KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,181
- 17,187
Hapana. Huyo alikuwa Bush Sr., ikihusiana na kodi zao. He paid for the deception.Kuna wakati Ronald Reagan , Rais wa Marekani aliwahi kusema “ read my lips”
Hapana. Huyo alikuwa Bush Sr., ikihusiana na kodi zao. He paid for the deception.Kuna wakati Ronald Reagan , Rais wa Marekani aliwahi kusema “ read my lips”
Mkuu 'Jidu La Mabambasi',Mkuu I hope umenielewa.
Wana JF naleta hoja hii na naomaba tuiunge mkono.
Sijaanza kampeni hapana.
Ila mwaka huu tunajua ni mwaka wa uchaguzi wa Rais na wabunge.
Wabunge twaweza kuwaondoa lakini kwa Rais chonde chonde tumwache aendelee.
Sababu zangu kimsingi ni miradi miwili mikubwa ambayo Mh Magufuli angeachwa aimalizie .
Wa kwanza muhimu sana ni ue wa Umeme wa Stiegler, na wa pili hi huu wa SGR.
Uchumi umeyumba siyo siri akini hata huko Ulaya na Marekani hali ni hiyo hiyo.
Tumwachie kipindi cha pili Mh Magufuli ili ingalau akamilishe hii miradi na tutamkumbuka maana hii miradi itpaisha uchumi.
Mkuu.. Ni kweli.. Busara za kawaida zinakataza kutafuta kinyozi mpya siku ya harusi yako hata kama unataka kunyoa upara.. Unashauriwa kumtumia kinyozi ambaye umemzoea na una uhakika atakunyoa vizuri ukapendeza siku ya harusi yako..
Nchi yetu ime invest nguvu nyingi kwa Magufuli.. Si busara nguvu hii tuliyo invest ikapotea.. Wacha tuendelee kuvuna kwa Magufuli ili nchi yetu ipate faida ya uwekezaji huu!
Kuna makubwa mengi ambayo Magufuli ameyaanzisha.. Busara inatutaka watanzania tumwongeze kipindi kingine aweze kuyakamilisha.
Mbavu zangu kwishney! Kilangila.Mtukufu Rais ameishinda korona, kawashinda mabeberu 🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐🐐, kaokota vichwa vya matreni, kaleta nyungu, dawa mahiri ya Coronavirus, mpaka Wachina na Marekani wanaitamani.
Adumu milele, atawale milele kwenye Taifa hili
Mahaba niue! Kilangila.Mkuu inawezekana unachosema ni kweli kwamba hata kama Maghufuli ataondoka madarakani miradi aliyoianzisha itaendelezwa na watakaomfuatia. Hilo linaweza likawa hivyo au lisiwe hivyo, yote mawili yanawezekana kabisa. Lakini point ya mleta mada ni jinsi Mhe. Magufuli anavyojitoa katika kuhakikisha kwamba hii miradi na mingine mingi inakamilika ikiwezekana ndani ya kipindi cha uongozi wake. Siyo kila rais atakaye ingia ikulu ya magogoni atakuwa committed kwelikweli kuleta maendeleo. Inawezekana atakayemfuata isionyeshe uthubutu na u-serious wa kufanya mambo makubwa katika hii nchi. Tusichukulie kwamba marais wote wanakuwa na commitment inayofanana kwenye kusimamia miradi ya maendeleo na mambo mengine yote ya nchi. HIVYO NI BORA TUKATHAMINI TULIYENAYE SASA AMBAYE TUNAONA UWAJIBIKAJI WAKE KATIKA KULETA MAENDELEO YA NCHI YETU KUL;IKO KUISHI KWA HISIA KWAMBA HATA KAMA ATAONDOKA WENGINE WATAFANYA.
Ule mradi mkubwa saana saana aisee usichukulie masihara na bado hawajaanza kuchimba hata bwawa moja bado wapo katika mataarisho mungu akitupa uhai na mradi huo ukiisha watanzania kiukweli watakua hatuna shida ya umeme
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana JF naleta hoja hii na naomaba tuiunge mkono.
Sijaanza kampeni hapana.
Ila mwaka huu tunajua ni mwaka wa uchaguzi wa Rais na wabunge.
Wabunge twaweza kuwaondoa lakini kwa Rais chonde chonde tumwache aendelee.
Sababu zangu kimsingi ni miradi miwili mikubwa ambayo Mh Magufuli angeachwa aimalizie .
Wa kwanza muhimu sana ni ue wa Umeme wa Stiegler, na wa pili hi huu wa SGR.
Uchumi umeyumba siyo siri akini hata huko Ulaya na Marekani hali ni hiyo hiyo.
Tumwachie kipindi cha pili Mh Magufuli ili ingalau akamilishe hii miradi na tutamkumbuka maana hii miradi itpaisha uchumi.
Unaposema aachwe unamaanisha kuna watu hawataki awepo, ni wa Aina gani na ni wangapi ambao wanaweza kuwashinda wananchi waliowengi ambao watamchagua? Magufuli kuwepo pale Ikuru hahitaji hisani ya wapinzani uchwara wavunjaji wa haki za wabunge wenzao chamani
Anayebisha achukue fomu ya kushindana naye aone aibu atakayoiingia tangu azaliwe na Hadi atakapokufa
Mdhamini mkuu akiwa ni weweHuu uzi umepostiwa kwa hisani ya watu wa Milembe
Magufuli kama binadamu naye ana mapungufu yake maana si malaika.Hakuna atakayemtoa mkuu. Kwanza vyombo vya dola ni vyake, kila kitu ni chake nani wa kumtoa? Hata yeye anajua amevurunda sana kiasi cha kuondoa umoja na mshikamano uliokuwepo. Wapinzani na ccm walikuwa wanapambana kwa hoja wakiwa pamoja wanacheka tu, lakini sasa hivi ni maadui wakutupa. Imefikia hatua hata ajira zinatolewa kwa ubaguzi, huduma za kijamii zamaendeleo pia zinatolewa kwa ubaguzi , kama nyie siyo ccm hamzipati. Isee nilikuwa na mkubali huyu mshkaji lakini kwa kitendo cha kupandikiza chuki miongoni mwa watu nimetoa kabisa. Halafu mijitu mingine inasema eti ni chagui la Mungu! Kha! Mungu gani mwenye chuki na mbaguzi kwa watu wake.?
Sent using Jamii Forums mobile app
Gesi mlituambia hivyo hivyoUle mradi mkubwa saana saana aisee usichukulie masihara na bado hawajaanza kuchimba hata bwawa moja bado wapo katika mataarisho mungu akitupa uhai na mradi huo ukiisha watanzania kiukweli watakua hatuna shida ya umeme
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu bado msimamo wangu ni ule ule.Mkuu 'Jidu La Mabambasi',
Niliahidi kurudi nikujibu upya, kwa mengi tuliyokwishajadiliana hapa, na kwingineko.
Lakini niliporudi nikaamua nipitie upya maandishi yako kwenye mada hii uliyoanzisha, na baadhi ya tuliyoandikiana huko nyuma.
Nimejiridhisha kabisa hakuna haja tena ya mimi kukuandikia lolote jipya ambalo bado nilikuwa sijalieleza.
Sina tena mashaka na msimamo wako ulivyo juu ya mtawala aliyepo sasa hivi, juu ya CCM, chama unachodai unakipenda na juu ya Tanzania kwa ujumla.
Nimekuelewa, kwa hiyo hakuna la ziadai kutoka kwako litakalonifanya niwe na uelewa mpana zaidi, na nina hakika kwamba hakuna ninachoweza kukieleza kwako kitakachokufanya ubadili hayo unayoyasimamia na kuyaeleza hapa; pamoja na kwamba kuna udanganyifu mwingi.
Mwisho, nakusihi tu uiangalie Tanzania kwa huruma. Tanzania ndio kila kitu kwetu sote na wote watakaokuja baada yetu. Tusiitumie Tanzania kama rehani ya kutimiza matakwa ambayo tunajua matokeo yake ni kuiumiza.
Natumaini sitakuwa na dukuduku tena baada ya hapa na kwenda mbele.
Kama viwanda ilikuwa ni kutudanganya nafikiri apishe sasa tumpe mwingine naye aje kutudanganya,kwamaana hiyo hakuna haja ya kuendelea kudanganywa na mtu mmoja.Kwavile tumekubali kuishi Maisha ya kudanganywa danganywa basi tuwape na wengine pia.Waliomatangulia kwa ahadi za maisha bora kwa kila mtanzania, kilimo kwanza na matokeo makubwa sasa vyote hivyo mlivipata? Simitetei Magufuli ila some times politicians duniani kote huwa wanaahidi vitu vingine ambavyo siyo rahisi kutekelezeka. Hata mimi hilo la viwanda nilijua tu kwamba ni siasa maana serikali haijengi viwanda tena isipokuwa sekta binafsi. Sasa huwezi kusema tutajenga viwanda wakati sekta binafsi haijawekewa mikakati mizuri ya kujenga hivyo viwanda. Lakini mambo mengine anajitahidi mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.