Zinauzwa kama mjani siku hiziKuber kumbe bado zipo
Au ndo gozoZinauzwa kama mjani siku hizi
Hapana sio gozo! Gozo kuber linasubiri😂Au ndo gozo
Kuber ndo ile inaleta Cancer ya mdogo..tulilishwa zamani sana na brother Fulani alikuwa anasaga mashine alikuwa anakula sana kwa hiyo ilikuja kupigwa marufuku kuingia nchini?Hapana sio gozo! Gozo kuber linasubiri😂
Na linalevya almost Kama ngadaKuber ndo ile inaleta Cancer ya mdogo..tulilishwa zamani sana na brother Fulani alikuwa anasaga mashine alikuwa anakula sana kwa hiyo ilikuja kupigwa marufuku kuingia nchini?
Alafu gozo ndo dude langu naliweka kwenye Kiko napiga😊😊😊Hapana sio gozo! Gozo kuber linasubiri😂
duuuh Hivi kumbe KUBER bdo zipo?Mko salama wakuu?
Jana nikakutana na jamaa zangu flani ambao saivi ni madereva wa IT,tukapiga tungi weee nikaona jamaa wanachanganya kuberi na konyagi kuwauliza wanasema eti inakata usingizi.nikasema ngoja na mimi nijaribu,dah dakika sifuri nikazima,hii kitu imeniletea mpaka mafua.
Sitokaa niguse tena kuberi.
kweny bandko lake wangeweka picha ya mpga ngada.