kajekudya
JF-Expert Member
- Sep 24, 2015
- 2,466
- 4,916
- Thread starter
- #21
Brother nifatilie huwa sibahatishi and it takes me less than 10 minutes to think and write these things, wewe irakuchukua wiki nzima! Narudia hya matusi na vijembe mnfanya makusudi na ni silaha yenu kuwa discourage wale walio na mlengo tofauti na nyie. So narudia, kwenye Uzi wangu unajibiwa Kama ulivokuja, ni rahisi sana!
Ukiona unajibu kwa jazba kwenye mada iliyoanzishwa kuna mawili, aidha hoja sio yako umepewa uilete, au ni ya kwako lakini una majibu yako mfukoni. Kibinadamu nakuelewa kuwa una haki ya kukasirika, ila sikubaliani na ww kutokana na weledi niliouna kwenye uandishi wako kwenye post namba moja, hata kama post yako naichallange.