Pamoja na umaarufu alionao Wema Sepetu kwanini hana maendeleo yoyote, Anakwama wapi?

Yaani mimi ndo ningekuwa wema. ningeshafika hatua ya utajiri WA BAHRESA. list yooote ya mwanaume alotembea nao.
Ina maana walikuwa hawamshauri chochote.
 
Haiendi na wakati na umri unamtupa sasa, yeye anawaza mapenxi muda wote
 
Mmeongea mengi ila mi hofu yangu kwake ni kuhusu the fact that HER BIOLOGICAL CLOCK is ticking so fast...
 
Mwanaume kuwa kufagilia uteam eti naye team wema ni ushoga
Wapi nimekwambia kua nina uteam? Mimi nakushangaa wewe kufuatilia life ya mtu,bora hata Wema tunaona anachokifanya kuliko wewe kazi kushinda JF ukipiga umbea na vicomment vya hovyo hovyo kila siku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…