Uzi unatosha wajue hatuna Imani na ujinga wanaofanya.Uzi tayari!!!!!!
Kuna timu haiwezi mambo hayo yani wakipangiwa baki tu baki wanaanza kulalama... Ko pale wapo wakina Kasongo wafia timu wanafanya yao.Wakuu, mtashuhudia wenyewe mechi za ligi kwa maana ya "NBC premeir league" hazikuchezwa wiki endi yote iliyopita, sababu mie sijazipata.
Mtaona siku za kazi panakuwa na mechi mpaka mbili.
Nadhani atafutwe mtaalam toka nje aje atupangie ratiba ya hii ligi.
Wewe upate kama nani?Wakuu, mtashuhudia wenyewe mechi za ligi kwa maana ya "NBC premeir league" hazikuchezwa wiki endi yote iliyopita, sababu mie sijazipata.
Wamesemaje Mkuu, hebu tuhabarishe sisi tunao soma jamii Forum mara moja kwa wiki.PLB wameelezea vizuri hilo suala mkuu.
Fuatilia kwanza kabla ya blah blah
Bodi ya ligi yatoa tamko ligi kusimamahttps://www.jamiiforums.com/threads/bodi-ya-ligi-yatoa-tamko-ligi-kusimama.2141979/Wamesemaje Mkuu, hebu tuhabarishe sisi tunao soma jamii Forum mara moja kwa wiki.
Sisi