Panapo majaliwa mwakani nitajiunga rasmi na siasa za nchi hii. Je, ungependa nifanye siasa na chama kipi?

Ni urembaji wa maneno na kujisogeza kwa unaotaka kuwagonga makwenzi tu.Hamna cha ukombozi wala nini!Mkombozi?Wa nini?
 
Ni urembaji wa maneno na kujisogeza kwa unaotaka kuwagonga makwenzi tu.Hamna cha ukombozi wala nini!Mkombozi?Wa nini?

Ni kosa kudhani kuwa nitafanya kazi bure.
Nilishakueleza hapo juu, ukombozi unahusu maslahi ya mkombozi na mkombolewa. Wapi hauelewi?
 
Ni kosa kudhani kuwa nitafanya kazi bure.
Nilishakueleza hapo juu, ukombozi unahusu maslahi ya mkombozi na mkombolewa. Wapi hauelewi?
Nimekataa kwamba hakuna ukombozi wala uokozi.Ni mpambano wa madaraka tu ili kupata sadaka na riziki.
 
Karibu uwanjani, kwa Tanzania, chama cha siasa kwa maana halisi ya chama ni kimoja tuu!, Tanzania tuna chama kimoja tuu cha siasa, the one and only!, vyama vingine vyote ni mfano vyama lakini sio vyama!.
Karibu
P
 
Ubaya ni kwamba hakuna chama chenye mzaramo kama wako wala usisumbuke.
 
Wewe TLP itakufaa hizi ni sera za MREMA kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…