Pamoja na umaarufu alionao Wema Sepetu kwanini hana maendeleo yoyote, Anakwama wapi?

Mleta uzi kwani kosa lake nini, kaleta mada mchangie jinsi ya kumsaidia ili apate mafanikio yanayoendana na hadhi yake, kwani ki ukweli kulingana na hadhi ya jina lake anamafanikio gani ya kulingana na umaarufu wake! mnaomponda mleta uzi mnamtetea Wema ujinga na wala hamumsaidii chochote. Mumwambie ukweli ili mumsaidie.
 
yule demu kile "kinanihi" chake kitakuwa kinapata shida sana. maana atakuwa anakitumia sana ili aweze kumudu kuishi kistaa.
 
geeeezzzz Lol
Jolie Jolie
 
Why so serious Chief..haya maisha tu.

Anyway nakutaka radhi
Umefanya vizuri kuniomba radhi,yaani mimi niende pm na huyo mpuuzi asiejielewa?
Mshinda JF na vicomment vya kijinga jinga? Cha ajabu eti na yeye anashauri wenzie maendeleo!! Teh! Teh! Dunia ina maajabu sana!
Angalia hata hao waliojitokeza kumsaidia kunijibu ni wale anaoshinda nao jf na vicomment vya hovyo hovyo! Ndege wafananao huruka pamoja wamethibitisha huo msemo,Mtu mwenyewe ni mshinda jf akiongea pumba tupu daily eti nimfate pm!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…