Pamoja na ukuta mrefu na JWTZ kulinda Mererani, nani bado wanaiba madini yetu?

Fundi Madirisha

Senior Member
Joined
Jun 30, 2020
Posts
184
Reaction score
988
Nimemsikia jana Mhe Rais Samia Suluhu Hassan akisema kua madini yanatoroshewa chini na wakikamatwa wanakimbilia kuonyesha jiwe kubwa la madini, najiuliza pamoja na security yote hii ni kina nani waliendelea kutuibia madini yetu?

Maana yake ule ukuta hauna maana zaidi ya kupoteza fedha la walipa kodi kugharamia kuujenga ukuta huo. Imetumika nguvu badala ya akili kulinda yale madini na kututia hasara kubwa nb ila sababu. Hili jambo limeshangaza na kama kuna watu wanapinga hili yawezekana nao ni wapigaji.

Suala liingine la kuuliza, ni kwanini wakati wa utawala wa JPM hawakusema kabisa madini yanaendelea kutoroshwa na badala yake walibaki kusifia kua pato la madini limeongeza na maripoti yao.

Nani anaiba Madini yetu Mererani?
 
Baadhi ya wachimbaji ndio wanatorosha madini kutumia mahandaki waliochimba chini kwa chini kutoka ndani ya migodi yao na kutokomea kusikojulikana.

Kwa kifupi, watanzania wanawaibia watanzania.
 
JPM hakutaka kuambiwa ukweli bali alitaka kuambiwa kile anachotaka kusikia,alipenda kusikilizishwa uongo unaopendeza masikioni mwake.

KAMA JIWE ANGEAMBIWA KUWA INGAWA ALITUMIA GHARAMA NYINGI KUJENGA UKUTA NA KUTOA SIFA NYINGI KWA JESHI KWA KULINDA MIGODI YA TANZANITE LAKINI MADINI BADO YALIKUWA YANAIBIWA ANGEONEKANA MJINGA NA HILO LISINGEMPENDEZA MPENDA SIFA YULE!!! ANGEWAKA MOTO!!
 
Kwani hao walinzi hawapendi hela?
 
Kutakuwa kuna namna sidhani kama wachumbaji wadogo wanaiba. Kunaweza kuwa ni fumbo hilo.

Hivi kwa nini Madini ilihamishiwa Ofisi ya Rais na Rais hakutaka ikaguliwe?
Waizi siyo wachimbaji wadogo
Waizi ni level fulani watakuwa

Ova
 
Madini yetu yanaibwa na watu wawili (1) yule aliyekuwa DC Arumeru kisha akawa RC Kiteto na sasa ni mbunge wa Misungwi Alexander Mnyeti. Huyu ni mpwa wa marehemu Magufuli na Magufuli alikuwa anajuwa. (2) Waziri wa madini Dotto Biteko ambaye asili yake Ni Burundi
Kwa pamoja ndiyo walitaka kugawana kitalu C wakati marehemu yuko ventilators
 
Kutakuwa kuna namna sidhani kama wachumbaji wadogo wanaiba. Kunaweza kuwa ni fumbo hilo.

Hivi kwa nini Madini ilihamishiwa Ofisi ya Rais na Rais hakutaka ikaguliwe?
Soma uzi huu hapa wa JF ndiyo utawajua waizi:

 
Wewe ndugu sifahamu kuwa unakwama wapi?Uliamini kuwa ukuta ulikuwa ndiyo njia sahihi ya kulinda madini?
 
Mbinu iliyofanyika pale Mererani ni sawa na kujenga uzio ili kuzuia njiwa asitoroke.


Ni akili mojawapo ndogo mno.
Kwaio tunakubaliana ht Marekani wanavyojenga ukuta ktk border yake na Mexico ni akili moja ndogo mno?
 
Baadhi ya wachimbaji ndio wanatorosha madini kutumia mahandaki waliochimba chini kwa chini kutoka ndani ya migodi yao na kutokomea kusikojulikana.

Kwa kifupi, watanzania wanawaibia watanzania.
Hakuna kitu kama hicho..huyo anaongea hivyo hajafika mirerani na wewe mwenyewe unaemsapoti hujafika mirerani. Haiwezekani. Take it from me. Yanapita getini na wanajeshi na wanasiasa ndo wanashirikiana na wachimbaji kuyapitisha
 
Madini yetu yanaibwa na watu wawili (1) yule aliyekuwa DC Arumeru kisha akawa RC Kiteto na sasa ni mbunge wa Misungwi Alexander Mnyetio. Huyu ni mpwa wa marehemu Magufuli na Magufuli al


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…