Pamoja na umaarufu alionao Wema Sepetu kwanini hana maendeleo yoyote, Anakwama wapi?

Unaonekana una somekind of mental disturbance mkuu,mbona na mimi umenitukana?!!
"Rudeness is the person's weakness immitation of strength"Chukua hiyo itakusaidia
Kwendraaaa...[emoji57][emoji57]
 
Maendeleo ni swala la yeye kuamua tu! Nafsi yake ina ona muda...sahizi mwenyewe ameona ni vyema atumike katika ushawishi...MUDA BADO
 
Kuna siku atazikumbuka siku zote anazozichezea SAA hiyo hawa insta woote wamezeeka kinakuja kizazi kingine kila mtu bize na watoto bize na majukumu chib
 
Tatizo lake ni Umalaya tuu, ni wa kuongwa gari, kupangiwa apartment imetosha, na kama angekuwa porno star amini angekuwa bonge la bilionea na maendeleo yake ungeyaona
 
MWANAMKE AKIKOSA AKILI ZITAKAZOUMIA NI SEHEMU ZA SIRI

HUYU ANAPENDA SANA MKUYENGE NA ANAJIVUNIA TAKO
 
Mnyaturu akili kisoda, laana ya kugawa uchi inamtafuna.
Kafanya mwili wake ndo mtaji wake
 
Huyu demu kiazi sana, wenzake wajanja wamefungua migahawa ya maana town wanauza vyakula vya kawaida tu very expensive kwa sababu ya majina na wanapiga hela tu deile ata vyuma vikaze vipi.

Yeye kabaki na kazi ya kudanga, kushonesha na kunua nguo kisha kuuza sura tu mjini huku akigongwa gongwa hovyo kama muhuri wa hakimu mkazi. Na manager wake yule kama shosti sijui anafanyaga nini cha maana nae zaidi ya kupiga piga selfie za kindezi.

Sorry for her but the truth is that she doesn't grow at all, kila siku ni utoto tu like yesterday mbaya zaidi beki hazikabi ndio maana hata mtu wa kuoa hajitokezi!
 
So wema sio tajiri wewe roho inakuuma mwenyewe..hah dah!! Pole lakini...
 
kichwani hakuna kitu unatarajia nn. KWANI WASANII AU WAUZA SURA WENGINE WANA MAENDELEO GANI. HAO KINA AUNTY EZEK, TUNDA, NA WENGINEO.
 
wema ni mamaako?? ao dadaako? mbona unafuatilia maisha yake? pambana na khali yako ...
NASIKIA WEMA ANAMILIKI TIMU ALAFU MNASEMA HANA MAENDELEO . KWANI WEWE UNACHEZA NAMBA NGAPI. COZ HILI POVU UTAKUWA UNACHEZA KIUNGO MKABAJI.
 
wema ana mafanikio, wewe uoni hilo kalio lake, unafikri kulisha likapendeza sio mamilioni ya fedha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…