yna12
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 1,936
- 2,317
Kwendraaaa...[emoji57][emoji57]Unaonekana una somekind of mental disturbance mkuu,mbona na mimi umenitukana?!!
"Rudeness is the person's weakness immitation of strength"Chukua hiyo itakusaidia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwendraaaa...[emoji57][emoji57]Unaonekana una somekind of mental disturbance mkuu,mbona na mimi umenitukana?!!
"Rudeness is the person's weakness immitation of strength"Chukua hiyo itakusaidia
Uwii hahaPapuchi
Mi namjua zaidi yakoUnao uhakika kuwa hana maendeleo,
Siyo kila staa lazima ajioneshe wazi mitandaoni kuwa anayo pesa.
[emoji4]
[emoji4] naomba namba zake.Mi namjua zaidi yako
Kwa mashauzi ya yule mrembo lazima tungejuaUnao uhakika kuwa hana maendeleo,
Siyo kila staa lazima ajioneshe wazi mitandaoni kuwa anayo pesa.
[emoji4]
Tatizo lake ni Umalaya tuu, ni wa kuongwa gari, kupangiwa apartment imetosha, na kama angekuwa porno star amini angekuwa bonge la bilionea na maendeleo yake ungeyaonaPamoja na umaarufu alionao wema , ni wapi alipokwama hadi anashindwa kuwa na maendeleo?., Amekosa washauri au tatizo ni nini
Baadhi ya watu wanadai kuwa wema ameshindwa kutumia umaarufu wake kujitajirisha, wengine wanadai kuwa Wema amekuwa akitumika kwa maslahi ya watu wengine bila kujitambua, wakitolea mfano Wcb jinsi wanavyo mtumiaga kwa ajili ya maslahi yao na kumtema
Wema amebahatika kuwa na watu milioni 3.4 wanaomfollow instagram lakini ameshindwa kutumia hiyo nafasi kujitangaza kibiashara kama wanavyofanya wenzie akina Wolper, Esma, Aunt Ezekiel
Wema hadi now hana hata kibanda cha mbao alichojenga, tofauti na umaarufu anaojipa, maisha yake yamekuwa ni ya maigizo kila kukicha
Anakwama wapi , ili tumshauri?
[emoji1] [emoji1] kabisa mkuuKuna mwingine anakuja kwa kasi ya juu anaitwa tunda..
NASIKIA WEMA ANAMILIKI TIMU ALAFU MNASEMA HANA MAENDELEO . KWANI WEWE UNACHEZA NAMBA NGAPI. COZ HILI POVU UTAKUWA UNACHEZA KIUNGO MKABAJI.wema ni mamaako?? ao dadaako? mbona unafuatilia maisha yake? pambana na khali yako ...