Pamoja na yote, Magufuli aachwe amalize vipindi vyake viwili vya Urais

Pamoja na yote, Magufuli aachwe amalize vipindi vyake viwili vya Urais

huu uzi plus comments za ku u support unaonyesha jinsi Tanzania kama nchi ilivyo BOGUS..hivi ikitokea huyo mtu akapata matatizo ya kibinadamu hiyo miradi ndo imekufa siyo? mkiambiwa mjenge taasisi imara na siyo mtu imara mnanuna
Huu ni ujuha kabisa je siku wapambe wakisema aongezewe mika iwe 40 ili amalize miradi na kuongeza mingine mtashangilia?
yaani kweli katika watu milion 55 ni mmoja tu anaweza kufanya hivyo ?dah nchi imekuwa ya kikuda kweli,
Kwa hiyo ukijenga hiyo taasisi basi ndiyo hautahitaji a visionary and daring president kwa ajili ya kuleta maendeleo ya nchi? Au unadhani taasisi ni kitu special ambacho chenyewe ndicho automatically kina plan na ku-command maendeleo ya nchi yaje. Huko kwenye taasisi kama USA au most European countries hawahitaji a strong and visionary leader kisa wana taasisi imara? You are basing your argument on accountability of leadership while we are basing our arguments on strong and visionary leadership to nurture the development of our country. I think that's where we deffer!
 
Kama viwanda ilikuwa ni kutudanganya nafikiri apishe sasa tumpe mwingine naye aje kutudanganya,kwamaana hiyo hakuna haja ya kuendelea kudanganywa na mtu mmoja.Kwavile tumekubali kuishi Maisha ya kudanganywa danganywa basi tuwape na wengine pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hao walikuwa kabla yake waliwadanganya mengi tu na mkashindwa kuwatoa madarakani, ten wengine wlikuwa dhaifu kwelikweli, sasa ndiyo utaweza kumtoa huyu mwamba madarakani kirahisi hivyo? Nyie tulieni tu hizo kelele mzipeleke 2025.
 
Mkuu bado msimamo wangu ni ule ule.
Sioni chama wala harakati mbadala bila kubadili katiba na kuiboresha.
Huoni unavyojichanganya?
Huyu unayemlilia ndiye asiyetaka katiba ibadilishwe kwa sababu inamnufaisha yeye.

Niliandika hapo mwanzo kwamba mjadala huu tumeumaliza; na sina nia wala uwezo wa kubadili msimamo wako.
 
Wana JF naleta hoja hii na naomaba tuiunge mkono.
Sijaanza kampeni hapana.
Ila mwaka huu tunajua ni mwaka wa uchaguzi wa Rais na wabunge.
Wabunge twaweza kuwaondoa lakini kwa Rais chonde chonde tumwache aendelee.
Sababu zangu kimsingi ni miradi miwili mikubwa ambayo Mh Magufuli angeachwa aimalizie .
Wa kwanza muhimu sana ni ue wa Umeme wa Stiegler, na wa pili hi huu wa SGR.

Uchumi umeyumba siyo siri akini hata huko Ulaya na Marekani hali ni hiyo hiyo.

Tumwachie kipindi cha pili Mh Magufuli ili ingalau akamilishe hii miradi na tutamkumbuka maana hii miradi itpaisha uchumi.
Usimpangie Mungu...akiamua akaongoze Malaika...hiyo miradi watamalizia wengine...kwanza tupambane na Corona

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa namkubali kwenye usimamizi wa matumizi. Miradi hiyo pia, hata hivyo hiyo miradi ameikuta. Kinachonifanya nimwondoe kichwani kwangu ni chuki zake kwa baadhi ya watu na kutukuwa na utu kwa watu wake. Kama nilivyoeleza juu.
Magufuli kama binadamu naye ana mapungufu yake maana si malaika.
Na vile vile hawezi kujiweka mwenyewe madarakaninhata kama vyombo vya dola wote watampigia kura.
Kutuongoza ni sisi wananchi kumpendekeza na kumweka ili amalize kile alichoanza, na ndio maana kama mwananchi nampigia chapuo.

Mie miradi yangu ni hiyo miwili, SGR na Umeme Stieglers Gorge, tumpe nafasi amalize, believe me Tanzania itabadilika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aisee najuta kumaliza chuo kipindi hiki Cha magu natamani nihame nchi kwa muda,anakatisha tamaa

California love
 
Back
Top Bottom