Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

Huo ni ukweli mchungu mashabiki wa alikiba hawapendi kuusikia

ushauri wa bure
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti diamond na kina wizkid na kina davido.

Au sababu wote wanavaa suruali???
 
Diamond Ana X 6 na V8

Kibakuli ana X 5 used (27 million)

Diamond alipaswa awe na bifu na Davido siyo huyo muimba kwaya wa Kariakoo.
Hahahaha na bei umeona umuwekee kabisa watu wajue dah
 
😀😀 watu wachokozi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] eti diamond na kina wizkid na kina davido.

Au sababu wote wanavaa suruali???
ndo wanachotaka maana wanasema kiba si wa level yao na wamebandika majumba,magari na makorokoro ya bwana wao sasa sisi tufanyeje?
 
ndo wanachotaka maana wanasema kiba si wa level yao na wamebandika majumba,magari na makorokoro ya bwana wao sasa sisi tufanyeje?
Unazi ni janga tz kwa sasa,royce nayo mapimbi wameiweka ktk orodha ni gari ya diamond.[emoji23]
 
Unazi ni janga tz kwa sasa,royce nayo mapimbi wameiweka ktk orodha ni gari ya diamond.[emoji23]
We acha tu, sijui kinachowakosesha usingizi ni nini wakati bwana wao washamtangaza hana mpinzani bongo
 
Toka lini imekuwa yake bro, maana tunavyojua yeye anacheo tu pale lakini umiliki c wake na yy pia aliajiriwa pale kipindi cha nyuma.
 
Alikiba anapambanishwa na Diamond kimuziki na siyo maisha binafsi,hata hapo hujaelewa mkuu???

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna mziki mzuri usio na maisha mazuri yaani ukitoa kazi nzuri ni lazima upate utajiri kwani kazi yako itanunuliwa na watu watalipa kiingilio kikubwa kwenye show zako ili waangalie kazi yaki nzuri ukiona unatoa ngoma alafu unazidi kuwa masikini jua nyimbo zako hazikulipi na ni mbovu hhhhh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…