madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,417
- 862
- Thread starter
- #41
Akhasante mkuu BombayPole sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akhasante mkuu BombayPole sana
Inaelekea ndo starehe yako hiyo kamanda,angalia usije ombwa na yako inusweSalaam wana jukwaa
Jamani mwenzenu nina tatizo linalonisumbua ni zaidi ya mteja wa unga na hili tatizo limeshaniletea matatizo na aibu kama mara kibao mpaka nyumbani na mke wangu
Mimi uteja wangu ni kunusa chupi za kike yaani ,nikiingia uwani kwa mtu nafanya mbinu yeyote mpaka nitoke nayo au niinuse palepale juu ya kamba kuna siku balaa lilinikuta nikaitia mfuko wa nyuma ghalfa nikasikia mwenyewe anauliza nikajaribu kutoka mle ndani kwa kasi
Nikamsikia kuna mama alikuwa amekaa ukumbini akisema wee baba huo mfuko wa nyuma kuna chupi inaning'inia nikairudisha kwa aibu wakaapa kwa tabia niliofanya wanaenda mwambia mke wangu niliomba msamaha wakaridhia,kule nyumbani kuna sehemu nimeziweka kama sitoki kuna siku wife ameamua kufanya usafi sehemu zote ghafla anaikuta rasketi nzima imejaa chupi akaniuliza haya mwenzetu na hii biashara ya chupi umeanza lini aibu nilijibalaguza kuwa kuna jamaa yangu ndio alikuja kuzihifadhi pale ili siku ya pili aende akauze lakini sijamuona karibuni wiki
Sasa ndugu zanguni aibu ni nyingi na kila nikijaribu kuacha siwezi
Na mimi nataka kutoka kwenye hili janga
Karibu [emoji1] [emoji1] [emoji1]Haya ndiyo yamenifanya nirudi humu
Ngoja na mimi nifanye hivyoAaaa salaleeeeeeee
We jamaa imenilazimu niangalie thread zako zilizopita, Zote n vituko nahic we si binadam wa kawaida[emoji12]
Ndio maana nimesema mi ni teja zaidi ya wa unga hili ni tatizo mkuuInaelekea ndo starehe yako hiyo kamanda,angalia usije ombwa na yako inuswe
We acha tuAisee duh
Ukisha nusa unahisi nin hasaNdio maana nimesema mi ni teja zaidi ya wa unga hili ni tatizo mkuu
Salaam wana jukwaa
Jamani mwenzenu nina tatizo linalonisumbua ni zaidi ya mteja wa unga na hili tatizo limeshaniletea matatizo na aibu kama mara kibao mpaka nyumbani na mke wangu
Mimi uteja wangu ni kunusa chupi za kike yaani ,nikiingia uwani kwa mtu nafanya mbinu yeyote mpaka nitoke nayo au niinuse palepale juu ya kamba kuna siku balaa lilinikuta nikaitia mfuko wa nyuma ghalfa nikasikia mwenyewe anauliza nikajaribu kutoka mle ndani kwa kasi
Nikamsikia kuna mama alikuwa amekaa ukumbini akisema wee baba huo mfuko wa nyuma kuna chupi inaning'inia nikairudisha kwa aibu wakaapa kwa tabia niliofanya wanaenda mwambia mke wangu niliomba msamaha wakaridhia,kule nyumbani kuna sehemu nimeziweka kama sitoki kuna siku wife ameamua kufanya usafi sehemu zote ghafla anaikuta rasketi nzima imejaa chupi akaniuliza haya mwenzetu na hii biashara ya chupi umeanza lini aibu nilijibalaguza kuwa kuna jamaa yangu ndio alikuja kuzihifadhi pale ili siku ya pili aende akauze lakini sijamuona karibuni wiki
Sasa ndugu zanguni aibu ni nyingi na kila nikijaribu kuacha siwezi
Na mimi nataka kutoka kwenye hili janga
Tena mengine ya kishangaza[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] khaa dunia inamambo
Ngoja tuongee private unipe namba unielekeze mkuuNenda nyumbani kwa Kajala, nasikia yeye akizifua zake anaweka barazani ili watu wazione.
Mental disorder onana na Bingwa wa magonjwa ya akili Mkuu, pole sana kwa FedhehaSalaam wana jukwaa
Jamani mwenzenu nina tatizo linalonisumbua ni zaidi ya mteja wa unga na hili tatizo limeshaniletea matatizo na aibu kama mara kibao mpaka nyumbani na mke wangu
Mimi uteja wangu ni kunusa chupi za kike yaani ,nikiingia uwani kwa mtu nafanya mbinu yeyote mpaka nitoke nayo au niinuse palepale juu ya kamba kuna siku balaa lilinikuta nikaitia mfuko wa nyuma ghalfa nikasikia mwenyewe anauliza nikajaribu kutoka mle ndani kwa kasi
Nikamsikia kuna mama alikuwa amekaa ukumbini akisema wee baba huo mfuko wa nyuma kuna chupi inaning'inia nikairudisha kwa aibu wakaapa kwa tabia niliofanya wanaenda mwambia mke wangu niliomba msamaha wakaridhia,kule nyumbani kuna sehemu nimeziweka kama sitoki kuna siku wife ameamua kufanya usafi sehemu zote ghafla anaikuta rasketi nzima imejaa chupi akaniuliza haya mwenzetu na hii biashara ya chupi umeanza lini aibu nilijibalaguza kuwa kuna jamaa yangu ndio alikuja kuzihifadhi pale ili siku ya pili aende akauze lakini sijamuona karibuni wiki
Sasa ndugu zanguni aibu ni nyingi na kila nikijaribu kuacha siwezi
Na mimi nataka kutoka kwenye hili janga
Ukisha nusa unahisi nin hasa
Akhsante kwa ushauri mkuuMental disorder onana na Bingwa wa magonjwa ya akili Mkuu, pole sana kwa Fedheha
Huko usipime mkuu nazunguuka kama gauchoNi punyeto tu....watu kama hawa ni wa kujichua tu kutokana na hisia zao kali lakini kumudu tendo live kitandani hawawezi. Dakika moja tu, hoi.
Kwani huwa ni harufu flani ya kiasili ya mvaaji chupi hata ikipigwa pafyum inajitengaHebu eleza kwanza kuhusu Harufu ipi inakuvutia zaidi kati ile yenye perfume au ile ya mkojo mkojo kwenye chupi?