Pamoja na ziwa kuwa karibu kama Km 1 tu Chato maji hayatoki kwenye mabomba. Mkuu wa wilaya na Mbunge wapo kimya.

Hivi hata umeme tunatarajia maji ya mvua yajaze mito wakati ziwa limejaa maji ya kutosha ambayo hayawezinkuisha kwani hakuna jinsi ya kuyatengenezea mfumo ili yatengeneze hydro electric power kutumia ziwa Victoria au lake Tanganyika?
 
Mkuu si umeona umetoa hoja nzuri kuhusu tatizo la maji,unajibiwa na dot.com wapumbavu, ndio maana wale maadui UJINGA, UMASIKINI, MARADHI, NA COUSIN wao RUSHWA wametamalaki mno nchini, ila wapumbavu hawa wanajua zaidi kinachotokea sasa kati ya wapelestina na waisrael na wamezama kwenye mjadala huo, ujinga mtaji mkubwa wa royal families, umeme huku wamekata toka saa 12asubuhi
 
Hatutaweza kuendelea
 
Na vita ni wanavichambua kwelikweli! Utafikiri wapo frontline kule Kiev na Donetsk, wanakuchambulia silaha zote, wanajua habari za uongo na za ukweli ni zipi wanajua hadi siri za US na Russia ambazo hata Biden na Putin na watu wao hawajui!. Kwenye mambo ya msingi yanayowagusa moja kwa moja ndo unakutana na matusi matupu! Aibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mdau mmoja kanipigia simu.

Wiki na ushee sasa Chato maji hayapatikani.

Ziwa lipo karibu kabisa kama km 1 tu.

Mbunge na mkuu wa Wilaya hawana msaada .

Huu ni uzembe mkubwa sana.
Mzilankende wao Kwa nini hakuwafingia Mabomba?
 
Mdau mmoja kanipigia simu.

Wiki na ushee sasa Chato maji hayapatikani.

Ziwa lipo karibu kabisa kama km 1 tu.

Mbunge na mkuu wa Wilaya hawana msaada .

Huu ni uzembe mkubwa sana.
CCM Hoyeeee
 
Back
Top Bottom