Pamoja na yote kaka zangu

Poleee...eeh kumbe Chauro nawe ni mwana mama?:israel:
 
Shemeji.......siku hizi mlango wako wa PM haufungi......kitasa kibovu nini?

nyamayao hajambo?

Kajukuu hivi nlikutambulisha kwa mama yako? Amesharudi toka huko alikokuwa kajichimbia.
 
Shemeji.......siku hizi mlango wako wa PM haufungi......kitasa kibovu nini?

nyamayao hajambo?

Naoana unakaba mpaka kivuli......lol mwache mwenyekiti hujui anatafuta wanachama wapya wa Club yetu?
 
Poleee...eeh kumbe Chauro nawe ni mwana mama?:israel:
we acha tu izi jinsia saa nyingine zinachanganya maaana haya mambo ya kukabidhiwa majukumu ya mwanaume waeza fikiria ushaota kibamia
 
we acha tu izi jinsia saa nyingine zinachanganya maaana haya mambo ya kukabidhiwa majukumu ya mwanaume waeza fikiria ushaota kibamia

Habari yako chauro... Hizo bamia unazozungumzia hapo ni hizi babu nazolima huku Mpigi Magohe?
 
cjambo dearest...kwema? umepotea cku mbili tatu hizi...nilimuuliza kipemba (Asprin) akaniambia mambo yamekuwa shwari ndio anakuletea ukwaju...hebu niahabarishe dia coz kipemba nae c wa kumwamini ki vile...lol

Nacheki na invizibo ili aniambie kwa kanuni mpya za JF chini ya spika mpya tena mwanamke, hilo neno hapo ni NAME CALLING au ni TUSI. Will be right back!:A S angry::A S angry::A S angry:
 
izi ni zile zinapasha moto vyungu achana na za kuchuma bustanini
Habari yako chauro... Hizo bamia unazozungumzia hapo ni hizi babu nazolima huku Mpigi Magohe?
 
Hakuna mwanamke wala mwanaume asiependa pesa pesa ndio kila kitu tukatae tukubali ukienda kumpenda ambae sio saiz yako lazima uchunwe tu

Wakati mwingine ina kera sana kuona mkaka anamwomba pesa mdada.
kuna kaka ameomba urafiki nami juzijuzi tu, kabla sijamkubalia tayari kashaleta dokezo la kumkopesha laki 5. Sijui ananitega/nipima kama nitaweza kumpa au la?
Kwakuwa naichukia sana tabia hiyo amesababisha nimchukie sana na wala sitaki tena mahusiano naye.
 
Mmmmhh kumbe wako wengi. Yaani huyo kiboka hata hajapata kitu tayari wanaume jamani aaakkkhhh Hii kali bora wengine tuna miaka kibao nao
 
Dah...aliliandika kwenya karatasi zetu zile za kijani? pole sana...hujamuuliza za nini? labda anaenda kumalizia kibanda alichokwisha kukujengea kwa jina lako?

lol....
 
Shemeji.......siku hizi mlango wako wa PM haufungi......kitasa kibovu nini?

nyamayao hajambo?

Hivi MJ1 umeona ule wimbo wa "shemeji shemeji huku wazima taa" Nimeweka lyrics zake hapa

Nyamayao hajambo luv anadunda kama kawaida....leo nikjifanya kweka miguu kwenye friza imekula kwangu sitapata hela ya bia so naunda strategy nyingine....

mlango wa mwenyekiti unataka ufungwe?
 
dada mie hapo tu waniacha hoi i miss uu mwaa
Conquest-ni kweli wachache wasio fikiri wangu Atm kama kawaida ila ni real love:smile-big:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…