The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Wewe ndio nakushauri uangalie maisha yako na uache kufuatilia life za watu hazitokufaa lolote.Ushauri kampe wema ambae uko nae karibu mfyuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio nakushauri uangalie maisha yako na uache kufuatilia life za watu hazitokufaa lolote.Ushauri kampe wema ambae uko nae karibu mfyuuu
anakazi gani?Kuna mwingine anakuja kwa kasi ya juu anaitwa tunda..
Kwanini mkuu...[emoji45] [emoji45]huu ni uonevu,mods ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wema ni mizigo ambayo inaitesa Nchi.
Wapi nimekwambia kua nina uteam? Mimi nakushangaa wewe kufuatilia life ya mtu,bora hata Wema tunaona anachokifanya kuliko wewe kazi kushinda JF ukipiga umbea na vicomment vya hovyo hovyo kila siku.Mwanaume kuwa kufagilia uteam eti naye team wema ni ushoga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama umaarufu ndio kujenga nyumba, Le Mutuz, Mangi Kimambe na Harmorapa wangekuwa na mahekalu
Asanteeee kwa kunifatiliaWapi nimekwambia kua nina uteam? Mimi nakushangaa wewe kufuatilia life ya mtu,bora hata Wema tunaona anachokifanya kuliko wewe kazi kushinda JF ukipiga umbea na vicomment vya hovyo hovyo kila siku.
Sisi tunamshauri ukweli wao wanamteteaAsanteeee kwa kunifatilia
Yaani halafu team yake wanampamba kijinga ukimpa ukweli matusi!Tatizo ni yeye mwenyewe eti sasa hivi anataka kuwa host wa wasafi na jua limesha kuchwa
[emoji1] [emoji1] [emoji1] wa likes!!Ana hazina ya watu insta[emoji23]
Wema ni kama Lemutuz tu wote vichwa vinafanana yaani wapo wapo tu, fainali uzeeeni ndio taswira yaoYaani halafu team yake wanampamba kijinga ukimpa ukweli matusi!