Bana likasi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2020
- 6,926
- 6,430
Umeyumba hata kabla.Sema we ni mnufaika na uwepo wake bila yeye au mfumo wake utakufa njaa.Miaka 5 kila kitu hovyo akipewa mingine si itakuwa hovyo zaidi.Wana JF naleta hoja hii na naomaba tuiunge mkono.
Sijaanza kampeni hapana.
Ila mwaka huu tunajua ni mwaka wa uchaguzi wa Rais na wabunge.
Wabunge twaweza kuwaondoa lakini kwa Rais chonde chonde tumwache aendelee.
Sababu zangu kimsingi ni miradi miwili mikubwa ambayo Mh Magufuli angeachwa aimalizie .
Wa kwanza muhimu sana ni ue wa Umeme wa Stiegler, na wa pili hi huu wa SGR.
Uchumi umeyumba siyo siri akini hata huko Ulaya na Marekani hali ni hiyo hiyo.
Tumwachie kipindi cha pili Mh Magufuli ili ingalau akamilishe hii miradi na àw
Kweli kabisa lakini Taasisi hiyo inaongozwa na mtu mwenye maono.Rais ni Taasisi
Kwenye Utawala wa Sheria lknRais ni Taasisi
Kwani nchi ambazo zina matatizo kama rushwa, vita, ubadhirifu wa mali ya umma na mengine mengi huko urais siyo taasisi? Think critically!Rais ni Taasisi
Kama ikionekana tija haiwezi simamainawezekana kwa maslahi yako binafsi amekuudhi lakini angalia na upande wa pili miradi ya kitaifa inayotekelezwa katka hii awamu ya 5 ambayo hata wewe na familia yako mtanufaika nayo. TANZANIA FIRST MENGINE KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE TU.
Kwani alipoomba aliomba vipindi viwili au kimoja? Wacha waende kuchagua yule wampendayeWana JF naleta hoja hii na naomaba tuiunge mkono.
Sijaanza kampeni hapana.
Ila mwaka huu tunajua ni mwaka wa uchaguzi wa Rais na wabunge.
Wabunge twaweza kuwaondoa lakini kwa Rais chonde chonde tumwache aendelee.
Sababu zangu kimsingi ni miradi miwili mikubwa ambayo Mh Magufuli angeachwa aimalizie .
Wa kwanza muhimu sana ni ue wa Umeme wa Stiegler, na wa pili hi huu wa SGR.
Uchumi umeyumba siyo siri akini hata huko Ulaya na Marekani hali ni hiyo hiyo.
Tumwachie kipindi cha pili Mh Magufuli ili ingalau akamilishe hii miradi na tutamkumbuka maana hii miradi itpaisha uchumi.
Just live in your mediocrity!Kama ikionekana tija haiwezi simama
Ila kumrudisha huyo ni kurudisha mateso kwa watz
Ikulu aliyoitelekeza?Unaposema aachwe unamaanisha kuna watu hawataki awepo, ni wa Aina gani na ni wangapi ambao wanaweza kuwashinda wananchi waliowengi ambao watamchagua? Magufuli kuwepo pale Ikuru hahitaji hisani ya wapinzani uchwara wavunjaji wa haki za wabunge wenzao chamani
Anayebisha achukue fomu ya kushindana naye aone aibu atakayoiingia tangu azaliwe na Hadi atakapokufa
Ni kweli kwa utaratibu wa katiba.Kwani alipoomba aliomba vipindi viwili au kimoja? Wacha waende kuchagua yule wampendaye
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama angepimwa kama Rais bila kuangalia makunyanzi hawezi kubebeka kwa miaka mitano. Ila wakifanya siasa atabebeka.Wana JF naleta hoja hii na naomaba tuiunge mkono.
Sijaanza kampeni hapana.
Ila mwaka huu tunajua ni mwaka wa uchaguzi wa Rais na wabunge.
Wabunge twaweza kuwaondoa lakini kwa Rais chonde chonde tumwache aendelee.
Sababu zangu kimsingi ni miradi miwili mikubwa ambayo Mh Magufuli angeachwa aimalizie .
Wa kwanza muhimu sana ni ue wa Umeme wa Stiegler, na wa pili hi huu wa SGR.
Uchumi umeyumba siyo siri akini hata huko Ulaya na Marekani hali ni hiyo hiyo.
Tumwachie kipindi cha pili Mh Magufuli ili ingalau akamilishe hii miradi na tutamkumbuka maana hii miradi itpaisha uchumi.
I always think outside the box, you do not need to scratch your head about ' rushwa, vita, ubadhirifu wa mali ya umma' 'hivi vyote ukiwa na katiba nzuri vinafutika vyenyewe'Kwani nchi ambazo zina matatizo kama rushwa, vita, ubadhirifu wa mali ya umma na mengine mengi huko urais siyo taasisi? Think critically!
My friend that's why nakwambia think critically. Katiba peke yake bila kuwa political will ya kueleta maendeleo ya nchi haina maana sana. Hiyo katiba nani anaisimamia? Au unadhani ukisha kuwa na hiyo katiba tu tayari unakuwa na maendeleo? Kuna nchi kadhaa hapa Afrika (sitozitaja) zinasifiwa kuwa na katiba nzuri sana lakini kwa maendeleo nyingine tunazipita au tunalingani nazo. Katiba alone bila political will (good party manifesto & Government performance) ni sawa na gari jipya ambalo halina mafuta. (Litaishia kusifiwa tu kwamba gari kali sana lakini linapigwa na vumbi tu kwenye parking lot). HATA HIVYO SISEMI KWAMBA TUSIWE NA KATIBA NZURI.I always think outside the box, you do not need to scratch your head about ' rushwa, vita, ubadhirifu wa mali ya umma' hivi vyote ukiwa na katiba nzuri vinafutika vyenyewe'
Uchumi umeshuka kabla hata ya corona kutokana na sera za majukwaani sera za makukwaani zimesbabisha biashara zishindwe kukua badalayake nyingi zimefungwa 'it is the result of policy uncertainty businesses have failed to plan for growth.With the out break of covid-19 economy is scarring. Policy uncertainty is a cause of negative political will or complex altitudes towards business and industry'My friend that's why nakwambia think critically. Katiba peke yake bila kuwa political will ya kueleta maendeleo ya nchi haina maana sana. Hiyo katiba nani anaisimamia? Au unadhani ukisha kuwa na hiyo katiba tu tayari unakuwa na maendeleo? Kuna nchi kadhaa hapa Afrika (sitozitaja) zinasiwa kuwa na katiba nzuri sana lakini kwa maendeleo nyingine tunzipita au kulingani nazo. Katiba alone bila political will (good party manifesto & Government performance) ni sawa na gari jipya ambalo halina mafuta. (Litaishia kusifiwa tu kwamba gali kali lakini linapigwa na vumbi tu kwenye parking lot)
Eeeeh
Ukweli Magufuli ni mtu wa maendeleo.My friend that's why nakwambia think critically. Katiba peke yake bila kuwa political will ya kueleta maendeleo ya nchi haina maana sana. Hiyo katiba nani anaisimamia? Au unadhani ukisha kuwa na hiyo katiba tu tayari unakuwa na maendeleo? Kuna nchi kadhaa hapa Afrika (sitozitaja) zinasifiwa kuwa na katiba nzuri sana lakini kwa maendeleo nyingine tunazipita au tunalingani nazo. Katiba alone bila political will (good party manifesto & Government performance) ni sawa na gari jipya ambalo halina mafuta. (Litaishia kusifiwa tu kwamba gari kali sana lakini linapigwa na vumbi tu kwenye parking lot). HATA HIVYO SISEMI KWAMBA TUSIWE NA KATIBA NZURI.
LOoo, napata shida sana kuchangia mada hii baada ya kufahamiana na wewe hapa JF!Wana JF naleta hoja hii na naomaba tuiunge mkono.