Kizibo
JF-Expert Member
- Jul 3, 2018
- 4,617
- 10,524
Habari wakuu.
Nimekuwa najiuliza Kwa muda mrefu sana juu ya hili swala, tatizo Mimi nakuwa mvivu kuanzisha Uzi.
Je, pamoja na vita na migogoro inayoendelea duniani, JWTZ wametulia tu bila kujifunza na kuchukua hatua ya kuboresha vifaa vita, mikakati na mbinu??
Kuanzia vita ya Urusi na Ukreini, Pakistan na India, Israel na Iran na ule mgogoro wa kule Congo
Hivi kweli inawezekana Jwtz wamebunda tu bila kuchukua somo???
Pamoja na mikwara yote ya Kagame, kweli Jwtz wanaweza wakawa wametulia tu wameamua kuwa kondoo au nyumbu???
Kagame anajipamba au anapambwa kuwa Ana intelligensia Kali kiasi anaijua Tz nje ndani, je JWTZ Nao wanaweza wakawa wapo wapo tu bila kuipeleleza Rwanda??
HAPANA SIAMINI. SIDHANI KAMA JWTZ wanaweza kuwa wajinga kiasi hicho.
Kipi kinapelekea najiuliza haya yote? Ni kutokana na watu wengi hasa humu Jamii Forums kusema kuwa JWTZ wameufyata Kwa jeshi la Rwanda.
Sidhani kama maneno haya ya kejeli mitandaoni hawayaoni. Na kutokana na kejeli hizo sidhani kama jwtz wanaweza kuwa wameufyata tu bila kuchukua hatua hasa za kuboresha mbinu na vifaa vya kivita.
Tumeona kutokana na vita zinazoendelea duniani, Zana za kisasa za kivita ( Mifumo ya kulinda anga, Drones na ndege vita) na intelligensia Kali ndio mhimili wa vita ya kisasa. Na Kagame amekuwa akipambwa kuwa Ana zana za kivita za kisasa na intelinsia Kali. Je JWTZ wao wametulia tu hawajifunzi Wala hawawekezi katika zana za kisasa ili kiendana na wakati tulio Nao???
AU Kwa kuwa jwtz wapo kimya (hawajitetei Wala hawakanushi) ndo inaelekea watu Kuamini kuwa jtwz ipo kizamani sana!!?
Mnaompamba mr Slim, msimdanganye akajichanganya, atafafanywa kitu kibaya sana
Nawasilisha