R Retired JF-Expert Member Joined Jul 22, 2016 Posts 52,815 Reaction score 103,955 Jul 17, 2025 #21 Kipangaspecial said: Jwtz haiendi kisiasa, wao wanajibu kwa vitendo. Kama huamini waambie hao wahuni wa Kagame waje waanzishe chokochoko waone watakachokipata. Click to expand... vita haitabiriki
Kipangaspecial said: Jwtz haiendi kisiasa, wao wanajibu kwa vitendo. Kama huamini waambie hao wahuni wa Kagame waje waanzishe chokochoko waone watakachokipata. Click to expand... vita haitabiriki
magnifico JF-Expert Member Joined Jan 14, 2013 Posts 14,029 Reaction score 34,441 Jul 17, 2025 #22 Hakuna awamu jeshi leru limefedheheshwa kama awamu hii, tunapigwa search hadi na makonstebo?
uchumi2018 JF-Expert Member Joined Mar 4, 2018 Posts 2,085 Reaction score 2,996 Jul 17, 2025 #23 chiembe said: Hawana chama, na si wanasiasa, wakiingia hiyo chadema hutaiona kabisa, na wanaweza kuirudisha CCM ikiwa na nguvu kuliko wakati wowote ule Click to expand... umesahau kuongeza neno '' and vice versa''
chiembe said: Hawana chama, na si wanasiasa, wakiingia hiyo chadema hutaiona kabisa, na wanaweza kuirudisha CCM ikiwa na nguvu kuliko wakati wowote ule Click to expand... umesahau kuongeza neno '' and vice versa''