Pamoja na umaarufu alio nao Alikiba kwa nini Bado Maskini na Diamond platnumz ni mwanamuziki tajiri?

Kwa maandishi yako wewe ni team Kiba na kutaka kutudanganya juu eeeh

 
Kwa maandishi yako wewe ni team Kiba na kutaka kutudanganya juu eeeh
Sijui ana rekodi gani asee wakati anazidiwa kila idara aseee.
Anamekimbizwa kila sehemu.Huko utube mondi ana nyimbo ina viewer hadi 31M wakati huyo wanaemjaza ujinga hajawahi fikisha hata watu 15M kwa kazi zake ZOTE za muziki.Siku sio nyingi utaskia mtu anaimba USINISEME KAMA NAPENDA KULA
 
Haya mambo Ndiyo Yale yale ya kushow off , huyo kiba kauza sana wimbo wake wa aje mwaka Jana kwenye mitandao na hasa audio, kaingiza pesa nzur mkataba wake na sonny , show zake za nje ulaya na marekani, juz juzi tu kapiga pesa ndefu sana huko kenya kwenye kampeni za akina odinga hasa Mombasa ( gavana joho )

Ukija kwenye video ( account za VEVO msaan kule analipwa kwa view zake ) ishu hapa ni mmoja anapenda kujionesha na mwingine ni kimya kimya hata kiba ana jumba lake la maana lipo pale tabata sema ni vile tu haongei , kampuni ya Rockstar ni yake sasa wanauza nyimbo na ishu zote za entertainment Africa lakin hujawahi kusikia akijisifu hata siku moja

Mfano mzuri wasaani wenye pesa ndefu afu wapo simple tu

Yupo A.y huyu ana pesa ( na ndiyo mtu wa kwanza kumtengenezea connection mond na akina davido ) huyu anamilik kipind cha mikasi na ana project zingine lakin huoni akijisifu hata siku moja

Mwisho niseme wote ni vijana na ni wapambanaji ila kila mtu na makuzi yake na tabia yake ya matumiz ya pesa

Wengine kwetu ni somo kuwa upate pesa upige kelele na show off au ukae kimya tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani Kakuambia Diamond Karanga Ni Za Domo?? Huyo Domo Kapewa Kazi Ya Kupromote Soko Tu Kumbuka Hizo Karanga Zilikuwepo Toka Mwaka Juzi Na Zilikuwa Za Rangi Ya Blue

Mtoa mada kamwaga nondo kibao za mafanikio ya Diamond , wewe umeona Karanga tuu, haya basi tufanye hizo Karanga sio zake , je na hayo maendeleo mengine ? Kiba ni mwanamziki mzuri sana lakini kwa kipindi hiki awezi kumfikia Diamond kimafanikio kutokana na mziki.tusimkumbatie Kiba hili kumkomoa Diamond , kiba anatakiwa akaangwe na aambiwe ukweli , anataka sifa au mafanikio basi ajitume haswa kama mwenzake Diamond. Mifano inaonekana tuu Show za Diamond popote pale akipiga , jamaa anajituma sana , sio yeye tuu hata timu yake nzima , yaani wapo kikazi zaidi na wanachukulia mziki ndio kazi yao , kuanzia madansa , walinzi, wapiga picha, meneja wake , kifupi Diamond msingi wake wa kiendeleo kutokana na mziki aliushaupanga vizuri, Kiba ajitahidi pia kujenga msingi wake vizuri atafika mbali.
 
Kama utajiri na ufahari basi king kiba kamfunika domo..ana WATOTO WAKE WA KUZAA MWENYEWE na domo analea watoto wa kidume marehem ivan....#kitandahakizaiharamu#....endeleeni na upuuzi wenu...pozi kwa pozi anawasubirini atoke na picha ya pili mamake mtu analiwa mate ndio mutatia akili..#tusipangianesilahavitanivitamuraaaaa#

kwa mujibu wa vipimo vya mkemia mkuu
 
Iyo nyumba ya Tabata vip ushaiona mkuu au unamkampenia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukweli ni kwamba NGUVU YA UMMA imewastua sana wcb,maneno yamewaishia,wabongo sasa hivi wamechoka na upuuzi uwe wa siasa au mziki,kicks za kijinga wanazikataa na roho mbaya haikubaliki,hata bashite na baba yake sasa hivi kiki zinabuma then all of a sudden jamaa analeta upuuzi wake akidhani hii ni 2015 ona hata hiyo harusi feki na zari imebuma...hamjifunzi tu kwamba time changes???matusi muanze wenyewe wananchi waki react mnaanza kuwatukana na kujisifu mitandaoni mara ooh hatutegemei show za bongo,hatufanyi show za kimaskini
sawa tu,msidhani hao maskini ni wajinga,endeleen na dharau zenu mtaporomoka vibaya sana maana inaonekana hamuhitaji maskini wa kibongo
 
Mkuu hvi siku hizi watu wakienda kushoot video marekani huenda na magari yao??


Hebu fafanua umiliki wa diamond kwenye hii gari
 
Siri ya diamod kuwa tajiri kwa akili ya kawaida tuu huwez kujua mpaka ukae chini uumize kichwa na uongezee na factor zangu utajua ni kwanin diamond anajiita simba jina ambalo marehem kanumba alikua akilitumia ukiachilia mbali jina lakn marehem kanumba alkua akitumia fimbo fulan iv ambayo diamond ameonekana pia akiitumka sipend kufunguka sana ila kwa kfupi ali kiba anamtegemea sana Mungu wakat diamond anategemea nguvu za ziada cpend kuendelea ncje kufa kabla ya cku zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huo mpunga anaufanyia kazi gani sasa mbona unampa sifa kibao za kupiga pesa wajati hata ofisi hana na hsijulikani kama analipa kodi?

Msanii mkubwa kama kiba hata studio hana alafu mnamsifia anapiga pesa hhhh hizo pesa anafanyia maendeleo gani jamani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…