Jeshi la wananchi tuliii, linashuhudia namna wananchi wanavyobagazwa na serikali na machawa wakeHabari wakuu.
Nimekuwa najiuliza Kwa muda mrefu sana juu ya hili swala, tatizo Mimi nakuwa mvivu kuanzisha Uzi.
Je, pamoja na vita na migogoro inayoendelea duniani, JWTZ wametulia tu bila kujifunza na kuchukua hatua ya kuboresha vifaa vita, mikakati na mbinu??
Kuanzia vita ya Urusi na Ukreini, Pakistan na India, Israel na Iran na ule mgogoro wa kule Congo
Hivi kweli inawezekana Jwtz wamebunda tu bila kuchukua somo???
Pamoja na mikwara yote ya Kagame, kweli Jwtz wanaweza wakawa wametulia tu wameamua kuwa kondoo au nyumbu???
Kagame anajipamba au anapambwa kuwa Ana intelligensia Kali kiasi anaijua Tz nje ndani, je JWTZ Nao wanaweza wakawa wapo wapo tu bila kuipeleleza Rwanda??
HAPANA SIAMINI. SIDHANI KAMA JWTZ wanaweza kuwa wajinga kiasi hicho.
Kipi kinapelekea najiuliza haya yote? Ni kutokana na watu wengi hasa humu Jamii Forums kusema kuwa JWTZ wameufyata Kwa jeshi la Rwanda.
Sidhani kama maneno haya ya kejeli mitandaoni hawayaoni. Na kutokana na kejeli hizo sidhani kama jwtz wanaweza kuwa wameufyata tu bila kuchukua hatua hasa za kuboresha mbinu na vifaa vya kivita.
Tumeona kutokana na vita zinazoendelea duniani, Zana za kisasa za kivita ( Mifumo ya kulinda anga, Drones na ndege vita) na intelligensia Kali ndio mhimili wa vita ya kisasa. Na Kagame amekuwa akipambwa kuwa Ana zana za kivita za kisasa na intelinsia Kali. Je JWTZ wao wametulia tu hawajifunzi Wala hawawekezi katika zana za kisasa ili kiendana na wakati tulio Nao???
AU Kwa kuwa jwtz wapo kimya (hawajitetei Wala hawakanushi) ndo inaelekea watu Kuamini kuwa jtwz ipo kizamani sana!!?
Mnaompamba mr Slim, msimdanganye akajichanganya, atafafanywa kitu kibaya sana
Nawasilisha
Mimi sio mtalaam wa haya mambo, lakini nadhani Hilo ni jukumu la polisi. Jwtz Kwa kiasi kubwa wanahusika na vitisho vya raia kutoka nje ya mipaka ya nchi.Jeshi la wananchi tuliii, linashuhudia namna wananchi wanavyobagazwa na serikali na machawa wake
Hao Police wafanye nini mbele ya CCM?Mimi sio mtalaam wa haya mambo, lakini nadhani Hilo ni jukumu la polisi. Jwtz Kwa kiasi kubwa wanahusika na vitisho vya raia kutoka nje ya mipaka ya nchi.
Polisi ndo wametusaliti
rais wa ndani akiwaua wote jwtz watalinda nani kuzuia vitisho vya nje?.........if needs have to act!Mimi sio mtalaam wa haya mambo, lakini nadhani Hilo ni jukumu la polisi. Jwtz Kwa kiasi kubwa wanahusika na vitisho vya raia kutoka nje ya mipaka ya nchi.
Polisi ndo wametusaliti
Vumiliakuna mpumbavu hapo juu amejibu vitu kutoka nje ya mada kabisa
Jwtz haiendi kisiasa, wao wanajibu kwa vitendo. Kama huamini waambie hao wahuni wa Kagame waje waanzishe chokochoko waone watakachokipata.Habari wakuu.
Nimekuwa najiuliza Kwa muda mrefu sana juu ya hili swala, tatizo Mimi nakuwa mvivu kuanzisha Uzi.
Je, pamoja na vita na migogoro inayoendelea duniani, JWTZ wametulia tu bila kujifunza na kuchukua hatua ya kuboresha vifaa vita, mikakati na mbinu??
Kuanzia vita ya Urusi na Ukreini, Pakistan na India, Israel na Iran na ule mgogoro wa kule Congo
Hivi kweli inawezekana Jwtz wamebunda tu bila kuchukua somo???
Pamoja na mikwara yote ya Kagame, kweli Jwtz wanaweza wakawa wametulia tu wameamua kuwa kondoo au nyumbu???
Kagame anajipamba au anapambwa kuwa Ana intelligensia Kali kiasi anaijua Tz nje ndani, je JWTZ Nao wanaweza wakawa wapo wapo tu bila kuipeleleza Rwanda??
HAPANA SIAMINI. SIDHANI KAMA JWTZ wanaweza kuwa wajinga kiasi hicho.
Kipi kinapelekea najiuliza haya yote? Ni kutokana na watu wengi hasa humu Jamii Forums kusema kuwa JWTZ wameufyata Kwa jeshi la Rwanda.
Sidhani kama maneno haya ya kejeli mitandaoni hawayaoni. Na kutokana na kejeli hizo sidhani kama jwtz wanaweza kuwa wameufyata tu bila kuchukua hatua hasa za kuboresha mbinu na vifaa vya kivita.
Tumeona kutokana na vita zinazoendelea duniani, Zana za kisasa za kivita ( Mifumo ya kulinda anga, Drones na ndege vita) na intelligensia Kali ndio mhimili wa vita ya kisasa. Na Kagame amekuwa akipambwa kuwa Ana zana za kivita za kisasa na intelinsia Kali. Je JWTZ wao wametulia tu hawajifunzi Wala hawawekezi katika zana za kisasa ili kiendana na wakati tulio Nao???
AU Kwa kuwa jwtz wapo kimya (hawajitetei Wala hawakanushi) ndo inaelekea watu Kuamini kuwa jtwz ipo kizamani sana!!?
Mnaompamba mr Slim, msimdanganye akajichanganya, atafafanywa kitu kibaya sana
Nawasilisha
Mkuu mbona unajitekenya na kucheka mwenyewe? Unaamini sisi wananchi wa kilungule tutakuwa na majibu sahihi juu ya maswali yako na hii mada yako uliyoanzisha ili kutuchimba na hao waliokutuma?Habari wakuu.
Nimekuwa najiuliza Kwa muda mrefu sana juu ya hili swala, tatizo Mimi nakuwa mvivu kuanzisha Uzi.
Je, pamoja na vita na migogoro inayoendelea duniani, JWTZ wametulia tu bila kujifunza na kuchukua hatua ya kuboresha vifaa vita, mikakati na mbinu??
Kuanzia vita ya Urusi na Ukreini, Pakistan na India, Israel na Iran na ule mgogoro wa kule Congo
Hivi kweli inawezekana Jwtz wamebunda tu bila kuchukua somo???
Pamoja na mikwara yote ya Kagame, kweli Jwtz wanaweza wakawa wametulia tu wameamua kuwa kondoo au nyumbu???
Kagame anajipamba au anapambwa kuwa Ana intelligensia Kali kiasi anaijua Tz nje ndani, je JWTZ Nao wanaweza wakawa wapo wapo tu bila kuipeleleza Rwanda??
HAPANA SIAMINI. SIDHANI KAMA JWTZ wanaweza kuwa wajinga kiasi hicho.
Kipi kinapelekea najiuliza haya yote? Ni kutokana na watu wengi hasa humu Jamii Forums kusema kuwa JWTZ wameufyata Kwa jeshi la Rwanda.
Sidhani kama maneno haya ya kejeli mitandaoni hawayaoni. Na kutokana na kejeli hizo sidhani kama jwtz wanaweza kuwa wameufyata tu bila kuchukua hatua hasa za kuboresha mbinu na vifaa vya kivita.
Tumeona kutokana na vita zinazoendelea duniani, Zana za kisasa za kivita ( Mifumo ya kulinda anga, Drones na ndege vita) na intelligensia Kali ndio mhimili wa vita ya kisasa. Na Kagame amekuwa akipambwa kuwa Ana zana za kivita za kisasa na intelinsia Kali. Je JWTZ wao wametulia tu hawajifunzi Wala hawawekezi katika zana za kisasa ili kiendana na wakati tulio Nao???
AU Kwa kuwa jwtz wapo kimya (hawajitetei Wala hawakanushi) ndo inaelekea watu Kuamini kuwa jtwz ipo kizamani sana!!?
Mnaompamba mr Slim, msimdanganye akajichanganya, atafafanywa kitu kibaya sana
Nawasilisha
Unatumia kilevi gani!? Umesoma uzi kweli?Hawana chama, na si wanasiasa, wakiingia hiyo chadema hutaiona kabisa, na wanaweza kuirudisha CCM ikiwa na nguvu kuliko wakati wowote ule
Mambo ya JESHI ni SIRI!!!,,,IDI AMINI akisaidiwa na GADAFI wavamia TANZANIA,kilichotokea kila m2 anakifahamu!! " Kushinda vita kunahitaji UJASIRI na UZALENDO wa hali ya juu"....huyo KAGAME UNAESema nchi yake haina upoja,,kuna waasi wapo CONGO na ndani ya RWANA,wengi wamekimbilia uhamishoni!!Habari wakuu.
Nimekuwa najiuliza Kwa muda mrefu sana juu ya hili swala, tatizo Mimi nakuwa mvivu kuanzisha Uzi.
Je, pamoja na vita na migogoro inayoendelea duniani, JWTZ wametulia tu bila kujifunza na kuchukua hatua ya kuboresha vifaa vita, mikakati na mbinu??
Kuanzia vita ya Urusi na Ukreini, Pakistan na India, Israel na Iran na ule mgogoro wa kule Congo
Hivi kweli inawezekana Jwtz wamebunda tu bila kuchukua somo???
Pamoja na mikwara yote ya Kagame, kweli Jwtz wanaweza wakawa wametulia tu wameamua kuwa kondoo au nyumbu???
Kagame anajipamba au anapambwa kuwa Ana intelligensia Kali kiasi anaijua Tz nje ndani, je JWTZ Nao wanaweza wakawa wapo wapo tu bila kuipeleleza Rwanda??
HAPANA SIAMINI. SIDHANI KAMA JWTZ wanaweza kuwa wajinga kiasi hicho.
Kipi kinapelekea najiuliza haya yote? Ni kutokana na watu wengi hasa humu Jamii Forums kusema kuwa JWTZ wameufyata Kwa jeshi la Rwanda.
Sidhani kama maneno haya ya kejeli mitandaoni hawayaoni. Na kutokana na kejeli hizo sidhani kama jwtz wanaweza kuwa wameufyata tu bila kuchukua hatua hasa za kuboresha mbinu na vifaa vya kivita.
Tumeona kutokana na vita zinazoendelea duniani, Zana za kisasa za kivita ( Mifumo ya kulinda anga, Drones na ndege vita) na intelligensia Kali ndio mhimili wa vita ya kisasa. Na Kagame amekuwa akipambwa kuwa Ana zana za kivita za kisasa na intelinsia Kali. Je JWTZ wao wametulia tu hawajifunzi Wala hawawekezi katika zana za kisasa ili kiendana na wakati tulio Nao???
AU Kwa kuwa jwtz wapo kimya (hawajitetei Wala hawakanushi) ndo inaelekea watu Kuamini kuwa jtwz ipo kizamani sana!!?
Mnaompamba mr Slim, msimdanganye akajichanganya, atafafanywa kitu kibaya sana
Nawasilisha
😀😀Umemalizia kiujanja kweli!Habari wakuu.

Unatumia kilevi gani!? Umesoma uzi kweli?