Pamoja na usomi wangu siachi matambiko na mila ng'oo

Itabidi nitafute nyimbo za huyu jamaa john lenon, sijawahi kumsikia. Thanks
 
Itabidi nitafute nyimbo za huyu jamaa john lenon, sijawahi kumsikia. Thanks
mtafute na msikilize huyu nguli aliyekua Member wa kundi la muziki la The Beatles
Utaona mambo mengi ya kuifungua ubongo halafu utanipa mrejesho hasa sikiliza wimbo unaitwa God na imagine!
 
Mungu ni mmoja tu anayeishi...usipotoshe umma ndugu.

Mungubwa Ibrahim Yakobo na Isaka ndiye MUNGU pekee wa kuabudiwa hapa ulimwenguni...kila ulitajapo jina lake mambo hutokea ni msikivu na mwenye rehema kuu ya milele na milele.
 
Kila mtu abaki vile anavyoamini
Mbona nyie mkihubiri hamtaki kuambiwa kila ktu abaki na anavyoamini?? Tulieni muambiwe ukweli dini zenu zivuliwe nguo. Mbona nyie mnaitukana hadharani mzimu ya baba na babu zetu hadharani na kuiita mapepo mashetani??

Ila nyie mkipewa za uso mnakimbilia kuomba yaishe[emoji3]
 
Nimesoma, bandiko hili kuna ambayo nina kubaliana nayo moja kwa moja, kuna mengine nataka kuuliza kidgo.

Kuabudu ni nini??, Hawa miungu ya mataifa mengine yanaabudiwaje?
Umesema mizimu tuipatie shukran, Kwanini tusiishi nao kwa upendo, na kuwashukuru wakiwa hai badala ya wakiwa wafu?

Umesema mizimu ni roho za watu walio trapped ktk dimensions ya nne, Kwanini wameshindwa jinasua hapo? Kuwa trapped means uwezo wao una kikomo na ukomo, je, kipi chema ku deal mwenye uwezo mwenye ukomo au asiye na ukomo? Mizimu wanapenda penda pombe , tunawachinjia mbuzi ,tunatoa zawadi ambazo wangekuwa ktk dimensions ya tatu zingewafaa sana, why tuwape zawadi za pombe wakat wao ni wafu ,wafu wanalewa? na kusikia njaaa?? Kwanini hizi zawadi tusiwape ambao bado wapo ktk dimension hii kama njiaa ya kuwapa shukran na furaha uson,ili akifa aende na picha ya upendo kutoka kwetu??

Naungana nawe ktk bandiko lako naomba kujibiwa
 
IMANI ni kuw na uhakika na mambo yatabiriwayo ni bayana na mamb yasiyoonekana,🎯
 
Kiongozi nimekuelewa vizuri sana na hongera kwa kupata ufahamu huo,mila inaua ila dini aiuwi
Mungu wako kaua mamilioni ya watu kwenye biblia.

Huyo mwingine kaua wengi kwenye quran.

Hadi leo ukifa anakuchoma kwa sababu tu ya ugomvi wake na shetani. Kwa nini asikuadhibu shetani anayempotosha mwanadamu wakamalizana wao, badala yake aje kukuchoma wewe?

Naona wewe huelewi unachokiabudu.
 
Ila usiende na watoto wako waache wafike umri wa kujitambua ndio uwaambie matambiko waaingie wenyewe.

Kifupi weww ni mpumbafu unaejidai kujua kafie mbele wewe kama wewe watoto waache hujui kuhusu hayo mambo uko mjinga na gizani sana.
Wewe watoto wako umewaacha wafikishe miaka 18 ndo ukawapeleka kanisani au msikitini??
 
Ungejua kisa cha yeye hadi kuacha kuwatumia majini usingesema hivyo.
Kuna Kazi yenye hela duniani kuliko uganga,maana mganga kuwa na bilioni moja ni kitu cha kawaida tena mganga wa level ya chini tu.
Kama mtu anaamua kuacha utajiri wote na kumfuata Mungu utasema vipi anataka sadaka
 
Huyu ni Learner mwambie akasome 1Samuel 28 ili ajue mzimu ni.nini
Huyo alikuwa na degree za uchawi anamjua shetani nje ndani na anamjua Mungu nje ndani utasemaje ni student,ameuishi uchawi.
Hio Samwel nenda hadi 31.
 
Mungu ni mmoja tu anayeishi...usipotoshe umma ndugu.

Mungubwa Ibrahim Yakobo na Isaka ndiye MUNGU pekee wa kuabudiwa hapa ulimwenguni...kila ulitajapo jina lake mambo hutokea ni msikivu na mwenye rehema kuu ya milele na milele.
Kwendra
 
Jiulize hivi mkuu......Wachina wanaabudu kivyao, wazungu wana wao, wahindi wana wao, waarab wana wao, Africa jee?........ hujiulizi tu?......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…