LURIGA
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 2,515
- 3,928
Kwa hiyo magufuli anajenga kwa hela zake? Acheni chuki zisizo na mashiko.Kodi za wananchi.
Kwa hiyo magufuli anajenga kwa hela zake? Acheni chuki zisizo na mashiko.Kodi za wananchi.
Kwa hiyo magufuli anajenga kwa hela zake? Acheni chuki zisizo na mashiko.
Haya bwana subiri mpaka 2025.Ndio maana tunataka akae pembeni miradi itajengwa na wananchi. Yeye nafasi ya urais haimfai, akawe waziri wa miundombinu asimamie hiyo miradi.
Kwa hiyo magufuli anajenga kwa hela zake? Acheni chuki zisizo na mashiko.
Ukisha pata umeme wa uhakika bei ya umeme itashuka na viwanda ni lazima vitaongezeka.
Hilo li la dhahiri.
Sasa thamani ya maisha utaikosaje?
Rais ni Taasisi
Waliomatangulia kwa ahadi za maisha bora kwa kila mtanzania, kilimo kwanza na matokeo makubwa sasa vyote hivyo mlivipata? Simitetei Magufuli ila some times politicians duniani kote huwa wanaahidi vitu vingine ambavyo siyo rahisi kutekelezeka. Hata mimi hilo la viwanda nilijua tu kwamba ni siasa maana serikali haijengi viwanda tena isipokuwa sekta binafsi. Sasa huwezi kusema tutajenga viwanda wakati sekta binafsi haijawekewa mikakati mizuri ya kujenga hivyo viwanda. Lakini mambo mengine anajitahidi mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Hakuna chuki hapo,yeye aliomba mkataba wa kutuongoza miaka mitano na alisema ktk miaka hiyo Tanzania itageuka kuwa viwanda sasa ebu tuhesabie kwanza viwanda vilivyojengwa hadi sasa ili tuone kama anastahili kupewa mkataba mwingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliomatangulia kwa ahadi za maisha bora kwa kila mtanzania, kilimo kwanza na matokeo makubwa sasa vyote hivyo mlivipata? Simitetei Magufuli ila some times politicians duniani kote huwa wanaahidi vitu vingine ambavyo siyo rahisi kutekelezeka. Hata mimi hilo la viwanda nilijua tu kwamba ni siasa maana serikali haijengi viwanda tena isipokuwa sekta binafsi. Sasa huwezi kusema tutajenga viwanda wakati sekta binafsi haijawekewa mikakati mizuri ya kujenga hivyo viwanda. Lakini mambo mengine anajitahidi mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
We kipofu au kiziwi? Au unaishi Syria?Mambo mengine yapi?
Mkuu Kalamu1 uko sahihi mana tumekutana awali nikikosoa utendaji wa serikali.
Kwa bahati mbaya kuna watu humu wanachukulia kukosoa kuwa sawa na upinzani.
Hivyo wanatetea hata mapungufu yaliyo dhahiri.
Kuonea watu na kuwafunga hata kama ni wapinzani si sahihi.
Naamini Magufuli ni binadamu na hata kama hapendi lakini at least anapata feedback ya yale mambo ambayo kina YES SIR wanampelekea kpitia mitandao hii.
Hii haina maana tuna mchukia au kumpinga kisiasa.
Hili lielekweke wazi.
Pili kati ya mapungufu ya Magufuli ni hulka tu.
Tunajua hapendi kuambiwa amekosea, hayo ni mapungufu.
Ambaye hakosei ni Mungu tu na malaika wake.
Lakini katika kutenda na kusimamia kile anachoamini Magufuli nampa nambari wani.
Wazungu husema "he zeroes in" katika tatizo au mpango wa maendeleo bila kupepesa macho.
Na ndio maana naamini ni vyema Magufuli akamalizia kipindi ingine ch miaka mitano ingalau hii miradi imalizike.
Nakumbushua , kule Zanzibar kuna nymba akizianza Mh Karume baada ya mapinduzi.
Alipofariki 1972 nyuma ambazo hazikuwa zimekailika zilikaa hivyo karibia miaka 40.
Mpeni Magufuli miaka mitano amalize kazi.
Huko USA Trump alihadi kujenga ukuta wa kutenganisha USA na Mexico kwa lengo la kudhibiti wahamiaji haramu toka mexico na nchi nyingine za Latin America. Je Trump ameshajenga huo ukuta?
Mkuu Kalamu1, nathamini mchango wako kwa vile u makini hata katika kumbukumbu.'Jidu' hunisomi, na kama unanisoma hunielewi.
Ngoja nikwambie kidogo: hiki kijiwe cha JF tupo watu aina mbalimbali kidogo. Wengine tunachukulia kwa makini sana baadhi ya michango toka kwa wachangiaji kadhaa waliomo humu. Tulishajibishana kidogo tokea huko nyuma mimi na wewe kuhusu kipenzi chako hiki. Masopya na Jidu...!
Ninakukumbuka muda kitambo kidogo mkuu wangu 'Jidu la Mabambasi' tokea huko nyuma kidogo, sio juzi tu ulipoamua kunishirikisha kidogo katika unayoyaamini na CCM yenu. Niliyachukulia hayo uliyoniandikia kwa umakini na nilikujibu, na pengine bado hukuelewa nilichokujibu.
Sasa ukweli ninaoupata toka kwako ni huu. Wewe sio mpenzi wa CCM kama chama cha siasa. Wewe ni mpenzi wa Magufuli, amabaye ametokea kukibinafsisha chama cha CCM.
Leo hii unawadanganya wapuuzi apewe muda ili amalize miradi. Miradi haiishi. Kesho utakuja na hadithi hiyo hiyo.
Imenisikitisha kidogo kwa kukufahamu kihivi.
Una uhuru wa kuwa na mawazo yako!kwanza kupita kwake hakuhitaji kura za wana JF kama wewe
uchumi kushuka ni suala lililokumba hata mataifa makubwa
waliowengi watamchagua na lazma apite kwa kishindo. hapa JF wengi hata sifa za kupiga kura hawana wanabwabwaja tu