Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo ndio navipenda sanaHaha hata vya kwetu Kwamtogole?
Hebu test mkuuunapenda harufu nzuri au mbaya Mkuu
Na vijambo mkuuDunia ina mambo [emoji23]
Mkuu humu unaongeza umriHaya ndiyo yamenifanya nirudi humu
Si unajua nimekwepa mishare mingi nyani zeeAaaa salaleeeeeeee
We jamaa imenilazimu niangalie thread zako zilizopita, Zote n vituko nahic we si binadam wa kawaida[emoji12]
Sasa mkuu huko ulimpeleka mtu au wewe mwenyeweKaka hilo ni JINI na JINI hilo linaitwa JINI kachupi!- nakulitoa hilo nilazima upelekwe kwa Babu yeye anatibu kwa kutumia BEBERU kubwa,ukifika anakwambia kaa mkao wa chuma mboga,nahuyo BEBERU akiona mkao huo anakuja mbio kama ameona buzi jike,sasa kitakachotokea hapo basi ujue ndio PONA YAKO.pole ndugu yangu.
Ni kweli kabisa mkuuDaah kweli matatizo ni sehemu ya mwanadamu
Mkuu nimejieleza hukupitia vizur maelezo za kike usikaribishe kwa ndani ya sekunde kadhaa tu nishajua zinahifadhiwa wapiChupi za kike au za kiume?!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] una tabu sana mkuuUkinusa unabinua na midomo kama beberu au...![emoji87] [emoji87]
Aksante kwa ushauri mkuu mlaleNusa tuu mkuu,zina punguza mawazo
Ahahahaha mkuu so funny [emoji23][emoji23][emoji23]Vipi harufu zinafanana au zinatofautiana Mkuu?