Pamoja na umaarufu alionao Wema Sepetu kwanini hana maendeleo yoyote, Anakwama wapi?

Ana chance kubwa sana ya kuendelea na kujiendeleza...

Tatizo lake haangalii kesho itakuaje... anatazama ya leo tu...

Udhaifu wake mwingine ni mbishi na anakiburi sana...


Cc: mahondaw
 
Lakini Wema si anamiliki nyumba yenye thamani ya shilling millioni 400 Kijitonyama? Au nimepitwa na wakati?
 
Huwezi ona mantiki ya ujumbe wangu kwa vile wewe inaonyesha bado una akili za kivulana. Acha na nakueleza tena acha kuwa na bifu na hao jamaa maana hujui kesho atakuwa chakula ya nani. Je, akiwa chakula ya boss wako si kibarua kwaheri. Haikupunguzii chochote ukiacha kulumbana nao.

Kwa upande wangu huyo Shunie simfahamu na sitegemei nijulikane kwa member yeyote wa JF including you. Hapo sioni mantiki ya kujikomba hata PM yangu angalia ilivyofungwa.
 
tatizo la wema hakusoma .. na mwanamke mzuri aliyekua hana elimu mwisho wake anaziumiza sehem zake za siri ..
 
Kila nikijitahidi kuelewa humu nashindwa, kweli kila jambo na mahali pake
 
Wewe ni wakupuuzwa tu coz hata unachokiandika hakieleweki,haya subiri aje akujibu huyo unayejikomba kwake.
 
Nenda wewe ambaye jua halijakuchwa ukawe host wa hao wasafi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 


Kuna baadhi ya wanawake wako tu kwa ajili ya hivyo, usimshangae sana. Pale utapiga ua lakini wapi, Wema si mwanamke wa maendeleo....ukioa LAZIMA atakufirisi tu na kujuta kuzaliwa. Hata kama ni kupendwa, sielewi hao wanaompendea wanampenda kwa lipi maana mtu mwenyewe hajitambui na si kioo cha jamii kwa sababu hana cha kufundisha watoto au hata watu wanaojimbua. Sasa jiulize, kwa umri ule anabaki tu kuwa wa kuchezewa mara na huyu mara yule.
 
Wema kaendelea sana mkuu, Ye ndo anaongoza mpaka sasa kuwa na idadi kubwa ya wanaume na wote hawakutia hata punje achia mbegu tumboni mwake!
Na pia ye ndo star wa kwanza kubadilika toka kuwa Mkurugenzi wa Endless fame hadi kuwa mfanyakazi wa WCB!
Wema ndo mwalimu wa kwanza kabisa kumfundisha Mond English na kisha huyo Mond kuitumia hyo English kumtongoza Zari kiboko ya Wema!! Hayo ni Maendeleo makubwa mno kuwahi kufikiwa na Mastar wa kibongo!
Acheni kabisa kumbeza Madam Wema
 
[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…