Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Haugongwi ila unakamuliwa maviKwa hiyo wahamishie ziwa Chattle?
Kenge wewe.
Makalio yako yana upeleNenda kachote tu, unataka mkuu wa wilaya na mbunge waje kuwachotea?
Hatutaweza kuendeleaMkuu si umeona umetoa hoja nzuri kuhusu tatizo la maji,unajibiwa na dot.com wapumbavu, ndio maana wale maadui UJINGA, UMASIKINI, MARADHI, NA COUSIN wao RUSHWA wametamalaki mno nchini, ila wapumbavu hawa wanajua zaidi kinachotokea sasa kati ya wapelestina na waisrael na wamezama kwenye mjadala huo, ujinga mtaji mkubwa wa royal families, umeme huku wamekata toka saa 12asubuhi
Na vita ni wanavichambua kwelikweli! Utafikiri wapo frontline kule Kiev na Donetsk, wanakuchambulia silaha zote, wanajua habari za uongo na za ukweli ni zipi wanajua hadi siri za US na Russia ambazo hata Biden na Putin na watu wao hawajui!. Kwenye mambo ya msingi yanayowagusa moja kwa moja ndo unakutana na matusi matupu! AibuMkuu si umeona umetoa hoja nzuri kuhusu tatizo la maji,unajibiwa na dot.com wapumbavu, ndio maana wale maadui UJINGA, UMASIKINI, MARADHI, NA COUSIN wao RUSHWA wametamalaki mno nchini, ila wapumbavu hawa wanajua zaidi kinachotokea sasa kati ya wapelestina na waisrael na wamezama kwenye mjadala huo, ujinga mtaji mkubwa wa royal families, umeme huku wamekata toka saa 12asubuhi
Mzilankende wao Kwa nini hakuwafingia Mabomba?Mdau mmoja kanipigia simu.
Wiki na ushee sasa Chato maji hayapatikani.
Ziwa lipo karibu kabisa kama km 1 tu.
Mbunge na mkuu wa Wilaya hawana msaada .
Huu ni uzembe mkubwa sana.
Kachote Chato internet airportMdau mmoja kanipigia simu.
Wiki na ushee sasa Chato maji hayapatikani.
Ziwa lipo karibu kabisa kama km 1 tu.
Mbunge na mkuu wa Wilaya hawana msaada .
Huu ni uzembe mkubwa sana.
Niko mara ziwa lipo mita 600 ila maji mgao yanatoka usiku tuMdau mmoja kanipigia simu.
Wiki na ushee sasa Chato maji hayapatikani.
Ziwa lipo karibu kabisa kama km 1 tu.
Mbunge na mkuu wa Wilaya hawana msaada .
Huu ni uzembe mkubwa sana.
Unakamuliwa maviWakachote Airport
CCM HoyeeeeMdau mmoja kanipigia simu.
Wiki na ushee sasa Chato maji hayapatikani.
Ziwa lipo karibu kabisa kama km 1 tu.
Mbunge na mkuu wa Wilaya hawana msaada .
Huu ni uzembe mkubwa sana.
JIMBO HILI HALIPATI MAENDELEO KWAKUWA MLIMCHAGUA MPINZANI.Mdau mmoja kanipigia simu.
Wiki na ushee sasa Chato maji hayapatikani.
Ziwa lipo karibu kabisa kama km 1 tu.
Mbunge na mkuu wa Wilaya hawana msaada .
Huu ni uzembe mkubwa sana.