Panahitajika mtaalam toka nje bodi ya ligi.

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Wakuu, mtashuhudia wenyewe mechi za ligi kwa maana ya "NBC premeir league" hazikuchezwa wiki endi yote iliyopita, sababu mie sijazipata.
Mtaona siku za kazi panakuwa na mechi mpaka mbili.
Nadhani atafutwe mtaalam toka nje aje atupangie ratiba ya hii ligi.
 
Kuna timu haiwezi mambo hayo yani wakipangiwa baki tu baki wanaanza kulalama... Ko pale wapo wakina Kasongo wafia timu wanafanya yao.
 
Back
Top Bottom