mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,459
- Thread starter
-
- #201
Nakumbuka lemutuz aliwahi kuanika picha zake za hovyo humu jf pale alipohamia ukawa, sasa baada ya kurudi ccm lemutuz kageuza kibao anamuita my great friend[emoji23][emoji23][emoji23]Na ndo umri una sogea (Age go),tatzo la WEMA hajitambui hata kidogo,angalia marafik zake alionao wote wapenda starehe,
si ana miaka chini ya 26Anasema yeye bado mdogo sana atiii
Kama sijakosea kwa sasa ana 30si ana miaka chini ya 26
Embu wasahangae kidgoHahaha
Nyuma ya nondo kakaaa!!![emoji2] [emoji2] [emoji2]Kwahyo mnasetia hapa?
NTAGHAIRINyuma ya nondo kakaaa!!![emoji2] [emoji2] [emoji2]
Cheap always...[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji125] [emoji125]NTAGHAIRI
Ndio anafikisha 19 mwaka huu nadhanisi ana miaka chini ya 26
"Japo si vema sana kuzungumzia maisha ya watu lakini wasukuma tunasemaga ya kwamba mafanikio kwa mwanamke lazima "beauty and brain! ziwe proportionalPamoja na umaarufu alionao wema , ni wapi alipokwama hadi anashindwa kuwa na maendeleo?., Amekosa washauri au tatizo ni nini
Baadhi ya watu wanadai kuwa wema ameshindwa kutumia umaarufu wake kujitajirisha, wengine wanadai kuwa Wema amekuwa akitumika kwa maslahi ya watu wengine bila kujitambua, wakitolea mfano Wcb jinsi wanavyo mtumiaga kwa ajili ya maslahi yao na kumtema
Wema amebahatika kuwa na watu milioni 3.4 wanaomfollow instagram lakini ameshindwa kutumia hiyo nafasi kujitangaza kibiashara kama wanavyofanya wenzie akina Wolper, Esma, Aunt Ezekiel
Wema hadi now hana hata kibanda cha mbao alichojenga, tofauti na umaarufu anaojipa, maisha yake yamekuwa ni ya maigizo kila kukicha
Anakwama wapi , ili tumshauri?
Kwani kila mwenye umaarufu ni tajiri?Pamoja na umaarufu alionao wema , ni wapi alipokwama hadi anashindwa kuwa na maendeleo?., Amekosa washauri au tatizo ni nini
Baadhi ya watu wanadai kuwa wema ameshindwa kutumia umaarufu wake kujitajirisha, wengine wanadai kuwa Wema amekuwa akitumika kwa maslahi ya watu wengine bila kujitambua, wakitolea mfano Wcb jinsi wanavyo mtumiaga kwa ajili ya maslahi yao na kumtema
Wema amebahatika kuwa na watu milioni 3.4 wanaomfollow instagram lakini ameshindwa kutumia hiyo nafasi kujitangaza kibiashara kama wanavyofanya wenzie akina Wolper, Esma, Aunt Ezekiel
Wema hadi now hana hata kibanda cha mbao alichojenga, tofauti na umaarufu anaojipa, maisha yake yamekuwa ni ya maigizo kila kukicha
Anakwama wapi , ili tumshauri?
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio anafikisha 19 mwaka huu nadhani
[emoji23][emoji23][emoji23]Hata mimi nashangaa
HahahahaaaaaaNdio anafikisha 19 mwaka huu nadhani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahaaaaaa
Tema chini hakuna mkate mgumu mbele ya chai! Hivi kweli Shunie akiamua kumchunuku mwanaume hapa JF nani hatashangilia? Hii naona ni gia yako ya kutaka kumuingia aidha ulimzukia akakausha na hii ni mbinu ya kulipiza ili akukubali. Ni kosa kubwa kwa mtoto wa kiume kuanzisha ligi na mtu mwenye kitumbua, hujafa hujaumbika anaweza kukuokoa au kukukandamiza ogopa nguvu ya KUmefanya vizuri kuniomba radhi,yaani mimi niende pm na huyo mpuuzi asiejielewa?
Mshinda JF na vicomment vya kijinga jinga? Cha ajabu eti na yeye anashauri wenzie maendeleo!! Teh! Teh! Dunia ina maajabu sana!
Angalia hata hao waliojitokeza kumsaidia kunijibu ni wale anaoshinda nao jf na vicomment vya hovyo hovyo! Ndege wafananao huruka pamoja wamethibitisha huo msemo,Mtu mwenyewe ni mshinda jf akiongea pumba tupu daily eti nimfate pm!!
Wewe nae ni wakupuuzwa tu unaonekana unapenda sana kujikomba ndio maana umemquote huyo mtu wako ili aone eti unamfagilia,usifikiri watu wote ni wa hovyo na wanapenda kujikomba kwa mtu mwenye avatar fake na ID fake,jaribu kua na akili iliyokamaa na si ya kitoto.Tema chini hakuna mkate mgumu mbele ya chai! Hivi kweli Shunie akiamua kumchunuku mwanaume hapa JF nani hatashangilia? Hii naona ni gia yako ya kutaka kumuingia aidha ulimzukia akakausha na hii ni mbinu ya kulipiza ili akukubali. Ni kosa kubwa kwa mtoto wa kiume kuanzisha ligi na mtu mwenye kitumbua, hujafa hujaumbika anaweza kukuokoa au kukukandamiza ogopa nguvu ya K