conservative3
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 1,129
- 790
Zinapatikana pale ubungo external. Kituo cha basi cha kuja ubungo,hatua kama 20 kushoto kwako kuna uwanja,ulizia hapo. Au vuka barabara nyumba za upande wa pili uliza.kuna pump ya upepo japo ni teknolojia ya zamani sijui kama siku hizi zinapatikana
Zinapatikana pale ubungo external. Kituo cha basi cha kuja ubungo,hatua kama 20 kushoto kwako kuna uwanja,ulizia hapo. Au vuka barabara nyumba za upande wa pili uliza.
Waone Mionzijua co ltd watakusaidia but nadhani si chini ya 15m kulingana na urefu wa kisima
Unaweza kutumia wind mill' au solar pump. Wing I was Maji utakayo pasta kwa SAA inayegemea na ukubwa was kisima chako. Wasiliana name 0759339016 mail noekenny@yahoo.com au kilimoservise@yahoo.com
Salamu !nataka Nianzishe Kilimo Cha Umwagiliaji Maeneo Ya Wazi Na Pia Nilime Kwa Kutumia Green House.nimekutana Na Changamoto Ya Maji Na Nikaamua Nitafute Mbinu Ya Kua Na Kisima Kirefu Ili Kua Na Maji Ya Uhakika Na Pia Nifanye Kazi Kwa Ufanisi.
Changamoto Ya Pili Ambayo Naomba Mnisaidie Je Kuna Pampu Ambazo Za Visima Virefu Ambazo Hazitumii Umeme?km Jenereta Au Nishati Nyingine Ikiwemo Manual Yaani Mtu Anapampu?
Je Ufanyaji Kazi Wake?kwa Pampu Zinazotumia Jenereta !zinaweza Sukuma Lita Ngapi Za Maji Kupeleka Kwenye Tank Kwa Lita Moja Ya Mafuta?na Tanzania Zinapatikana?
Eneo Langu Liko Mkoa Wa Pwani.shida Umeme Upo Mbali Sana.