Pamoja na ziwa kuwa karibu kama Km 1 tu Chato maji hayatoki kwenye mabomba. Mkuu wa wilaya na Mbunge wapo kimya.

Alafu tunataka kudanganyana tuunde viwanda vya vitu vya kieletronic mambo mengine kwakweli.
 
Kama maji yapo Kwa nini yasitoke? Si mumesema Kila nyumba Ina maji Sasa kelele za nini?
 
Na yakitoka yanakuwa yamewekwa madawa mpaka yanatoa harufu ya dawa na povu. Hovyo kabisa.Anayeka dawa atakuwa hajui hata kipimo anatupia madawa kama yote.
Mdau mmoja kanipigia simu.

Wiki na ushee sasa Chato maji hayapatikani.

Ziwa lipo karibu kabisa kama km 1 tu.

Mbunge na mkuu wa Wilaya hawana msaada .

Huu ni uzembe mkubwa sana
 
Salute mkuu, wapumbavu hawa wanawashwa mno na yanayotokea middle east ,kuliko tatizo la maji salama hapa Unango,Lindi
 
Yani Tanzania hakuna hata kimoja tunafanya kwa ufanisi, na hakuna anayejali. Mwanza iliyo ziwani kukosa maji ni ujinga wa hali ya juu sana. Hii ni nchi ya ajabu sana
 
Mdau mmoja kanipigia simu.

Wiki na ushee sasa Chato maji hayapatikani.

Ziwa lipo karibu kabisa kama km 1 tu.

Mbunge na mkuu wa Wilaya hawana msaada .

Huu ni uzembe mkubwa sana.
Chato ishapitwa na wakati
 
Kwani mkuu wa wilaya na mbunge ndiyo wenye fungu la huduma ya maji?

Hivi watanzania ni lini akili zenu zitafunguka? Mbunge ni mwakilishi tu wa wananchi ktk Jimbo lake. Na mkuu wa wilaya ni msimamizi tu wa shughuli zinazofanywa ktk wilaya yake.

Huu upumbavu wa kufikiri kazi ya kujenga miundombinu na kutoa huduma ktk Jimbo ni ya mbunge mnautoa wapi??
 
Eti na wewe ni Jf expert member
 
Mdau mmoja kanipigia simu.

Wiki na ushee sasa Chato maji hayapatikani.

Ziwa lipo karibu kabisa kama km 1 tu.

Mbunge na mkuu wa Wilaya hawana msaada .

Huu ni uzembe mkubwa sana.
Bukoba mwanza kigoma dar rudewa hizi sehemu zote maji yanazuiya watu kuvuka lakini wakazi wa maeneo hayo hawana maji ccm hoyeee
 
Hivi hata umeme tunatarajia maji ya mvua yajaze mito wakati ziwa limejaa maji ya kutosha ambayo hayawezinkuisha kwani hakuna jinsi ya kuyatengenezea mfumo ili yatengeneze hydro electric power kutumia ziwa Victoria au lake Tanganyika?
Kabla hujajiuliza hilo swali ungejiuliza kwanini hydropower hawatumii ziwa bali wanakinga mto?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…