Hivi unakumbuka wakati wa gesi ya Mtwara tuliambiwa maneno haya haya? Ni kwamba waTanzania tunasahau haraka au ni niniUkisha pata umeme wa uhakika bei ya umeme itashuka na viwanda ni lazima vitaongezeka.
Hilo li la dhahiri.
Sasa thamani ya maisha utaikosaje?
Hiyo miradi haikuanza leo na itaendelea tu hata kama nchi haitakuwa na rais. Aondoke October 2020.Wana JF naleta hoja hii na naomaba tuiunge mkono.
Sijaanza kampeni hapana.
Ila mwaka huu tunajua ni mwaka wa uchaguzi wa Rais na wabunge.
Wabunge twaweza kuwaondoa lakini kwa Rais chonde chonde tumwache aendelee.
Sababu zangu kimsingi ni miradi miwili mikubwa ambayo Mh Magufuli angeachwa aimalizie .
Wa kwanza muhimu sana ni ue wa Umeme wa Stiegler, na wa pili hi huu wa SGR.
Uchumi umeyumba siyo siri akini hata huko Ulaya na Marekani hali ni hiyo hiyo.
Tumwachie kipindi cha pili Mh Magufuli ili ingalau akamilishe hii miradi na tutamkumbuka maana hii miradi itpaisha uchumi.
Kama ikionekana tija haiwezi simamainawezekana kwa maslahi yako binafsi amekuudhi lakini angalia na upande wa pili miradi ya kitaifa inayotekelezwa katka hii awamu ya 5 ambayo hata wewe na familia yako mtanufaika nayo. TANZANIA FIRST MENGINE KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE TU.
Kwann tung'ang'anie soda iliyoisha nguvu Hali kwenye friji ziko nyingiMkuu.. Ni kweli.. Busara za kawaida zinakataza kutafuta kinyozi mpya siku ya harusi yako hata kama unataka kunyoa upara.. Unashauriwa kumtumia kinyozi ambaye umemzoea na una uhakika atakunyoa vizuri ukapendeza siku ya harusi yako..
Nchi yetu ime invest nguvu nyingi kwa Magufuli.. Si busara nguvu hii tuliyo invest ikapotea.. Wacha tuendelee kuvuna kwa Magufuli ili nchi yetu ipate faida ya uwekezaji huu!
Kuna makubwa mengi ambayo Magufuli ameyaanzisha.. Busara inatutaka watanzania tumwongeze kipindi kingine aweze kuyakamilisha.
Ule mradi mkubwa saana saana aisee usichukulie masihara na bado hawajaanza kuchimba hata bwawa moja bado wapo katika mataarisho mungu akitupa uhai na mradi huo ukiisha watanzania kiukweli watakua hatuna shida ya umemeUkisha pata umeme wa uhakika bei ya umeme itashuka na viwanda ni lazima vitaongezeka.
Hilo li la dhahiri.
Sasa thamani ya maisha utaikosaje?
Itawezekana tu na utakamilika.Ule mradi mkubwa saana saana aisee usichukulie masihara na bado hawajaanza kuchimba hata bwawa moja bado wapo katika mataarisho mungu akitupa uhai na mradi huo ukiisha watanzania kiukweli watakua hatuna shida ya umeme
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki kukujibu kwa papara kwa haya uliyoweka hapa pamoja na kwamba mengi yake siyaafiki na hapo ndipo lilipo tatizo.Mkuu Kalamu1, nathamini mchango wako kwa vile u makini hata katika kumbukumbu.
Pengine umenielewa kivingine katika michango yangu.
Pote ninapo post kwanza najitambulisha kuwa ni mwana CCM , tena liberal.
Mimi ni liberal kwa maana ya kuamini misingi ya chama chenyewe.
Nitasema kweli daima fitina kwangu ni mwiko.
Pamoja na imani hiyo kuna principles za maendeleo yaani watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora.
Hiyo kuisema ni simple.
Please note michango yangu mara zote najaribu kuwa factual na logical.
Tunaweza tofautiana katika conclusions za facts na logic lakini hilo ni la kila mtu kulieleza jinsi anavyo anaelewa.
Mara zote kitu kisipoenda sawa nimekikosoa bila kumung’unya maneno, na mengine yamemhusu hata Rais mwenyewe.
Tukirudi kwa Mh Magufuli, tupende tusipende kwa sasa ndio chaguo la CCM toka mwaka 2015 na huwezi badilisha hilo.
Sasa hivi kumtaka Magufuli aendelee muhula mwingine ni kuwa mnazi wake?
Nimesema mapema kuwa miradi hii aliyoianzisha ni bora akaimalizia, na huo ni unazi au kuwa practical?
Mkuu I hope umenielewa.
Shida ya umeme iko pale pale...Ule mradi mkubwa saana saana aisee usichukulie masihara na bado hawajaanza kuchimba hata bwawa moja bado wapo katika mataarisho mungu akitupa uhai na mradi huo ukiisha watanzania kiukweli watakua hatuna shida ya umeme
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wakati Ronald Reagan , Rais wa Marekani aliwahi kusema “ read my lips”Sitaki kukujibu kwa papara kwa haya uliyoweka hapa pamoja na kwamba mengi yake siyaafiki na hapo ndipo lilipo tatizo.
You sound a bit sincere, but then incredibly conflicted? How can this be?
Naomba unisome baadae ikiwezekana. Nitarudi kukujibu kwa utulivu zaidi.