conservative3
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 1,129
- 790
Salamu !nataka Nianzishe Kilimo Cha Umwagiliaji Maeneo Ya Wazi Na Pia Nilime Kwa Kutumia Green House.nimekutana Na Changamoto Ya Maji Na Nikaamua Nitafute Mbinu Ya Kua Na Kisima Kirefu Ili Kua Na Maji Ya Uhakika Na Pia Nifanye Kazi Kwa Ufanisi.
Changamoto Ya Pili Ambayo Naomba Mnisaidie Je Kuna Pampu Ambazo Za Visima Virefu Ambazo Hazitumii Umeme?km Jenereta Au Nishati Nyingine Ikiwemo Manual Yaani Mtu Anapampu?
Je Ufanyaji Kazi Wake?kwa Pampu Zinazotumia Jenereta !zinaweza Sukuma Lita Ngapi Za Maji Kupeleka Kwenye Tank Kwa Lita Moja Ya Mafuta?na Tanzania Zinapatikana?
Eneo Langu Liko Mkoa Wa Pwani.shida Umeme Upo Mbali Sana.