Panapo majaliwa mwakani nitajiunga rasmi na siasa za nchi hii. Je, ungependa nifanye siasa na chama kipi?

Nakushauri uingie chadema ila ujiandae kupewa kesi
 
Chauma
 
Jiunge na NLD.Panakufaa.
 

Siasa ni michongo sio ajira,kama una michongo ingia huko kutimiza malengo ya kichongo yako ya kifedha hasa hasa ile haramu.
 
Una mawazo mazuri, unafaa kuwa mwenyekiti wa kitongoji chetu cha idindilimunyu, karibu
 
Nenda. umoja party au CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…