Richest Musicians in TanzaniaNingetamani kelele zote za mashabiki WA king Kiba angalau nao wangetupia hata kagari au nyumba kama alivyosem yule aneishi Jirani ya Kiba. Sijui kakatazwa hata kupiga Picha hilo jumba aliolonalo Kiba
Hawalingani kabisa mkuu sema nawapa watu ukweli wajue kuwa Diamond ni level za akina Davido sio huyu kibaKwanini siku zote mashabiki wa Tajili Diamond mnapenda kumlinganisha na maskini Ali Kiba?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Fact tupu!!!Mkuu umesahau na madem wakali D akitafuna ka kibakulifisi ndio kanakuja kuzengea wakati simba ashaa kula minofu!Habari zenu wana jf
Naombeni uzii huu usichukuliwe kiushabiki bali uchukuliwe kama haki ya kila mtu kutoa ya moyoni pasipo kuvunja sheria
Kwa mda mrefu msanii Alikiba amekuwa yupo kwenye game la mziki na amejizolea umaarufu mkubwa kwa kazi zake nzuri na kujipatia mashabiki wengi huku wengine wakimuita "KING" wa bongofleva.
Lakini pamoja na umaarufu wake alionao na mashabiki wengi aliojizolea lakini bado Alikiba ni mtu mwenye maisha ya ya chini tu ambayo hayafanani kabisa na umaarufu wake
Tukija upande wa pili wa mwanamuziki Naseeb Abdul ~Diamond Platnumz yeye si wazamani sana kwenye game kama alikiba lakini nayeye ametokea kufanya kazi nzuri na kujizolea mashabiki wengi na umaarufu lakini hajaweza kufikia record ya The king himself Alikiba
Lakini ukija kwenye maswala ya maendeleo ambayo ndio kipimo cha kazi anayofanya msanii utagundua kuwa Diamond platnumz amejizolea utajiri wa kutisha zaidi ya King himself Alikiba.
Kutokana na kazi ya mziki Diamond platnumz ameweza kujipatia utajiri mkubwa ikiwemo kuachia mijengo mingi ya maana hapa town na mengine South Africa. Diamond amefunguka zaidi kwa kuanzisha biashara zake za Chibu perfume na Diamond karanga ambazo zinafanya vizuri nzuri sokoni bila kusahau mikataba yake ya matangazo na makampuni makubwa wakati king Kiba hana biashara ya maana wala maendeleo yoyote kumzidi Naseeb
Diamond platnumz amejenga ofisi yake ya kisasa na kufungua studio yake ya wasafi records ambayo inahusika kutengeneza ngoma zote za wasafi na wasanii wengine kutoka nnje kitu ambacho Alikiba hadi leo hana ofisi wala studio yake binafsi
Diamond ameanzisha Label yake mwenyewe ya Wasafi records ambayo inawasimamia wasanii wakali kama Rich mavoko,Harmonize,Rayvanny,lavalava na mtandao wa wasafi.com ambao anauza nyimbo zake na za wasanii wengine online. Label ya wasafi imekuwa ni chanzo kikubwa cha kupiga mkwanja mrefu kwa Diamond platnumz hadi ilifika kipindi TRA wakamkadiria kodi hadi swala hilo likatinga bungeni
Huku Diamond platnumz ni msanii pekee anaeilipa kodi kubwa serikali kuliko msanii yeyote hapa tz, Akiwapiku wasanii wengi wakongwe na wapya ambao wamekuwa wakimchukia lakini wengi wao hata mlango wa TRA hawaujui nikimaanisha wanaendesha kazi zao kiujanja ujanja lakini Diamond platnumz ameonyesha mfano kwa kuilipa kodi serikali kwa kazi zake zote
Wakati upande wa pili wa Alikiba yeye bado amesainiwa na Sony music na hana label yake mwenyewe wala wasanii anaowasimamia,Na wala sina uhakika kama anailipa kodi serikali kama anavyofanya Platnumz
Diamond platnumz ameweza kutoa ajira kwa
~Mameneja 2
~Madancer 5
~producer 1
~Bodyguard 1
~Photographer 1
~Mtu wa IT 1
~Mbunifu 1
~Muhasibu 1
~wasanii chini ya label yake 5
Jumla 19
Ukipiga hesabu hapo Diamond platnumz anaspend zaidi ya 100 millions kwa ajili ya kulipa mishahara tu kwa crew yake au wafanyakazi wa label yake ya wasafi kwa kila mwezi huku mshahara mkubwa ukienda kwa wasanii walio chini ya lebel yake kulingana na mikataba yao
Ukija upande wa pili wa alikiba yeye ni mwajiriwa tu wa sonny music hamlipi mtu mshahara lakini maisha yake hayafanani kabisa na misifa anayopewa na mashabiki wake Mwisho wa siku utagundua kuwa alikiba anaambulia sifa tu kutoka kwa mashabiki zake mitandaoni kakini Diamond ni real money maker nikimaanisha mashabiki wanaompaka sifa Alikiba mchana ndio hao hao Wanaomtajirisha Diamond platnumz wenyewe
Na wapo watakaokuja kusema hapa kuwa alikiba sio mtu wa show off lakini msema ukweli ni mpenzi wa mungu pesa na maisha aliyokuwa nayo Alikiba hata aizidishe mara 10 hamfikii Diamond platnumz japo watu hao hao wanampaka mafuta mwa mgongo wa chupa alikiba kwa sifa ndio hao hao wanaomtajirisha Platnumz
mziki duniani kote sasa hivi ni pesa ndio mpango mzima lakini najiuliza mziki wa alikiba ni wa kuingiza pesa kutokana na kazi nzuri au ni mziki wa sifa mbona hana maendeleo yoyote?
*~Mtotmtamu
Mkuu mimi namfahamu kiba zaidi yako nimeshaishi karibu na kwao kariakoo na pia nafahamu kuwa amepanga tabata na kule kunduchi pia alikuwa amepanga sasa tupost mali za kupanga?Umetoa tathmin ya Diamond kwa kile unachokionaga kwenye mitandao ya kijamii, na kila ambacho hakioneshi je..?
Hukijui cha Ali kiba kwa sababu hakioneshi hadharani siku ukioneshwa je..?
na hiko unachokiona kwenye mitandao ya kijamii na kuiitra utajiri siku muhusika asipokuwepo kwenye ulimwengu wa kimwili ukiambiwa marehemu hakuwa na mali yoyote na watu wanaomzunguka utazungumza nini..?
Hapo sijadanganya kitu mkuu ni fact tupu wala hamna majunguFact tupu!!!Mkuu umesahau na madem wakali D akitafuna ka kibakulifisi ndio kanakuja kuzengea wakati simba ashaa kula minofu!
Ukipewa jibu fanya kun tag.Kwanini siku zote mashabiki wa Tajili Diamond mnapenda kumlinganisha na maskini Ali Kiba?.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanampaisha tu...just imagine uwe na nyumba na gari ya maana uache kuwa on the spotlight tz hii ya wakuda??? Hata kama hataki, kwa popularity alionayo the moment ameinunua tu mapaparazi wangesambaza taarifa! Kiba maskini bana, asijifanye eti hapendi ku floss...hana vya kuringia kama alivyonavyo mwenzie!
We mtotomtamuuu sana!Hapo sijadanganya kitu mkuu ni fact tupu wala hamna majungu
Alafu sio mbinafsi kabisa yani kupitia yeye ameinua familia yake muangalie esmaplatnumz na queendarlin na romyjons alivyowainua kwa kuwatengenezea hali ya kujitegemeaDiamond na kiba muwashindanishe kwenye kuimba tuu ilaa sio kwenye Mafanikio ..
Diamond kafanikiwa yeye na hadi watu wanomzunguka kuanziaa family..hdii marafikiii zake. .
hivi wakuu nyiee team kiba hamuoni jamaa alivyobadilis maisha ya kina harmonize na Ray van na hata akina iyobo.
Pia kiba kaajiliwa rockstar mana ake ni kwamba anaweza fukuzwa "any time t" lakini diamond yeye ni C.E.O wa label kubwaa Africa WCB ..
Mnasema oooh Perfume ya kusaga na karanga sio zake .sawa tumekubali sio zake
lakini jee hapati millions of Money kwenye hizo project ambapo hata huyo boss wenu hamfikii. .
Endorsement vipii. ..*?
DIAMOND kawa endorsed na makampuni mengi mno ambayo yanampa Mpungaa wa kutosha. .
huyo boss wenu ..vipi. .??
hata tangazo la chupii. .???
Nokia ya Torch
Hapo angalia na upande wa diamond wanawake wote anaowazengea teyari walishakuwaga wazazi.Fact tupu!!!Mkuu umesahau na madem wakali D akitafuna ka kibakulifisi ndio kanakuja kuzengea wakati simba ashaa kula minofu!
Yeah Mkuu na hiyo ndo real definition ya Mafanikio. ..Alafu sio mbinafsi kabisa yani kupitia yeye ameinua familia yake muangalie esmaplatnumz na queendarlin na romyjons alivyowainua kwa kuwatengenezea hali ya kujitegemea
Kwahiyo kama mwenzake kala na yeye lazma azegee?Kama sio kutembelea nyota za watu ni nini?Kweli mabakuli mabakuli tu!Hapo angalia na upande wa diamond wanawake wote anaowazengea teyari walishakuwaga wazazi.
-Ndumilakuwili-
Habari zenu wana jf
Naombeni uzii huu usichukuliwe kiushabiki bali uchukuliwe kama haki ya kila mtu kutoa ya moyoni pasipo kuvunja sheria
Kwa mda mrefu msanii Alikiba amekuwa yupo kwenye game la mziki na amejizolea umaarufu mkubwa kwa kazi zake nzuri na kujipatia mashabiki wengi huku wengine wakimuita "KING" wa bongofleva.
Lakini pamoja na umaarufu wake alionao na mashabiki wengi aliojizolea lakini bado Alikiba ni mtu mwenye maisha ya ya chini tu ambayo hayafanani kabisa na umaarufu wake
Tukija upande wa pili wa mwanamuziki Naseeb Abdul ~Diamond Platnumz yeye si wazamani sana kwenye game kama alikiba lakini nayeye ametokea kufanya kazi nzuri na kujizolea mashabiki wengi na umaarufu lakini hajaweza kufikia record ya The king himself Alikiba
Lakini ukija kwenye maswala ya maendeleo ambayo ndio kipimo cha kazi anayofanya msanii utagundua kuwa Diamond platnumz amejizolea utajiri wa kutisha zaidi ya King himself Alikiba.
Kutokana na kazi ya mziki Diamond platnumz ameweza kujipatia utajiri mkubwa ikiwemo kuachia mijengo mingi ya maana hapa town na mengine South Africa. Diamond amefunguka zaidi kwa kuanzisha biashara zake za Chibu perfume na Diamond karanga ambazo zinafanya vizuri nzuri sokoni bila kusahau mikataba yake ya matangazo na makampuni makubwa wakati king Kiba hana biashara ya maana wala maendeleo yoyote kumzidi Naseeb
Diamond platnumz amejenga ofisi yake ya kisasa na kufungua studio yake ya wasafi records ambayo inahusika kutengeneza ngoma zote za wasafi na wasanii wengine kutoka nnje kitu ambacho Alikiba hadi leo hana ofisi wala studio yake binafsi
Diamond ameanzisha Label yake mwenyewe ya Wasafi records ambayo inawasimamia wasanii wakali kama Rich mavoko,Harmonize,Rayvanny,lavalava na mtandao wa wasafi.com ambao anauza nyimbo zake na za wasanii wengine online. Label ya wasafi imekuwa ni chanzo kikubwa cha kupiga mkwanja mrefu kwa Diamond platnumz hadi ilifika kipindi TRA wakamkadiria kodi hadi swala hilo likatinga bungeni
Huku Diamond platnumz ni msanii pekee anaeilipa kodi kubwa serikali kuliko msanii yeyote hapa tz, Akiwapiku wasanii wengi wakongwe na wapya ambao wamekuwa wakimchukia lakini wengi wao hata mlango wa TRA hawaujui nikimaanisha wanaendesha kazi zao kiujanja ujanja lakini Diamond platnumz ameonyesha mfano kwa kuilipa kodi serikali kwa kazi zake zote
Wakati upande wa pili wa Alikiba yeye bado amesainiwa na Sony music na hana label yake mwenyewe wala wasanii anaowasimamia,Na wala sina uhakika kama anailipa kodi serikali kama anavyofanya Platnumz
Diamond platnumz ameweza kutoa ajira kwa
~Mameneja 2
~Madancer 5
~producer 1
~Bodyguard 1
~Photographer 1
~Mtu wa IT 1
~Mbunifu 1
~Muhasibu 1
~wasanii chini ya label yake 5
Jumla 19
Ukipiga hesabu hapo Diamond platnumz anaspend zaidi ya 100 millions kwa ajili ya kulipa mishahara tu kwa crew yake au wafanyakazi wa label yake ya wasafi kwa kila mwezi huku mshahara mkubwa ukienda kwa wasanii walio chini ya lebel yake kulingana na mikataba yao
Ukija upande wa pili wa alikiba yeye ni mwajiriwa tu wa sonny music hamlipi mtu mshahara lakini maisha yake hayafanani kabisa na misifa anayopewa na mashabiki wake Mwisho wa siku utagundua kuwa alikiba anaambulia sifa tu kutoka kwa mashabiki zake mitandaoni kakini Diamond ni real money maker nikimaanisha mashabiki wanaompaka sifa Alikiba mchana ndio hao hao Wanaomtajirisha Diamond platnumz wenyewe
Na wapo watakaokuja kusema hapa kuwa alikiba sio mtu wa show off lakini msema ukweli ni mpenzi wa mungu pesa na maisha aliyokuwa nayo Alikiba hata aizidishe mara 10 hamfikii Diamond platnumz japo watu hao hao wanampaka mafuta mwa mgongo wa chupa alikiba kwa sifa ndio hao hao wanaomtajirisha Platnumz
mziki duniani kote sasa hivi ni pesa ndio mpango mzima lakini najiuliza mziki wa alikiba ni wa kuingiza pesa kutokana na kazi nzuri au ni mziki wa sifa mbona hana maendeleo yoyote?
*~Mtotmtamu
Kwa akili zako unafikiri Kiba ndiye atakua analipa kodi kubwa TRA kama Diamond sindio?Uchunguzi wako umelalia upande mmoja bila kujua watu tuna hulka tofauti,sio kila mtu anapenda kuanika yake hadharani.
Diamond ni mtu wa social networks ambapo sio kosa ndio maisha yake tupo wengi tu ambao siku moja pekee tunaweza piga picha hata hamsini ila kuna watu ambao anaweza maliza wiki hajapiga picha na sio kosa. Ninachoon hapo hilo ndio suala mali za Diamond tunazifahamu ila za Kiba hapana
Waambie mkuuKwa akili zako unafikiri Kiba ndiye atakua analipa kodi kubwa TRA kama Diamond sindio?
Kiba ana studio ila hajionyeshi sindio?
Kiba ana lebel yake mwenyewe ila hajionyeshi sindio?
Kiba anamiliki mijengo ila hajonyeshi sindio?
Kiba ana MANDINGA na aliteleza kuimba kwenye seduce me kwa bahati mbaya,kuliko Diamond sindio?
Acheni utani bhana,tuwe realistic.
Sent using Jamii Forums mobile app