Pamoja na umri mkubwa mwenzenu mteja

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aise I can't imagine ulivyobabwa na chupi kwenye mfuko.
 
Kaka hilo ni JINI na JINI hilo linaitwa JINI kachupi!- nakulitoa hilo nilazima upelekwe kwa Babu yeye anatibu kwa kutumia BEBERU kubwa,ukifika anakwambia kaa mkao wa chuma mboga,nahuyo BEBERU akiona mkao huo anakuja mbio kama ameona buzi jike,sasa kitakachotokea hapo basi ujue ndio PONA YAKO.pole ndugu yangu.
 
huyo pepo wako wa ujinga anatoka kwa viboko tu kweli vile sio bure
 
Sasa mkuu huko ulimpeleka mtu au wewe mwenyewe
 
[emoji28][emoji28]...omba kazi TPA (Bandari),coz ona onesha wew unawezo wa kuwa mbadala wa smelter
 
Ukinusa unabinua na midomo kama beberu au...![emoji87] [emoji87]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…