Panapo majaliwa mwakani nitajiunga rasmi na siasa za nchi hii. Je, ungependa nifanye siasa na chama kipi?

Ahsante Sana Mkuu!

Masikini watanisamehe.
Ukombozi utaanzia Kwa matajiri.
Naimani nikiwakomboa wao kutoka katika Hali zao automatically masikini watapata relief
Kwa kweli. Ni vigumu kumsaidia maskini.
 
Usiwe mvivu, fanya kazi uilishe familia yako.
Msipende kudandia migongo ya watu ili mjitajirishe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…