Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukija upande wa pili wa mwanamuziki Naseeb Abdul ~Diamond Platnumz yeye si wazamani sana kwenye game kama alikiba lakini nayeye ametokea kufanya kazi nzuri na kujizolea mashabiki wengi na umaarufu lakini hajaweza kufikia record ya The king himself Alikiba
Sijui ana rekodi gani asee wakati anazidiwa kila idara aseee.Kwa maandishi yako wewe ni team Kiba na kutaka kutudanganya juu eeeh
Nani Kakuambia Diamond Karanga Ni Za Domo?? Huyo Domo Kapewa Kazi Ya Kupromote Soko Tu Kumbuka Hizo Karanga Zilikuwepo Toka Mwaka Juzi Na Zilikuwa Za Rangi Ya Blue
hahaha au kama anaona ni "PROMO TU" apromote basi na yeye tuone ka atamfikiahata kama kwani iyo promo ni bure?
Iyo nyumba ya Tabata vip ushaiona mkuu au unamkampeniaHaya mambo Ndiyo Yale yale ya kushow off , huyo kiba kauza sana wimbo wake wa aje mwaka Jana kwenye mitandao na hasa audio, kaingiza pesa nzur mkataba wake na sonny , show zake za nje ulaya na marekani, juz juzi tu kapiga pesa ndefu sana huko kenya kwenye kampeni za akina odinga hasa Mombasa ( gavana joho )
Ukija kwenye video ( account za VEVO msaan kule analipwa kwa view zake ) ishu hapa ni mmoja anapenda kujionesha na mwingine ni kimya kimya hata kiba ana jumba lake la maana lipo pale tabata sema ni vile tu haongei , kampuni ya Rockstar ni yake sasa wanauza nyimbo na ishu zote za entertainment Africa lakin hujawahi kusikia akijisifu hata siku moja
Mfano mzuri wasaani wenye pesa ndefu afu wapo simple tu
Yupo A.y huyu ana pesa ( na ndiyo mtu wa kwanza kumtengenezea connection mond na akina davido ) huyu anamilik kipind cha mikasi na ana project zingine lakin huoni akijisifu hata siku moja
Mwisho niseme wote ni vijana na ni wapambanaji ila kila mtu na makuzi yake na tabia yake ya matumiz ya pesa
Wengine kwetu ni somo kuwa upate pesa upige kelele na show off au ukae kimya tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hvi siku hizi watu wakienda kushoot video marekani huenda na magari yao??Habari zenu wana jf
Naombeni uzii huu usichukuliwe kiushabiki bali uchukuliwe kama haki ya kila mtu kutoa ya moyoni pasipo kuvunja sheria
Kwa mda mrefu msanii Alikiba amekuwa yupo kwenye game la mziki na amejizolea umaarufu mkubwa kwa kazi zake nzuri na kujipatia mashabiki wengi huku wengine wakimuita "KING" wa bongofleva.
Lakini pamoja na umaarufu wake alionao na mashabiki wengi aliojizolea lakini bado Alikiba ni mtu mwenye maisha ya ya chini tu ambayo hayafanani kabisa na umaarufu wake
Tukija upande wa pili wa mwanamuziki Naseeb Abdul ~Diamond Platnumz yeye si wazamani sana kwenye game kama alikiba lakini nayeye ametokea kufanya kazi nzuri na kujizolea mashabiki wengi na umaarufu lakini hajaweza kufikia record ya The king himself Alikiba
Lakini ukija kwenye maswala ya maendeleo ambayo ndio kipimo cha kazi anayofanya msanii utagundua kuwa Diamond platnumz amejizolea utajiri wa kutisha zaidi ya King himself Alikiba.
Kutokana na kazi ya mziki Diamond platnumz ameweza kujipatia utajiri mkubwa ikiwemo kuachia mijengo mingi ya maana hapa town na mengine South Africa. Diamond amefunguka zaidi kwa kuanzisha biashara zake za Chibu perfume na Diamond karanga ambazo zinafanya vizuri nzuri sokoni bila kusahau mikataba yake ya matangazo na makampuni makubwa wakati king Kiba hana biashara ya maana wala maendeleo yoyote kumzidi Naseeb
![]()
![]()
![]()
![]()
Diamond platnumz amejenga ofisi yake ya kisasa na kufungua studio yake ya wasafi records ambayo inahusika kutengeneza ngoma zote za wasafi na wasanii wengine kutoka nnje kitu ambacho Alikiba hadi leo hana ofisi wala studio yake binafsi
![]()
![]()
![]()
![]()
Diamond ameanzisha Label yake mwenyewe ya Wasafi records ambayo inawasimamia wasanii wakali kama Rich mavoko,Harmonize,Rayvanny,lavalava na mtandao wa wasafi.com ambao anauza nyimbo zake na za wasanii wengine online. Label ya wasafi imekuwa ni chanzo kikubwa cha kupiga mkwanja mrefu kwa Diamond platnumz hadi ilifika kipindi TRA wakamkadiria kodi hadi swala hilo likatinga bungeni
Wakati upande wa pili wa Alikiba yeye bado amesainiwa na Sony music na hana label yake mwenyewe wala wasanii anaowasimamia
Diamond platnumz ameweza kutoa ajira kwa
~Mameneja 2
~Madancer 5
~producer 1
~Bodyguard 1
~Photographer 1
~Mtu wa IT 1
~Mbunifu 1
~Muhasibu 1
~wasanii chini ya label yake 5
Jumla 19
Ukipiga hesabu hapo Diamond platnumz anaspend zaidi ya 100 millions kwa ajili ya kulipa mishahara tu kwa crew yake au wafanyakazi wa label yake ya wasafi kwa kila mwezi huku mshahara mkubwa ukienda kwa wasanii walio chini ya lebel yake kulingana na mikataba yao
Ukija upande wa pili wa alikiba yeye ni mwajiriwa tu wa sonny music hamlipi mtu mshahara lakini maisha yake hayafanani kabisa na misifa anayopewa na mashabiki wake Mwisho wa siku utagundua kuwa alikiba anaambulia sifa tu kutoka kwa mashabiki zake mitandaoni kakini Diamond ni real money maker nikimaanisha mashabiki wanaompaka sifa Alikiba mchana ndio hao hao Wanaomtajirisha Diamond platnumz wenyewe
Na wapo watakaokuja kusema hapa kuwa alikiba sio mtu wa show off lakini msema ukweli ni mpenzi wa mungu pesa na maisha aliyokuwa nayo Alikiba hata aizidishe mara 10 hamfikii Diamond platnumz japo watu hao hao wanampaka mafuta mwa mgongo wa chupa alikiba kwa sifa ndio hao hao wanaomtajirisha Platnumz
mziki duniani kote sasa pesa ndio mpango mzima lakini najiuliza mziki wa alikiba ni wa kuingiza pesa kutokana na kazi nzuri au ni mziki wa sifa mbona hana maendeleo yoyote?
*~Mtotmtamu
atoe wapi hilo gari,walikodi kwenye shooting na neyoMkuu hvi siku hizi watu wakienda kushoot video marekani huenda na magari yao??
![]()
Hebu fafanua umiliki wa diamond kwenye hii gari
Mkuu huo mpunga anaufanyia kazi gani sasa mbona unampa sifa kibao za kupiga pesa wajati hata ofisi hana na hsijulikani kama analipa kodi?Haya mambo Ndiyo Yale yale ya kushow off , huyo kiba kauza sana wimbo wake wa aje mwaka Jana kwenye mitandao na hasa audio, kaingiza pesa nzur mkataba wake na sonny , show zake za nje ulaya na marekani, juz juzi tu kapiga pesa ndefu sana huko kenya kwenye kampeni za akina odinga hasa Mombasa ( gavana joho )
Ukija kwenye video ( account za VEVO msaan kule analipwa kwa view zake ) ishu hapa ni mmoja anapenda kujionesha na mwingine ni kimya kimya hata kiba ana jumba lake la maana lipo pale tabata sema ni vile tu haongei , kampuni ya Rockstar ni yake sasa wanauza nyimbo na ishu zote za entertainment Africa lakin hujawahi kusikia akijisifu hata siku moja
Mfano mzuri wasaani wenye pesa ndefu afu wapo simple tu
Yupo A.y huyu ana pesa ( na ndiyo mtu wa kwanza kumtengenezea connection mond na akina davido ) huyu anamilik kipind cha mikasi na ana project zingine lakin huoni akijisifu hata siku moja
Mwisho niseme wote ni vijana na ni wapambanaji ila kila mtu na makuzi yake na tabia yake ya matumiz ya pesa
Wengine kwetu ni somo kuwa upate pesa upige kelele na show off au ukae kimya tu
Sent using Jamii Forums mobile app