Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,703
- 1,724
Wakuu, mtashuhudia wenyewe mechi za ligi kwa maana ya "NBC premeir league" hazikuchezwa wiki endi yote iliyopita, sababu mie sijazipata.
Mtaona siku za kazi panakuwa na mechi mpaka mbili.
Nadhani atafutwe mtaalam toka nje aje atupangie ratiba ya hii ligi.
Mtaona siku za kazi panakuwa na mechi mpaka mbili.
Nadhani atafutwe mtaalam toka nje aje atupangie ratiba ya hii ligi.