Ukiona unajibu kwa jazba kwenye mada iliyoanzishwa kuna mawili, aidha hoja sio yako umepewa uilete, au ni ya kwako lakini una majibu yako mfukoni. Kibinadamu nakuelewa kuwa una haki ya kukasirika, ila sikubaliani na ww kutokana na weledi niliouna kwenye uandishi wako kwenye post namba moja, hata kama post yako naichallange.
Ha ha ha ha , tangu nilijua hili jukwa hivi ndizo hekaya zenu lakini mnazidi kupigwa here and then!Mtapata taabu sana kutetea uharamia niliofanya!
No more CCM, limebaki genge la watu linaloitisha uchaguzi ili liteke na kuua watu ili kulinda vyeo .
Vyama vya upinzani vingekuwa dhaifu kama unavyojiaminisha, Jiwe wako asingekuwa anatembea na feni kila mahali na alivyo na kiburi asingepiga magoti kulaghai watu kuwa anaomba kura kumbe tayari alishapika matokeo.
Uimara wa vyama upinzani unaoutaka labda na wao watafute magobore ili kujitetea dhidi ya dhuluma za genge la kiharamia linalojiita chama cha siasa (CCM).
Kuteka na kufukuza mawakala wa vyama upinzani nchi nzima na kuelekeza wasimamizi wa vituo vya kupigia kura wajaze matokeo bila kujali kura zilizopigwa bado mnapata ujasiri kuleta propaganda za kijinga namna hii! Hakika nyie ni mashetani afadhali ya Lucifer!
Bado mpaka sasa internet imefungwa mnataka wananchi wasijue mliyotenda na mnayoenda gizani!
Dunia inatoka kwenye ujinga nyie mnataka watu wabaki kuwa wajinga! How come CCM ikawa genge la primitive creatures kwa kiwango cha kutisha hivyo!
Hakuna Uchaguzi ambao watu wote wanajitokeza Buda. Lakini Kama Kati ya watu M 29 ambao hata hivyo nyie mlikuwa mkipinga kuwa sio takwimu sahihi 12.5 wamemchagu Magufuli, hapa unadhani tatizo nini!? Kati ya vyama 15 ni Chama kimoja tu kimepata kura angau nusu ya wapiga kura wote. Kwa akili yako unadhani nani hakubaliki hapa!? Magufuli na CCM waliopata kura 12.5M Kati ya 29 au nyie vyama 15 ambao mmeshindwa kufikisha hata kura milioni 3 kwa pamoja!? Kama Chama kimoja kimefanya was kushawishi watu 12.5 wakipigie kura, halafu nyie 15 mmeshindwa kushawishi hata watu 5M kuwapigia kura, unaandamana kusema hapa tuna vyama. Unaanzaje kubisha kuwa CCM ndicho Chama Taasisisi pekee. Mtaendelea kushindwa hadi hapo mtako kwanza kubali kuwa CCM kimewazidi mbali,.pili mtakapoanza kujenga vyama vyenu kuwa Taasisisi! Hakunaga miujiza, Siasa ni Sayansi Buda
Brother nifatilie huwa sibahatishi and it takes me less than 10 minutes to think and write these things, wewe irakuchukua wiki nzima! Narudia hya matusi na vijembe mnfanya makusudi na ni silaha yenu kuwa discourage wale walio na mlengo tofauti na nyie. So narudia, kwenye Uzi wangu unajibiwa Kama ulivokuja, ni rahisi sana!
Ha ha ha ha , tangu nilijua hili jukwa hivi ndizo hekaya zenu lakini mnazidi kupigwa here and then!
Hakunaga Uchaguzi hamjawahi kuibiwa, lakini kila uchaguzi mnashiriki!
Ha ha ha ha, eti unaleta justification kupitia mke wako, yaani hicho ndicho kimekufanya ufikie hitimisho, teh teh teh. Narudia Mtaendelea kushindwa Kama mtakuwa kila uchaguzi mnadai mmeibiwa hadi pale mtakapoanza kufanya tafiti kwanini mnashindwa. Kwahiyo hizo kura 6000 ndizo zilipaswa kumfanya Lissu amshinde Magufuli.Kwa taarifa yako haya tunayosema humu kuwa ccm haijashinda kihalali hatubahatishi. Ni kweli ccm inaweza kushinda, ila sio kwa ushindi huu wa sasa. Nilifuatilia wakati wa utangazaji wa matokeo, kila kituo kilikuwa na watu 350-450, hakuna popote nilisikia wapiga kura wamefika 200, zaidi ya nusu niliposikia walikuwa wapiga kura chini ya 150, na matokeo ya vituo vingi vya kura kura za mbunge na urais haziwiani. Mke wangu alikuwa wakala kwenye kituo fulani, humo Magufuli alipata kura 1,500+, na Lisu 6,000+, lakini anasema kwenye fomu ya mwisho ya mwisho iliyoletwa kwa vitisho, Magufuli alipewa kura 7,000+ na Lisu alipewa kura 200! Huu ni mfano wa dhahiri wa kile kilichofanyika, na matokeo ya urais huwezi kwenda mahakamani. Ndio maana ukija na maelezo kuwa ccm inakubalika, na imeshinda kwa kishindo inabidi nichekee kwenye shati.
Ni hivi, ccm ni chama cha kizazi kilichopita, ndio maana inatumia njia za umwagaji, damu, wizi kwa ushirikiano wa vyombo vya dola na tume ya uchaguzi. Hii yote ni kwa sababu iko nje ya muda ndio maana inashurutisha kutawala. Mtu yoyote mwenye akili timamu anaweza kuendesha nchi hii, na sio huo upotoshaji eti kuwa ccm pekee ndio inaweza kutawala. Uchaguzi wa nchi hii kwa sasa umekuwa kama wa nchi ambazo viongozi wake wamekaa madarakani muda mrefu na kuwa wanashinda kwa zaidi ya 80+, lakini siku wametolewa kulikuwa na watu wachache sana waliojitokeza kuwatetea. Mfano Mugabe, Hosni Mubaraka, Elbashir nk. Mifumo mibovu ya nchi yetu hasa katiba ndio nguvu pekee ya ccm.
Kwani Mimi ni wapi Mimi nimekutukana zaidi ya kujibu kulingana na hoja yako.Angalia komenti yako ya kwanza nimekujibu Nini!?Hatujuli unaweza kuandika kwa haraka kiasi gani, ila tunaangalia ubora wa ulichoandika. Kujisifia ni haki yako na hatuna tatizo na hilo. Unajibiwa matusi na vijembe na nani, huu ni utetezi dhaifu, mfano mimi nimechangia huu uzi wako zaidi ya mara moja, wapi nimekutukana au kukupiga kijembe?
Unafananisha vitu viwili tofauti kabisa. Tatizo liliokuwepo kabla ya VAR lilikuwa linawaathiri wadau wote. Na bado Kuna mjadala kuwa VAR inavaribu ladha ya mchezo. Hapa Kuna upande mmoja kila siku unadai kuathirika na mfumo uliopo miaka yote na mfumo haufai lakini hamjawahi kuacha kushiriki.Technology ya VAR imeletwa kwenye soka baada ya malalamiko ya muda mrefu wa baadhi ya ushindi, je timu zilikuwa pembeni bila kushiriki ili kusubiri technology hii? Naona ulikuja na hoja ya msingi, lakini naona uko chini ya kiwango ya kile nilichotarajia toka kwako kwenye post namba moja.
Ha ha ha ha ha, ndiyo maana Mimi nikasema kwa maslahi ya Taifa na kwakuwa huu ndio mfumo unaonekana kuwa sahihi, zoezi hili liratibiwe na kitengo.Hili halitokaa litokee labda Yanga na simba ziwe taasisi za kisiasa. Hawa ndo wanaweza kuigawa nchi mara 2
Unafananisha vitu viwili tofauti kabisa. Tatizo liliokuwepo kabla ya VAR lilikuwa linawaathiri wadau wote. Na bado Kuna mjadala kuwa VAR inavaribu ladha ya mchezo. Hapa Kuna upande mmoja kila siku unadai kuathirika na mfumo uliopo miaka yote na mfumo haufai lakini hamjawahi kuacha kushiriki.
Mwaka 2015 Mlisema Lowassa ameibiwa ila kwakuwa nyinyi hamukuwa mmeibiwa mkatinga bungeni. Mwaka huu na nyie π ππππππ mmeibiwa ila hamtaki ambao hawajaibiwa waingie bungeni. Watu wa ajabu kweli!
Kwani Mimi ni wapi Mimi nimekutukana zaidi ya kujibu kulingana na hoja yako.Angalia komenti yako ya kwanza nimekujibu Nini!?
Wewe ndiye huna hoja. Mfano siku zote lazima ufanane na unachozungumzia, full stop, huo ni mfano irrelevant na hauwezi kureflect hoja yako.To different things!Una hoja za kuokoteza, mfano wa VAR nimekupa kama sehemu kukuonyesha kukiwa na malalamiko utaratibu unawekwa vizuri ili kupata mshindi asiyeacha shaka. Kutaka kukuonyesha kuwa una hoja za kuokoteza ukiwa huna kumbukumbu, CUF ya Maalim Seif walijitoa uchaguzi wa marudio baada ya matokeo kufutwa, kipi kilibadilika uchaguzi huu ili tujue kuna hatua, zaidi ya kusikia ukisusa twala?
Lowassa kwenye uchaguzi uliopita matokeo yale yalikuwa na utata wa kutosha, ila matokeo ya urais hayahojiwi mahakamani, lakini wangalau kura zile zilikuwa na wingi wa kuridhisha, na yeye alisema hawezi kuingiza watu mtaani. Unaposema nyie unamaanisha nini, maana mimi siungi mkono aliyeshinda kuzuiwa kuingia bungeni. Nisichoafiki ni viti maalum kuingia bungeni, huku ukweli kuwa uchaguzi huu ulikuwa na umwagaji damu, wizi wa wazi, na uhuni mwingi wa kutosha. Je kwa mfumo huu unaoibeba ccm, unatarajia ccm wakubali ubadilishwe wakati wanajua fika hawelawezi tena kushindana kwa ushindani halali. Kama kina kuna wanaccm wanashangilia kupita bila kupingwa, tena kwa hujuma, unatarajia ccm wakubali mfumo huu unawaobeba wakubali mabadiliko waishie kupotea? Mwanzo nilidhani una hoja, lakini mjadala ulivyoendelea nimegundua uko below par.
Na ndio maana nimekueliza unajibiwa kadiri ya unavyotaka ujibiwe, ukitoka ujibiwe kwa hoja Jenga hoja, ukitoka kebehi toa kebehi, ukitoka matusi toa matusi. Hapa kila mtu anapewa kimfaacho kulingana na matakwa yakeWw unasema watu huwa wanatukana na kukejeli ili kudiscourage nyie wenye hoja za nguvu, nikakuambia hicho ni kichaka kidogo, na nikajitolea mimi mfano kwenye hoja zangu. Halafu kwenye halaiki hii unakwepaje kejeli, matusi nk? Huku hoja ndio zinakubeba, matusi ni part & parcel ya mijadala huru ya mitandaoni.
Mpumbavu anavyouanika upumbavu wake hadharani! Hili ni jukwaa linalosomwa na watu wengi wakiwemo hao ngedere wa dodoma wajaza masanduku kwa kura feki na kujipa ushindi ambao umeanza kuwatisha wenyewe! Kifupi huna uliloandika lenye hoja za kujibiwa! Ningekuwa nasahihisha hii essay yako ningekulima kwa maandishi ya unsatisfaction!Tatizo la kufikiria kwa kutumia Masaburi. Anyways huwa siandiki kwa ajiri ya Ngedere wa Serengeti!
Kwa akili yenu ndogo ni kuwa mnawakomoa wapinzani, lakini haitatokea milele watanzania wote wawe na mawazo ya kufanana hata siku moja.Ha ha ha ha , tangu nilijua hili jukwa hivi ndizo hekaya zenu lakini mnazidi kupigwa here and then!
Hakunaga Uchaguzi hamjawahi kuibiwa, lakini kila uchaguzi mnashiriki!
Ha ha ha ha ha, a moron in making. Asante kwa kujaMpumbavu anavyouanika upumbavu wake hadharani! Hili ni jukwaa linalosomwa na watu wengi wakiwemo hao ngedere wa dodoma wajaza masanduku kwa kura feki na kujipa ushindi ambao umeanza kuwatisha wenyewe! Kifupi huna uliloandika lenye hoja za kujibiwa! Ningekuwa nasahihisha hii essay yako ningekulima kwa maandishi ya unsatisfaction!
Teuzi hazitafutwi jf jombaaa, kachukue jembe uelekee shamba!
Kila bwege la lumumba fc linampaisha Lissu na kumsahau mwenyekiti wao! Mtakuwa watovu wa nidhamu Sasa hivi na mtaitwa kwenye kamati ya maadili!