Panapokula muda wako mwingi ndipo panapoamua hatma ya maisha yako ya baadaye

Fernando Wolle

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2022
Posts
387
Reaction score
770
Kuna shughuli na kazi za kila siku tunazozifanya kujipatia mahitaji yetu muhimu na kujenga uchumi wetu Binafsi, na kuna kazi zinazoweza kukupa sifa mbele za watu lakini hazitakupa hatma nzuri yenye tija ya uchumi toshelezi wa maisha yako.

Kibaya zaidi kazi za namna hiyo zinachukua muda mwingi sana kuliko chochote unachofanya kwa siku. Fikiria kwa umakini, tafakari na pima kama kazi hiyo inayokuchukua masaa zaidi ya 9 kwa siku Je, inakupeleka wapi? Je, unaona utakuwa wapi baada ya Mwaka mmoja, miwili, au mitatu?

Kama unaona hakuna future ya hiyo kazi, achana nayo hata kama inakukalisha kwenye kiyoyozi na kukupa sifa kwa ndugu, jamaa na marafiki.

Angalizo, usiiache hiyo kazi kama huna sehemu ya kukupa hatma nzuri ya baadae. Lakini kumbuka tu kwamba kile kinachokula muda wako mwingi kwa siku ndicho kilichobeba na kitaamua hatma yako.

NAWASILISHA.
 
Tuendelee na comments,

Hilo ni tatizo la saikolojia Mkuu kulitibu linahitaj akili asili ya mhusika,

Imagine hawa vijana kwenye kampuni kubwa kama voda, airtel, tigo n.k hela wanazolipwaga kiduchu sana.

Kazini kwake ni Pale Jengo la airtel Morocco, akikaribia vioo vya mlango vina sense vinafunguka vyenyewe, ukiingia ndani tu hata kama saa saba mchana unapoa fureeesh hutoi jasho tena sababu ya kiyoyozi.

Ndugu wakikuuliza unafanya wap kazi, ushawavimbiaga Facebook, insta na picha kali kali upo kwenye garden za hiyo office.

[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]mshahara laki 2 tu, na hiyo hela chai humo, lunch humo, nauli ya kazini na kurudi, hela ya kodi ya nyumba umeme n.k

Mtu kama huyo ukimwambia kuna kazi ya laki 5 kwenye ofisi iliyopo Makulu Dodoma, ukasema unampa staff room akae bure, unampa chai na lunch,

Amini maneno yangu hatakubali,
Kisa ofisi yako sio gorofa, kisa ofisi yako haina garden kalii, kisa ofisi yako au brand yako haina umaarufu kama alipo, kisa ofisi yako haipo Dar, kisa ofisi yako hakuna mwendo kasi n.k.

Acha Nature itake place kama ilivyo ada waendelee kufanikiwe wachache.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu upo sahihi sana. Let the nature decide.
 
Best comment
 
Kuna shughuli na kazi za kila siku tunazozifanya kujipatia mahitaji yetu muhimu na kujenga uchumi wetu Binafsi, na kuna kazi zinazoweza kukupa sifa mbele za watu lakini hazitakupa hatma nzuri yenye tija ya uchumi toshelezi wa maisha yako.

Kibaya zaidi kazi za namna hiyo zinachukua muda mwingi sana kuliko chochote unachofanya kwa siku. Fikiria kwa umakini, tafakari na pima kama kazi hiyo inayokuchukua masaa zaidi ya 9 kwa siku Je, inakupeleka wapi? Je, unaona utakuwa wapi baada ya Mwaka mmoja, miwili, au mitatu?

Kama unaona hakuna future ya hiyo kazi, achana nayo hata kama inakukalisha kwenye kiyoyozi na kukupa sifa kwa ndugu, jamaa na marafiki.

Angalizo, usiiache hiyo kazi kama huna sehemu ya kukupa hatma nzuri ya baadae. Lakini kumbuka tu kwamba kile kinachokula muda wako mwingi kwa siku ndicho kilichobeba na kitaamua hatma yako.

NAWASILISHA.
Nakushukuru sana kwa kunistua.
 
Back
Top Bottom