Pamoja na usomi wangu siachi matambiko na mila ng'oo

Aisee kimaro babaanguuu

tupe samare aisee
 
Mizimu ni shetani kuvaa sura au uhusika wa wazee wa ukoo.
Roho ikifa haibaki duniani either kuzimu au peponi ikisubiria siku za hukumu.
Ibada ni sehemu mbili either kwa Mungu au Shetani.

Alisikika mtu aliyetoka kusoma kitabu cha dini cha kuletewa na watu asiowajua
 
Mleta mada elendelea kutambika ipo siku mizimu itaomba jicho lako la nyumba nayo itambike.
Mizimu ina masharti yao..!
Usitembee au kulala bila KY pembeni..!
Hapana naweza kuliongela hili kama ilivyo kwa binadamu yoyote hupenda kuthaminiwa pia hio mizimu haipendi thihaka ni vp uache dini ya mababu ukumbatie utumwa wa fikra na kiroho waafrika we have our origins hili tumepuuza
 
Ujinga ni kuacha mizimu yako ikuombee na kwenda kusema sijui Mtakatifu nani sijui akuombee.

Turudi tukaombe baraka kwenye mizimu yetu.

Watakatifu mizimu yetu mtuombee

Mnaokwenda kutambika ujumbe huu unawahusu.Huyu ni mbobezi kwenye mambo ya kiroho ktk Elimu ya ulimwengu usioonekana. U
Huyu ni Learner mwambie akasome 1Samuel 28 ili ajue mzimu ni.nini
 
Cc Dumas the terrible
 
Mkuu wangu nimekupata vema sana aisee umenikumbusha
singer John Lenon alikua anasisitiza hiki kitu kua yeye ndie Mungu na anaamini katika yeye wengi miaka Ile walimwona Atheist mkubwa na mtu aliyekufuru ila alikua sahihi sana na ndio maana ukisikiliza nyimbo zake nyingi Kama Imagine na God zinafungua sana akili ndio maana FBI walimfwekelea mbali maana alikua moto!
 
Kuna uhuru wa kuabudu bna kama wewe unaona ukiiomba mizimu inakusaidia iombe na uzindike hukohuko uzimuni.

Wanaoamini kupitia dini za kiislam na kikristo vivyohivyo, hizo mambo za kua wale wana dini yao, dunia ishachanganyika saiv kuna wazungu waislam na waarabu wakristo vile vile.

Kwahiyo ni kile mtu anaamini ni sahihi kwake na kina msaada pia, kama hivyo basi hiyo mizimu ina nguvu ndogo sana na inaelekea kushindwa sasa, maana hizi diji nyingine zinaifunika na inasahaulika kabisa.
 
Well said mkuu maana naweza kusema kuwa matatzo yetu ni makubwa kwa sababu ya kuchanganya mambo,the great task is to discover the laws of NATURE
Mila na desturi za watu weupe ndio zilizotuletea matatzo.
 
Well said mkuu maana naweza kusema kuwa matatzo yetu ni makubwa kwa sababu ya kuchanganya mambo,the great task is to discover the laws of NATURE
Mila na desturi za watu weupe ndio zilizotuletea matatzo.
Mshampata wa kumlaumu sasa, ni akili zetu wenyewe ndgu mnazisingizia tu mila za wazungu.
 
Ndugu yangu LIKUD Umetuacha kwenye mataa ile mada yako ile!
 
 
Mimi sio muumini wa Ukiristo wala Uislamu wala ubudha naona hizi imani hazina faida kwangu kabisa, Ila nimchangiaji mzuri sana nisikiapo kuna harakati za Mila Kijijini huwa Natoa baraka zote as long as hizo mila hazimuathiri Mtu wala hazihusishi sadaka za damu ya binadamu Upumbafu wa kwenda sijui kuomba baraka kwenye koo za kina Mohamed au Issa siuataki kabisa wazee walishaniweka kitimoto kuwa sichangii mambo ya Ujenzi wa Nyumba za ibada nkawambia nichangie halafu baadae muanze kutundika Picha za kina Issa Na Tasibihi huo ujinga hapana niliwambia Mimi niiteni kwenye harambee za Kuboresha mazingira ya shule za vijana wetu au namna gani tuweke utaratibu watoto wapate chakula shule au mambo ya barabara ila sio upuuzi wa kanisa wala Msikiti
 
Ujinga ni kuacha mizimu yako ikuombee na kwenda kusema sijui Mtakatifu nani sijui akuombee.

Turudi tukaombe baraka kwenye mizimu yetu.

Watakatifu mizimu yetu mtuombee
yote ya mungu na mizimu hayana ukweli wowote. Hivo vitu vyote havipo Ila sisi watu ndo tunavileta vitu hivyo lakini kiuhalisia havipo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…