MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Hivi Maty iko tabu gani? hebu nicheki PM tutete.....
Shemeji.......siku hizi mlango wako wa PM haufungi......kitasa kibovu nini?
nyamayao hajambo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi Maty iko tabu gani? hebu nicheki PM tutete.....
nashukuru Maty umesema ukweli wanawake ni wavumilivu sana akikupenda kweli hata ufanye nini au unakasoro gani anauwezo wa kukuvumilia tu hayo yote kwao ni vitu vidogo sana mwanaume amuonyeshe kumjali tu na amuheshimu hata mambo ya kucheat naamini kabisa wanaume ndo waliogeuza mioyo yetu wengi hawatimizi wajibu wao kama wanaume
Shemeji.......siku hizi mlango wako wa PM haufungi......kitasa kibovu nini?
nyamayao hajambo?
Shemeji.......siku hizi mlango wako wa PM haufungi......kitasa kibovu nini?
nyamayao hajambo?
Poleee...eeh kumbe Chauro nawe ni mwana mama?:israel:
M/kti mwambie katibu aiweke kwenye kumbukumbu yetu for future use!!Poleee...eeh kumbe Chauro nawe ni mwana mama?:israel:
we acha tu izi jinsia saa nyingine zinachanganya maaana haya mambo ya kukabidhiwa majukumu ya mwanaume waeza fikiria ushaota kibamiaPoleee...eeh kumbe Chauro nawe ni mwana mama?:israel:
we acha tu izi jinsia saa nyingine zinachanganya maaana haya mambo ya kukabidhiwa majukumu ya mwanaume waeza fikiria ushaota kibamia
Shemeji.......siku hizi mlango wako wa PM haufungi......kitasa kibovu nini?
nyamayao hajambo?[/QUO
cjambo dearest...kwema? umepotea cku mbili tatu hizi...nilimuuliza kipemba (Asprin) akaniambia mambo yamekuwa shwari ndio anakuletea ukwaju...hebu niahabarishe dia coz kipemba nae c wa kumwamini ki vile...lol

Habari yako chauro... Hizo bamia unazozungumzia hapo ni hizi babu nazolima huku Mpigi Magohe?
Shemeji.......siku hizi mlango wako wa PM haufungi......kitasa kibovu nini?
nyamayao hajambo?[/QUO
cjambo dearest...kwema? umepotea cku mbili tatu hizi...nilimuuliza kipemba (Asprin) akaniambia mambo yamekuwa shwari ndio anakuletea ukwaju...hebu niahabarishe dia coz kipemba nae c wa kumwamini ki vile...lol
Mh hata sikujua kuwa huyu ajiitaye babu yangu ananichoma mkuki mgongoni loh.........my dearest pendo nlilivua miaka sasa mambo ya kula ukwaju tena yanatoka wapi.......... kweli ni kipemba.
Mkoloni tu mama yangu yaani ananikaba hadi nakosa pumzi.....but we are all fyne
izi ni zile zinapasha moto vyungu achana na za kuchuma bustanini
ni bora uwe na wakukusaidida japo kidogo kuliko ambae hasaidii kabisa, awe hata anajitambua jamani, sio kaishiwa credoo ana beep unapiga, plz swity nimeishiwa credoo, unatuma, mara cjui ana hamu ya kinywaji umeshamtumia credoo lakini ana beep tena ukical anakuambia ana kiu...huo ni msalaba...awe na kamsaada kwa namna moja au nyingine, vinginevyo labda muwe na makubalaino yeye wa nyumbani wewe ukatafute pesa, sio utoke job mbio ukapike wakati yeye katundika miguu juu ya freezer anakunywa wine,ukirudi home shughuli zote zimekamilika na yeye ndio kazikamilisha, asiwe mariooo 100% jamani.
Kumuacha inaruhusiwa? Pamoja na ndoa kubwa ya St. Joseph?
Hakuna mwanamke wala mwanaume asiependa pesa pesa ndio kila kitu tukatae tukubali ukienda kumpenda ambae sio saiz yako lazima uchunwe tu
Wakati mwingine ina kera sana kuona mkaka anamwomba pesa mdada.
kuna kaka ameomba urafiki nami juzijuzi tu, kabla sijamkubalia tayari kashaleta dokezo la kumkopesha laki 5. Sijui ananitega/nipima kama nitaweza kumpa au la?
Kwakuwa naichukia sana tabia hiyo amesababisha nimchukie sana na wala sitaki tena mahusiano naye.
Wakati mwingine ina kera sana kuona mkaka anamwomba pesa mdada.
kuna kaka ameomba urafiki nami juzijuzi tu, kabla sijamkubalia tayari kashaleta dokezo la kumkopesha laki 5. Sijui ananitega/nipima kama nitaweza kumpa au la?
Kwakuwa naichukia sana tabia hiyo amesababisha nimchukie sana na wala sitaki tena mahusiano naye.
Kumuacha inaruhusiwa? Pamoja na ndoa kubwa ya St. Joseph?
kumbe mume? haya! kuanzia mnaanzana ilikuwa ndio hivyo? kama ndio hivyo endelea tu coz ulishamzoesha hivyo, kama haikuwa hivyo sema alipata tabu kati hapo kwenye mambo fulani fulani bac sio mbaya ukimuwezesha( maarifa ya ki shughuli/biznec) ili nae aweze kujikimu kwa moja au mbili.
Shemeji.......siku hizi mlango wako wa PM haufungi......kitasa kibovu nini?
nyamayao hajambo?