Pampu Za Visima Virefu Ambazo Hazitumii Umeme

conservative3

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
1,129
Reaction score
790
Salamu !nataka Nianzishe Kilimo Cha Umwagiliaji Maeneo Ya Wazi Na Pia Nilime Kwa Kutumia Green House.nimekutana Na Changamoto Ya Maji Na Nikaamua Nitafute Mbinu Ya Kua Na Kisima Kirefu Ili Kua Na Maji Ya Uhakika Na Pia Nifanye Kazi Kwa Ufanisi.

Changamoto Ya Pili Ambayo Naomba Mnisaidie Je Kuna Pampu Ambazo Za Visima Virefu Ambazo Hazitumii Umeme?km Jenereta Au Nishati Nyingine Ikiwemo Manual Yaani Mtu Anapampu?

Je Ufanyaji Kazi Wake?kwa Pampu Zinazotumia Jenereta !zinaweza Sukuma Lita Ngapi Za Maji Kupeleka Kwenye Tank Kwa Lita Moja Ya Mafuta?na Tanzania Zinapatikana?

Eneo Langu Liko Mkoa Wa Pwani.shida Umeme Upo Mbali Sana.
 
Mmmghhhh sidhani but Ngoja wataalamu wafike, pengine technology ya upepo
 
kuna pump ya upepo japo ni teknolojia ya zamani sijui kama siku hizi zinapatikana
 
Waone Mionzijua co ltd watakusaidia but nadhani si chini ya 15m kulingana na urefu wa kisima
 
kuna pump ya upepo japo ni teknolojia ya zamani sijui kama siku hizi zinapatikana
Zinapatikana pale ubungo external. Kituo cha basi cha kuja ubungo,hatua kama 20 kushoto kwako kuna uwanja,ulizia hapo. Au vuka barabara nyumba za upande wa pili uliza.
 
Nashukuru Mkuu
 
Karibu sana pia huwa tuna shughulika name green houses name drip irrigation.
 
Salamu !nataka Nianzishe Kilimo Cha Umwagiliaji Maeneo Ya Wazi Na Pia Nilime Kwa Kutumia Green House.nimekutana Na Changamoto Ya Maji Na Nikaamua Nitafute Mbinu Ya Kua Na Kisima Kirefu Ili Kua Na Maji Ya Uhakika Na Pia Nifanye Kazi Kwa Ufanisi.

Changamoto Ya Pili Ambayo Naomba Mnisaidie Je Kuna Pampu Ambazo Za Visima Virefu Ambazo Hazitumii Umeme?km Jenereta Au Nishati Nyingine Ikiwemo Manual Yaani Mtu Anapampu?

Je Ufanyaji Kazi Wake?kwa Pampu Zinazotumia Jenereta !zinaweza Sukuma Lita Ngapi Za Maji Kupeleka Kwenye Tank Kwa Lita Moja Ya Mafuta?na Tanzania Zinapatikana?

Eneo Langu Liko Mkoa Wa Pwani.shida Umeme Upo Mbali Sana.

Waone jamaa wanaitwa Sun-energy systems.
Wana pump za visima virefu zinazotumia solar.
Pata sera zao kwenye web-site yao :-
Sunnrgysystems Tanzania » Water Solutions
 
Inategemea na resources ulizonazo shambani kwako, option nzuri kama una mifugo, jenga digester kubwa ya kufua biogas, kisha funga pump ya diesel au petrol ambayo iko converted kutumia gas, hapo unamwaga maji usiku na mchana!
 
Back
Top Bottom