tweenty4seven hebu tupe habari za huko basi, kina nani wanafanya haya?
Wewe unayeongea hivi hata mirerani hujawahi fika. Hicho kitu unasema hakiwezekani.. acheni kuleta fantasy zenu hapaBaadhi ya wachimbaji ndio wanatorosha madini kutumia mahandaki waliochimba chini kwa chini kutoka ndani ya migodi yao na kutokomea kusikojulikana.
Kwa kifupi, watanzania wanawaibia watanzania.
Mama mwenye aliyasema mchana kweupe mbona hamkumpinga? Kwani kuchoma njia za chini ya ardhi ni kama kwenda sayari nyingine? Jeshi tumefanya sana haya, kule gaza watu wanachimba kila siku.Wewe unayeongea hivi hata mirerani hujawahi fika. Hicho kitu unasema hakiwezekani.. acheni kuleta fantasy zenu hapa
Tukiwa Sekondari wakati wa vita vya nduli Iddi Amin mwaka 1978, tulichimba mahandaki kwa zana duni. Sembuse ya leo na teknolojia hii?Wewe unayeongea hivi hata mirerani hujawahi fika. Hicho kitu unasema hakiwezekani.. acheni kuleta fantasy zenu hapa
Mradi Gani toa story MrHamna watu Wapigaji kama Wajeda, kuna kamradi kamoja hivi niliwahi kusimamia na bahati nzuri au Mbaya hako kamradi karikuwa kanapita ndani ya eneo la Jeshi , sasa bwana ilikuwa kasheshe, mara uitwe Officini na mkuu wa Kambi mara hichi mara kile, lkn kiufupi tu asee tuwe wakweli, hata hao mnaosema sijui walinzi nao ni binadamu, hela ni hitaji la kila mmoja wetu.
Usishangae mtu aliye kwisha kumwaga damu lazima awe na wengeNimemsikia jana Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akisema kua madini yanatoroshewa chini na wakikamatwa wanakimbilia kuonyesha jiwe kubwa la madini, najiuliza pamoja na security yote hii ni kina nani waliendelea kutuibia madini yetu?
Maana yake ule ukuta hauna maana zaidi ya kupoteza fedha la walipa kodi kugharamia kuujenga ukuta huo. Imetumika nguvu badala ya akili kulinda yale madini na kututia hasara kubwa nb ila sababu. Hili jambo limeshangaza na kama kuna watu wanapinga hili yawezekana nao ni wapigaji.
Suala liingine la kuuliza, ni kwanini wakati wa utawala wa JPM hawakusema kabisa madini yanaendelea kutoroshwa na badala yake walibaki kusifia kua pato la madini limeongeza na maripoti yao.
Nani anaiba Madini yetu Mererani?